Huko kwenye viwanja vya Saba Saba hali ikoje?

Chura kiziwi akiona hii coment yako atakudharau sana
 
Maeneo mengi nchini ni kama mwaka mpya kwani maduka yamefungwa watu wengi wameitikia wito wa maandamano kwa staili ya kipekee sana na ni pigo kubwa sana kwa serikali ambayo haina ridhaa ya wananchi.
Ruksa kujifariji,bila kuchezea zile shaba oktoba,kupigwa lockdown na kuzimwa internet,mngeichezea serikali sharubu sana,leo hakuna mwenye hamu ya kutoa tumbo
 
Ukweli utawang'oa madarakani. HAWAUTAKI
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ndugu zangu siku nikiwa na akili kama hizi naomba mniuwe
 
haupo 7/7 wewe
mvua inanyesha
na sio kuna dalili
hakuna mahali nimeeleza kuna dalili ndugu mdau,
kwa ujumla,
hali ya hewa kwa jiji la Dar Es Salaam na eneo lote la ukanda wa pwani, kuna hali ya mawingu na mvua za hapa na pale, na huo sio muujiza ndio hali halisi ya hali ya hewa kwa siku ya leo.

hata hivyo,
licha ya hali hiyo mamia kwa maelfu ya wananchi na wakaazi wa jiji la Dar Es Salaam wameendelea kujitokeza, kuingia na kutoka kwenye viwanja vya maonyesho ya kibaashara ya kimataifa sabasaba kwa wingi na kwa amani zaidi kama ilivyokua tangu siku ya ufunguzi wa maonyesho hayo June 28,2026.

Naendelea kutoa wito na kusisitiza wakaazi wa dar es salaam, mikoa jirani na waTanzania wote kwa ujumla, kuendelea kuja kwa wingi na kushuhudia, kujifunza na kujipatia huduma na mahitaji yao mbalimbali kwenye maonyesho hayo.

Hali ya kiusalama ni ya uhakika licha ya kuwepo na propaganda za hila zilizoanzishwa na chadema kupitia vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi waliomo humu nchini.πŸ’

Mungu Ibariki Tanzania
 
Dah we Jamaa itabidi ulipwe vizur sana kuliko Zack πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…