Hukumu hadi saa 1?
Mhuuu! Kweli JF ina watu na viatu, kumbe mambo yenyewe ndo hivi?Hii sanaa tu inawezekana aliyeweka thread hii katuingiza choo cha kike....nahisi kulikuwa hakuna hukumu yoyote leo jamaa kafanikiwa kutukama vilivyo leo. Hongera mleta thread kwa kuteka mawazo ya wanajf.