MawardatDellapina
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 30,151
- 151,955
naKumbe ndio msimu huu,kipindi nimepigika niliwahi kuchuma kahawa pale Aviv liganga
Gentleman,Dah we Jamaa itabidi ulipwe vizur sana kuliko Zack 😂😂😂😂😂😂
Mkuu watu wamejilimbikizia Mali nje. Kikinuka wasepa na familia zao. Nimeuliza katika kutafuta kujifunza jambo jipya ili nijue hilo pigo litakalowapata wao kama wao individually. Ni pigo lipi hilo la kuwafanya wajute?Kama hili nalo hulijui basi iq yako iko chini sana.
Umeona wapi pisi kali inachuma kahawa?Naona wameshatoa matangazo ya kutafuta wafanyakazi, kahawa ishaiva tayari,pisi kali zinahamia liganga.
na
Gentleman,😂😂😂😂😂😂😂
Ndugu zangu siku nikiwa na akili kama hizi naomba mniuwe
Wanaendaga Kwa kujilengesha Kwa matajeer,Umeona wapi pisi kali inachuma kahawa?
Vipi hapo mwanjelwaMbeya maduka kabwe yamefungwa yaani ni Moja moja lipo wazi
Serikali ni wananchiSelikali Inapitia hasara Kubwa Mno.
Total Loss.
Ila hili la sabasaba umedanganya sasa Kwa kudanganya napo ni uzalendo?Gentleman,
sihitaji malipo kwenye kazi hii ya kizalendo ya kueleza ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi tu.
Neema na Baraka za Mungu zanitosha 🐒
Hakuna tajiri pale kuanzia wahindi mpaka wafanyakazi wote waganga njaa,pale wanapeana maambukizi tu.Wanaendaga Kwa kujilengesha Kwa matajeer,
Ni kama zile kura 31m bila wapiga kura vituoni.In fact hata ninavyoreply comment yako niko viwanjani, umauti wa wananchi wanaoingia na kutoka kwenye maonyesho ni mkubwa pengine kuliko hata wakati uliopita licha ya kua kuna hali ya mawingu na mvua za hapa na pale.
halafu kupo shwari sana,
na utaratibu wa kuingia na kutoka umerahisishwa na kuboreshwa sana.
Nadhani bila unafiki na propaganda za vibaraka na mamluki wa mabwenyenye ya magharibi,
Tuwe wakweli tu,
maonyesho ya kibaashara ya kimataifa sabasaba kwa mwaka 2026 yamefanikiwa zaidi kuliko wakati mwingine wowote 🐒
Acha uongo, bila malipo mtu anaweza kujifanya hana akili kiasi hiki?Gentleman,
sihitaji malipo kwenye kazi hii ya kizalendo ya kueleza ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi tu.
Neema na Baraka za Mungu zanitosha 🐒
Maandamano yamefanikiwaPole sana mkuu,rudi sass kwa Mange kimambi na Maria Sarungi mkaje na mbinu mpya.
Wananchi wamewapuuza kama kawaida.
Gentleman,Ila hili la sabasaba umedanganya sasa Kwa kudanganya napo ni uzalendo?
Na ndio kupeana ukimwi tu,Hakuna tajiri pale kuanzia wahindi mpaka wafanyakazi wote waganga njaa,pale wanapeana maambukizi tu.
Ndiyo maana nikasema nikiwa na akili kama zako ndugu zangu waniuwe. Nisije kuwa naanguka tu kama usemavyoGentleman,
ukipewa akili kama zangu huwezi kubeba hicho kichwa, utakua ukianguka tu kama vile umebeba gunia la mchanga.
In fact,
uwezo na akili nyingi na kubwa nilizo nazo ni kwa Neema na Baraka za Mungu pekee, na sio kwa ujanja wangu.
Mwenyezi Mungu akujalie akili zaidi gentleman 🐒
🤣🤣🤣🤣Ndiyo maana nikasema nikiwa na akili kama zako ndugu zangu waniuwe. Nisije kuwa naanguka tu kama usemavyo
Sawa, sema wao Kila anayewapinga kimawazo huwa wanamwita chawa.usiwaite binadamu wenzako majina ya wanyama
huna tofauti na huyo aliyemuota mwenzake nguruwe
Sawa pia mkuu punguza matumizi ya chartgpt.Gentleman,
sina haja ya kueleza kisicho cha kweli kwasababu hakina faida yoyote kwangu au kwa huyo ninaemueleza kisicho kweli.
mimi sio muumini wa uongo au upotoshaji,
daima nitaeleza ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi tu, bila kuchoka wala kubabaika na setbacks za wapotoshaji.
sina sababu hata moja kupoteza bando, muda au nguvu zangu kueleza uongo.
nilichoeleza kwenye comment yangu ya msingi kuhusu sabasaba ni ukweli mtupu usio na chembe ya ukakasi 🐒