Hukumu ya Lissu - Jisomee mwenyewe

Wala sitashangaa nkiambiwa Isango alikuwa anaichapa hii wakati inasomwa manake tangu tukiwa chuo huyu jamaa alikuwa Typist!!!!! Well VIVA kamanda!!!
 
hata wakitengua hayo matokeo CCM sasa hivi ukiwasimamisha hata ukiwasimamisha na kondoo kondoo anashinda
 
Ama baada ya kesi ya kubambikwa kamanda lisu umeyatoa nishai maganda, ushauri wangu washitaki wale chambo wa magamba toka siuyu kwa kukupotezea muda, kutaka kukuchafua kwa tuhuma ya rushwa na walipe gharama za kesi, wafadhili wao wamewatosa mpaka sasa wanazagaa hapa mjini. kwao hakuendiki kwa aibu walopata na raia wanahasira nao.
 
Hongereni watu wa Singida Mashariki kwa kumpata M bunge Lissu,mie namshukuru MUNGU Mtwara-Mjini tumempata M bunge kilaza Murji ni tatizo kubwa kazi ya kugonga Meza tu.Ee Mungu tujalie M bunge kama Lissu sisi wana Mtwara.
 
Hapana Mkuu huyo Mh. kwenye
red chati yake imepanda ghafla baada ya kusaini ile orodha ya Zitto ya kumuwajibisha Pinda. Ni katika wana-CCM watano waliothubutu wakiwemo Mh. Nimrod Mkono, Deo Filikunjombe, Esther Bulaya, na Ali Kessy. Kama kuna kosa aliwahi kufanya msameheni kwa sharti asirudie tena.
 
Hili lichama la magammba likiendelea kuwa madarakani nchi itaendelea kuoza. Ona wenzetu kenya na rwanda wanavyopiga maendeleo ya haraka.
 
Hapana Mkuu huyo Mh. kwenye
red chati yake imepanda ghafla baada ya kusaini ile orodha ya Zitto ya kumuwajibisha Pinda. Ni katika wana-CCM watano waliothubutu wakiwemo Mh. Nimrod Mkono, Deo Filikunjombe, Esther Bulaya, na Ali Kessy. Kama kuna kosa aliwahi kufanya msameheni kwa sharti asirudie tena.

Aliyesaini ni mbunge wa mwibara siyo wa mtwara!!
 
Hongera sana cdm pia lissu, eh mora tusikilize nasi wa waja wako wa kigamboni,
mbunge wetu kingundulile ni kituko, hawezi kujenga hoja, akijenga hoja kwa mda mrefu husaau alipoanzia na kuanza kujichanganya. Duh dunia hii ina mambo
 
Kesi ya uchaguzi kupinga matokeo ya Dr. Slaa aliisimamia bila presha na akaitoa KO ccm
 
Back
Top Bottom