Napenda kufahamu huyu fisadi Chenge leo ndio ilikuwa hukumu yake kwenye ile trafic case inayomkabili pale mahakama ya kinondoni...mwenye taarifa zaidi anijuze
Hivi kumbe mshtakiwa akifiwa hukumu inaweza kuahirishwa?
Vipi kama huyo mshtakiwa yupo mahabusu na akapata msiba hukumu inaweza kuahirishwa?
Na je anaweza kuruhusiwa kuhudhuria huo msiba?
Wataalam wa sheria naombeni mnijuze...........

Hukumu yake itazingatia pia precedents.Hujui wengi wao walifungwa kama matax drivers, madereva wa daladala, mabasi ya abiria etc. HEEE al;ikuwa mwanasheria mkuu sheria itamuogopa mwaka huu.