FabNXTzqEtcgazfbjjfo
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 1,472
- 1,828
Waafrika wenzangu ni Kitu Gani Cha Kwetu Tunachojivunia?
Hatuna Mungu
Hatuna Teknolojia
Hatuna Afya njema
Hatuna Amani
Halafu bado tunaona na Tunakumbatia Vitu vya Watu Na Tunajua Kwamba Tumepotoshwa ila Bado Tunavikumbatia. Kila Kitu Kinakuja Kwetu tunapokea tu Bila Hata Kutumia Akili Timamu tuliyojaliwa na Mwenye Enzi Mungu tunapokea kwa mikono miwili Kisa Kimeletwa na Mtu kutoka Nje
Mungu mmeletewa na Mkamwacha Mungu wenu wa kweli
1. Mungu mlioletewa anasambaa kwa Injili na mapanga na Vita mkamsahau Mungu wenu aliyekuwa hana Makuu na Nyie
2. Mmewasahau mababu zenu mkakumbatia Mababu wa wengine ambao hata Hamuwajui na Wa Kwenu mkawaita Mizimu ila Wao Watakatifu
3. Mnatembea Vifua Mbele mnatoka Jasho na Maspika juu Mkihubiri Mkamwacha Mungu wa Kweli ambaye alikuwa hana Hayo Mambo
4. Mmeletewa Mambo ambayo hata wao hawayafuati. Wanakuambia tuliagizwa tule mkate na Divai kama Mwili na Damu na Wafanye hivyo hivyo kwa Waumini wao. Ila Ukienda Unakula Mkate unarudi kwenye Benchi lako unaona Sawa tu Na Bora Mambo yaende. Hujiuliza kwamba Hawa Watu wanafanya Mambo ambayo hawajaagizwa kufanya Hivyo
Mnaacha Kujenga Nchi mlizomo ndani Yenu kwa Akili zenu potelea pote itachukua Muda gani Nyie Kuimarika ila Kaaeni mtafute vya Kwenu. Mtafute Mifumo yenu ya Maisha. Mtafute Mifumo yenu ya Afya. Mtafute Mifumo yenu ya Usafiri. Leo hii Mnaanza Kuwalaumu huko kwako wanawatenga
Mtaaachajwe kutengwa kama Hamna cha Kwenu. Unafikiri kwenda kwenye nchi zao watawaacha Wananchi wao wateseke wakuokoe wewe Ambaye Huna cha Kujivunia. Elimu unaifuta Kwao. Elimu ambayo hata Ukiambiwa sasa hivi Jitegemee huwezi kujitegemea sasa Hiyo ni elimu Au. Halafu Bado mnajiuliza Kwanini hamuendelei
Unadhani kuna Mtu mjinga Duniani atakuja Kukupa Elimu ili Uje Umzidi? Hayupo huyo mtu hata Mwalimu tu darasani Hakupi vyote ili ile hali ya Mimi ni Kichwa Iwepo.
Kuna Kiongozi mmoja Hapa Alijitokeza akasema Ni vyema Tukawa na Social media za Kwetu. Watu walivyo wa Hovyo wakaanza Kumpinga Huyo Kiongozi ndio uone Fikra za Kwetu Waafrika tulivyo wa Ajabu
Hizo Social Media Za kwao Wenye Akili Timamu walishazishtukia wakipiga Block katika nchi zao huko. Wewe ambaye bado Watoto wako ni Maskini hawajui hata Ustaarabu ni Nini Unazileta Mbele yao na Wazitumie. Aangalieni Madhara yake sasa hivi
Watu wamekuwa Waraibu wa Mitandaoni. Akili zao zimelala. Watu wanatumia Saa 1 Mpka 5 hajafanya Chochote katika kuleta Matokeo chanya Katika Nchi wanashindwa Katika Social media. Anakuja Kushangaa Umri umeshafika 30+ Hajui amefanya nini maishani mwake zaidi ya Ku tweet.. Post..
Kumbuka Waliofanya Hivi si Walifanya Kwa Bahati mbaya. Eti kuleta Dunia Karibu hapana Wameleta Kwa Malengo yale yale waliyoleta kipindi cha Babu zako. Watoto wako wanashinda Mitandaoni ku post Wao wanapeleka Watoto wao Mashule ili waje Wakutawalie Watoto wako waliokuwa wanashinda Huko Mitandaoni na Kujipost Selfie na Picha za Uchi
Watoto wao wanajifunza Elimu inayoendana na Mazingira halisi Wewe watoto wako bado wanasoma Hadithi za Sungura na Fisi... Saidi na Chitemo.. Abunuwasi na mkewe mtoto wako anasoma Vitu ambayo Vipo Nyuma Miaka 50 iliyopita anasoma Vitabu Ambavyo Baada ya Miaka Miwili vipo OUTDATED na Mambo yameshabadilika
Halafu leo hii unakuja Kuwalaumu oooh walituadaa walitudanganya. Kwani huna Akili Mwafrika wewe huyo anayekuhadaa si ndio Binadamu mwenzako tu kama Wewe. Kwanini Usitumie Akili yako tu Ukajikomboa Mwenyewe.
