Kashaijabutege
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 2,696
- 740
Mungu tusaidie isiwe 2-1 bali ibaki 1-1.
hapa hukumu ni straight forward,huu mchezo huenda ukawa mgumu!
Oscar mukasa alionewa sana jamaa yule.
Wangemchagua oscar wangepata maendeleo sana jamaa ni mtafiti mzuri na anatisha katika fani yake.
siasa chafu ndio zilizomuangusha jamaa, watu waliikata hadi migomba yake kwa chuki ila i hope atashinda tu kesi.
Umeshasahau ile ya Serikali vs chama cha walimu mbona ilisomwa saa 8 usiku? ila hukumu zote za namna hii ni lazima ziwe in the favor of government.haijaahirishwa hii kitu??
hukumu gani inasomwa usiku!!
Afadhali walipomnyima Ubunge ili apate muda wa kufanya utafiti, maana watu wanakimbia fani walizosomea na kwenda kwenye siasa ambayo sio fani yao.
Mungu tusaidie isiwe 2-1 bali ibaki 1-1.
duh kwahiyo Mbasa si mbunge tena, hii balaa sasa, kwa hiyo tunasubiri mnyika nae avuliwe ubunge. Itakuwa CCM 1 CDM 3