Hukumu ya Lissu - Jisomee mwenyewe

Hukumu ya Lissu - Jisomee mwenyewe

hongera lissu.........maoni kuhusu jaji vp ni vodafasta, usalama au?????? Tujuzane wadau...

jana nlikuwepo pale mahakamani, jaji mzuna ndo jaji hakika. Kuna majaji na mzuna. Tofautisha majaji kanjanja na mzuna. He is smart. That is the man we need for m4c. Kama jk angekuwa smart kama mzuna nchi hii ingekuwa mbali, kwani we need smart people who are straight rather than kupiga piga kona unaogopa hadi mawaziri ulowaweka wewe, je ni tofauti na mtu kukimbia kivuli chake mwenyewe?
 
Wewe ni mgeni wetu kweli, lakini huna "adequate source of informations", na usiwe una post vitu bila ya uhakika kwani kuna wana JF, wengi kama akina mchambuzi wanaofuatilia mambo kwa karibu sana......pia hata kule mahakamani wapo wana JF na habari za tit-for-tat......JIPANGE UPYA
 
Arusha kwa Lema huyu Mungu hakuwepo?
jiulize kwa nini kina Millya wanahamia chadema ndipo utuambie kama arusha kuna MUNGU au ni magamba.
"Mungu akaufanya moyo wa farao kuwa mgumu ili apate kujitukuza" mtaona impact zake baadae kama sasa bado hamjaona
 
yule jaji aliyetumwa arusha na special assignment ameisoma hii au anakula matunda ya kazi yake?

Sasa Mkubwa una quote hukumu nzima halafu unaandika mistari miwili. Unatutesa watumiaji wa simu
 
hata wakitengua hayo matokeo CCM sasa hivi ukiwasimamisha hata ukiwasimamisha na kondoo kondoo anashinda

Si tu hivyo mkuu, hata wakisimamishwa kivuli au wanyama mfu kwa tiketi ya CDM ni lazima atashinda kwa kishindo. Just wait 2015!! Please, CDM msituangushe, anzeni fund raising kama sheria zinaruhusu kwa sasa na civic education mapema mno. Msilale.
 
yule jaji aliyetumwa arusha na special assignment ameisoma hii au anakula matunda ya kazi yake?

Sasa Mkubwa una quote hukumu nzima halafu unaandika mistari miwili. Unatutesa watumiaji wa simu
 
Back
Top Bottom