Unakalia Ooooh Riziki anatoa Mungu. Mungu toka Lini akatoa Riziki. Si Tunajua Pesa zinaprintiwa hapa hapa Duniani ndugu yangu na Wanaoziprint hizo pesa unazoziita Riziki ni Binadamu mwenzako tu mwenye Akili timamu kukuzidi wewe mwenye akili tu. Siku akikunyima na Kukuwekea vikwazo hiyo Riziki yako si ndio kakunyima hivyo
Ila wewe unakomalia Ngoja Tukakeshe Tuombe. Mungu ndio Mtoaji.. Sasa Kama Hapo hapo ulipo Uone kama Atakuletea, wenzetu Wamejitambua Kabla Yetu ndio maana Huwezi kuona Nchi kama china inayumbishwa na Haya Mambo yenu mana Wao wameanza Kujitambua Kwanza Wao ni kina Nani kabla hawajaletea Historia za Wengine huko
Wewe Mwafrika Hujajitambua Kwanza Hujajijua umetokea wapi umeanzia wapi ila Unakubali kupokea Historia za Waisraeli wametokea wapi babu zao ni kina Nani. Wakati ukiulizwa wewe Ukoo wako Umetokea Wapo hujui chochote kile. Ila Ukiulizwa ukoo wa Yesu unaujua. Mbona Kwenu hupajui wewe
Kwanini hata Ukiulizwa watu wa Kwanza Kuja Dar es Salaam waliishi wapi hujui hata Hapo Mtaani kwako kwanini huo mtaa uliitwa hivyo hujui ila Historia za Wengine ambao hata Hamjui walitokea Wapi mkazipokea.
Tafuteni vya Kwenu kwanza vilivyopotea Ndipo mtajua Mengine yametokea wapi. Watu wanawahusudu malaika wakiwaona ni wema mpaka sasa hivi wanawaona malaika kama ni Viumbe wema sana wakati wao wenyewe hawajijui wanajifanya Kuwajua Malaika kuliko wao walivyo. Eti mie si malaika nakosea mimi ni Binadamu kwani hujui kwamba Kuna Malaika waovu wewe. Hujui kuna Malaika wabaya tu kama Wewe ulivyo
Jijiueni kwanza nyie Mlivyo ndipo Muanze kutafuta Historia za Viumbe wengine. Jijiueni na Fanyeni kwanza ya Kwenye na Mmtafute Mungu wa Kweli mwenye Vyote kabla hamjaanza kutafuta Viumbe msiowafahamu
Afrika kulikuwa na Imani kwa Mungu hakukuwa na Mahubiri, eti tunamhubiri Mungu. Wewe Mungu umhubiri ili iweje Yaani Yeye Akutume wewe ukamuhubiri kwa Watu aliowaumba Yeye mwenyewe.
Hivi haujawahi kujiuliza Hao waliozaliwa kabla ya Haya Mahubiri Waliumbwa na Nani!? Mahubiri haya yamekuja Juzi juzi tu hapa Hayana hata Miaka 1000 toka Uyajue ila Wewe ndio unajiona Unajua Mungu Kuliko Binadamu wengine wote waliopata Kuishi. Mmedanganywa na ma historia ya Watu huko Hamjui hata Kwanini Walipigana.. Hamjui mikataba walioingia Huko mnakuja Kutetea Kwa Nguvu zote vitu msivyovijua
Ndio maana Mkikaa na Watu wenye Akili timamu mnawaambiwa wanakufuru Mungu. Si kwamba Wanakufuru. Nyie ndio hamna Majibu Yenye Utu na Ukweli ndani Yenu ndio maana Mkipigwa Maswali makosa Majibu
Mnakomalia Vitabu vyetu vina Kila Kitu vimekamilika. Mbona Kuna Wayahudi humo, Waroma wamesimuliwa. Waefeso na Waarabu n. K wewe Mmakonde na Mhehe na Mchaga na Muha upo Wapi humo mbona hatukuoni mbona Historia za Koo za Wayahudi zimo humo mbona Wewe haupo na Koo zako au Nyie Si Viumbe wa Mungu
Waafrika Tuamke Kutoka Usingizi Tumepotoshwa Sana. Mungu wa Kweli lazima Alete umoja Wa Watu si Utengano wa Watu. Maendeleo ya Kweli yanatoka Kwa Mtu husika si Kutoka kwa Watu wengine na Tamaduni zao huko
ASANTENI