Kasulu ya wapi ambayo jimbo lake liko wazi?hapo tu penye redi..kwa kuuza sera sisi ndio wenyewe na tunakubalika na sera zinanunuliwa! Umeona ya Igunga...na bado tunaenda Kasulu kulichukua jimbo letu!! by Dec 2012 yatakuwa yamesharudi yote!
kwa hiyo kwa akili yako anapotaka polisi iache kunyanyasa na kupiga raia siyo majukumu yake hayo? na kutaka serikali iheshimu haki za kikatiba kama uhuru wa kukusanyika unaotakiwa na tamko la haki za binadamu ambalo tz imeridhia siyo kutaka mikataba ya kimataifa itekelezwe? na wewe unadhani kuna maendeleo bila haki? maendeleo ni ya watu siyo vitu.Umewataja felix mrema na zitto je nawewe wamekutuma? wananchi wa arusha wewe ni msemaji wao? mbona mimi niwa arusha na sioni hicho unachosema kuwa tunaumia? unataka kusema arusha iko nyuma ya tabora,shinyanga mjini, sumbawanga,au monduli ambako kuna ma ccm yanaongoza? Rejao acha kuwa rejareja hivyo.sisi wengine hatufungwi na unachoita itikadi na ushabiki bali hoja na sasa kwa kweli mimi naona huna hoja na unajipinga mno kimantiki.boresha namna yako ya kueleza unachotakaKwa mujibu wa Katiba ya mwaka 1977, majukumu mahususi ya wabunge ni kushauri na kusimamia utendaji wa serikali kwa niaba ya wananchi. Pia majukumu mengine ya msingi ni kutunga sheria za nchi na kuridhia mikataba mbalimbali ya kimataifa. Katika haya yote sioni Lema anachokifanya. Ukiangalia Arusha kwa sasa kumekuwa kisiwa cha migogoro. Watu hapa JF mnamtetea Lema kishabiki na kwa sababu ya Itikadi yake, lakini kiuhalisia wananchi wa Arusha wanaumia. Wanachi wengi wa Arusha wanamkumbuka sana Felex Mrema. Huyu alikuwa mchapa kazi wa ukweli,,,,
Rejao umenisikitisha.kwani kwako maendeleo ni nini? na unaposema kwa nini lema anatetewa huoni kwamba unasaliti mantiki yako mwenyewe? angekuwa anafanya mabaya asingepata mtetezi.unasema wanaomtetea kawapa nini, unaibua shaka kwamba nawe umepewa kitu na mtu ili umpinge.kwa nini nyie mnapenda kujiita great thinkers lakini hamna hata abcd za huo uthinker? unatukana watu wote jf kuwa hawasemi habari za wabunge wengine? unadhani chuki yako juu ya lema(sikufahamu,natumia tafsiri ya mawazo yako haya) unataka kulazimisha wote humu wawe kama wewe? kumbe akutukanaye hakuchagulii tusi.POKEA SOMO; Tanzania iko nyuma sana kwenye haki za kiraia na serikali inakandamiza haki za kikatiba.kupata vitu hivi ni maendeleo makubwa kwa jamii yetu.Lema anapigania pamoja na mambo mengine ila juu ya madai yako tu maendeleo.kwa akili yako unadhani maendeleo ni kujenga barabara na vyoo stend ya mabasi.kama tutapata haki za kikatiba itakuwa maendeleo makubwa sana na lema atakuwa mchangiaji muhimu katika maendeleo hayo
Hicho kitu ni lazima kitakuwa na umbo la soseji au umbo la ndizi!!Asante Mkuu. Asipoelewa kutakuwa kunakitu kinamsukuma nyuma yake!
Habari za Lema zimekuwa kama nyimbo za bongofleva. Haziuzi tena zinaboa.
Rejao umenisikitisha.kwani kwako maendeleo ni nini? na unaposema kwa nini lema anatetewa huoni kwamba unasaliti mantiki yako mwenyewe? Angekuwa anafanya mabaya asingepata mtetezi.
Unasema wanaomtetea kawapa nini, unaibua shaka kwamba nawe umepewa kitu na mtu ili umpinge.kwa nini nyie mnapenda kujiita great thinkers lakini hamna hata abcd za huo uthinker? unatukana watu wote jf kuwa hawasemi habari za wabunge wengine?
Unadhani chuki yako juu ya lema(sikufahamu,natumia tafsiri ya mawazo yako haya) unataka kulazimisha wote humu wawe kama wewe? kumbe akutukanaye hakuchagulii tusi.
POKEA SOMO; Tanzania iko nyuma sana kwenye haki za kiraia na serikali inakandamiza haki za kikatiba.kupata vitu hivi ni maendeleo makubwa kwa jamii yetu. Lema anapigania pamoja na mambo mengine ila juu ya madai yako tu maendeleo.
Kwa akili yako unadhani maendeleo ni kujenga barabara na vyoo stend ya mabasi.kama tutapata haki za kikatiba itakuwa maendeleo makubwa sana na lema atakuwa mchangiaji muhimu katika maendeleo hayo
Wabunge wa CCM hawaitaji kushindanishwa kwenye BLOGS!! wanatenda tu!! Wanatimiza majukumu yao. Nina uhakika kati ya hao wabunge wa CDM hapo Zitto mwenyewe ndiye mwenye ubavu wa kutetea kiti chake 2015! Hao njuka wa bunge waache tu waendelee kupiga blaa blaa majimboni mwao!!
Hukumu ya hawa watu ni kufungwa tu !
..... kiuhalisia wananchi wa Arusha wanaumia. Wananchi wengi wa Arusha wanamkumbuka sana Felex Mrema.
Huyu alikuwa mchapa kazi wa ukweli,,,,
Habari za Lema zimekuwa kama nyimbo za bongofleva. Haziuzi tena zinaboa.
Hiyo ndio shauku ya mabosi wako but justice shall stand and prevail.
Hukumbuki jinsi IGP, RPC na OCD walivyojichanganya kuhusu kibali cha maandamano kutolewa na baadaye kufutwa kupitia TBC1? Kwani CDM walipoomba na kukubaliwa walitumia vyombo vya habari?
Kasulu ya wapi ambayo jimbo lake liko wazi?
Naheshimu sana mawazo yako Lunyungu,,,,,mimi nilichofanya ni kueleza views zangu kuhusu hii kesi inayoendelea...chakushangaza ni watu kuanza kunirukia! Naombeni kabla ya kureply post yangu muwe mnasisoma signature yangu!!Rejao na kundi lako , kwa nini msiwe wastaarabu hata mara chache mkaacha watu wakajadili hoja badala ya kuingilia kila mara kwa matusi na kashfa ? Kwa nini mnafanya siasa kama uadui badala ya kujadili kwa amani na kuelimishana ?Mizozo hii na kupoteza muda resources nk mnapata nayo faida gani ?