mwanamapinduko
Senior Member
- Jan 24, 2011
- 178
- 41
we ***** nini brkg news kutuambia kuwa jaji kachelewa acha kiherehere wewe
Hivi Bukoba wanafahamu kama kuna kitu kinaitwa Jamiiforums (hata Ta Muganyizi nshashtukia hayupo huko)
member wengi hapa JF ni Wahaya; sasa we unafikiri wanatoka wapi!! unaweza kukuta huko kwenu ndo JF hawaijui.Hivi Bukoba wanafahamu kama kuna kitu kinaitwa Jamiiforums (hata Ta Muganyizi nshashtukia hayupo huko)
Acha uongo bana kesi inafanyika hukohuko biharamulo na namba niliyoitoa ni ya mwananchi yuko biharamulo. Sura ya avatar yako inaonekana una busara kumbe sukari guru*
Coverage ya biharamulo ni excellent kabisa ila kesi inaendeshwewa Bukoba mjini kwa hiyo hata wana Biharamulo Wanaisubiria vivyo hivyo kama sisi hapa!
Hivi Bukoba wanafahamu kama kuna kitu kinaitwa Jamiiforums (hata Ta Muganyizi nshashtukia hayupo huko)
ta muganyizi anaishi kisukuru-juu kwa mashilingi.
bado ulikuwa ofisini, duh! kama we si mwalimu/mhadhili basi kweli we unapenda kazi yako.Wadau kweli mnampigia jamaa simu na mie nimefurahi maana najua presha yenu iko juu kama ya kwangu. Kazi imegoma kufanyikaaaaa
Nadhani sasa tutapata updates kutoka kwa Mathias Byabato.Yupo humo ndani ya mahakama.
Ngoja niwaache mie niko serious na kufuatilia matokeomember wengi hapa JF ni Wahaya; sasa we unafikiri wanatoka wapi!! unaweza kukuta huko kwenu ndo JF hawaijui.
Acha uongo bana kesi inafanyika hukohuko biharamulo na namba niliyoitoa ni ya mwananchi yuko biharamulo. Sura ya avatar yako inaonekana una busara kumbe sukari guru