Hukumu dhidi ya Sabaya haikunipendeza.

Tatizo nchi hii ni kwamba watu walewale wanatoa maoni kila siku mpaka watu hao wamechoka;Maria Sarungi,Fatma Karume,Kigogo na sijui nani mwingine. Tunahitaji kusikia maoni ya watu wengine. Mi ni ustadhi,I know what I am talking about. Na hao watu wasiojulikana wangekuwa wanachukua muda kidogo kufanya consultation na ustadhi au Baba Askofu wangepata uhalali wa kufanya yao. Wangechukua muda tu kuongea na Baba Askofu,"mtu fulani kafanya hivi na hivi,watu wamekasirika,wanataka kuitoa roho yake,lakini mimi nimewazuia,Baba Askofu,wewe una mawazo gani?"
Na ukiwasikiliza…. Hawana kipya
 
Wanabwabwaja sana hakuna cha maana
 
Ndilo jani litakalovunja mgongo wa ngamia.
Yule Sabaya ni prince of the nation. Mtu yeyote anayekuwa na cheo Kama kile anaitwa "prince".
CCM imetisha watu imeshinda Uchaguzi na Sabaya alikuwa katika Frontline katika kutisha. Sabaya alisema,"watu wanajikamatisha,wanaenda jela,wakitoka huko,wanaitukana serikali. Sitakubali hayo yatokee hapa katika wilaya ya Hai."
Yule mtu alikuwa sincere. Na hili ni kosa la kwanza,Kama alivyosema hakimu wakati anatoa hukumu,kwa hiyo kwa nini asisamehewe?
Kwa sababu it is highly unlikely kwamba utamtisha mtu yoyote na hukumu kama hizi. Hii ni Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kazi itaendelea .
Haya mambo hayafai. Kuna kazi za kufanya. You cannot snap at the snipers.
Sasa Sabaya ana vijisenti vyake shilingi bilioni tatu. Mawakili watagawana zile hela,halafu yeye watampeleka jela.
Yule mtu ni prince of the nation,amelitumikia taifa Sasa unamdhalilisha.
Mbona siwaoni UVCCM wanapongeza ole hukumu. Au CCM mbona hawajasikika wanaipongeza Ile hukumu?
bangi unayovuta is top notch!
 
I

Mbona siwaoni UVCCM wanapongeza ole hukumu. Au CCM mbona hawajasikika wanaipongeza Ile hhu

Upumbavu huu kama unataka asamehewe tufute utawala wa sheria tuishi kama wanyama akiliyako finyu sana nilifikiri utasema tuhuma nizauongo amebambikiwa kumbe hukani unqkuja natuhoja twa kijinga
 
Ndilo jani litakalovunja mgongo wa ngamia.
Yule Sabaya ni prince of the nation. Mtu yeyote anayekuwa na cheo Kama kile anaitwa "prince".
CCM imetisha watu imeshinda Uchaguzi na Sabaya alikuwa katika Frontline katika kutisha. Sabaya alisema,"watu wanajikamatisha,wanaenda jela,wakitoka huko,wanaitukana serikali. Sitakubali hayo yatokee hapa katika wilaya ya Hai."
Yule mtu alikuwa sincere. Na hili ni kosa la kwanza,Kama alivyosema hakimu wakati anatoa hukumu,kwa hiyo kwa nini asisamehewe?
Kwa sababu it is highly unlikely kwamba utamtisha mtu yoyote na hukumu kama hizi. Hii ni Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kazi itaendelea .
Haya mambo hayafai. Kuna kazi za kufanya. You cannot snap at the snipers.
Sasa Sabaya ana vijisenti vyake shilingi bilioni tatu. Mawakili watagawana zile hela,halafu yeye watampeleka jela.
Yule mtu ni prince of the nation,amelitumikia taifa Sasa unamdhalilisha.
Mbona siwaoni UVCCM wanapongeza ole hukumu. Au CCM mbona hawajasikika wanaipongeza Ile hukumu?
We we ni mpumbavu
 
Muovu anaweza kuwa rehabilitated,kama daktari anavyorehabilitate afya yako unapokwenda hospitali.
 
Back
Top Bottom