Ibrahimu Zuberi Mkondo
Member
- Sep 19, 2019
- 43
- 383
Bismillahir Rahmanir Rahiim
SHURA YA MAIMAMU TANZANIA
HUKUMU YA MASHEIKH MAHAKAMA YA RUFAA KESHO
Baada ya Majaji watatu wa Mahakama ya Rufani Tanzania kujipinda kwa siku 11, wakisoma mjadala kati ya Mawakili 11, wa upande wa Jamhuri na Mwakili 9, wanao watetea Masheikh, sasa wamekamilisha kazi hiyo nzito.
Kwa mujibu wa Mwanasheria Kiongozi wa Jopo la Mawakili wa Masheikh, Msajili wa Mahakama ya Rufaa amewatumia wito wa kufika Mahakamani kesho Jumatano tarehe 19/05/2021, kwaajili ya kusikiliza hukumu ya rufaa iliyowasilishwa na upande wa jamhuri dhidi ya hukumu ya Mahakama Kuu iliyofuta mashauri 14, dhidi ya Masheikh.
Aidha Shura ya Maimsmu Tanzania inawaomba Watanzania kuwaombea kwa Mwenyzi Mungu nduguzao ushindi katika Hukumu ya kesho.
Ust. Ibrahim Z. Mkondo
Msemaji wa Shura.
0713118812