Hukumu ya Chenge- mwenye habari anijuze

quimby_joey

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
390
164
Napenda kufahamu huyu fisadi Chenge leo ndio ilikuwa hukumu yake kwenye ile trafic case inayomkabili pale mahakama ya kinondoni...mwenye taarifa zaidi anijuze
 
siku ya HUKUMU hakimu atajitoea
weka kumbukumbu ya hii leo
 
Hivi kumbe mshtakiwa akifiwa hukumu inaweza kuahirishwa?
Vipi kama huyo mshtakiwa yupo mahabusu na akapata msiba hukumu inaweza kuahirishwa?
Na je anaweza kuruhusiwa kuhudhuria huo msiba?
Wataalam wa sheria naombeni mnijuze...........

Kuahirisha kesi ni discretion, sio mandatory! Hata hivyo mahabusu hawaruhusiwi kutoka unless kama watapewa dhamana!
 
Hukumu yake itazingatia pia precedents.Hujui wengi wao walifungwa kama matax drivers, madereva wa daladala, mabasi ya abiria etc. HEEE al;ikuwa mwanasheria mkuu sheria itamuogopa mwaka huu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom