Lol changamkia fursa shoga mtembeze tembeze mkulima huyo keshauza mazao yake sasahivi ana Mipesa


amesema bado hajauza
Aangalie tu asije nogewa akahamia Jijini mazima ajue kabisa mjini kumejaa


wa mjini wenyewe tunataka kurudi vijijini
Lol sasa anakuja mjini kufanya nini mikono mitupu utamuhifadhi wewe mwanamke au??

naanzaje kufuga mfugo kasema akiuza ndio anakuja na mihela kwenye bag aliloweka kwenye avatarKweli sisi washamba ni mashamba ya watu wa mjiniLol changamkia fursa shoga mtembeze tembeze mkulima huyo keshauza mazao yake sasahivi ana Mipesa
Hili begi ulithi kutoka kwa babu nataka nikifika mjini ndo ninunue la kwanguHalafu mkuu begi mbona kama mkuu wa shule au walimu wale wa miaka ileee Tehteh
Hapo sawa asee mwanaume asioneshe hata jitihada zake ukurupuke tu kumlea uwiii maisha yenyewe haya ya magu kha akae huko alime avune kwanza ndo alete miguu yake mujininaanzaje kufuga mfugo kasema akiuza ndio anakuja na mihela kwenye bag aliloweka kwenye avatar
Sawa mkuu nitarudi maana nasikia dar kuna joto na Mimi sipendi jotoAangalie tu asije nogewa akahamia Jijini mazima ajue kabisa mjini kumejaa
Warudi tu kama mjini kumejaawa mjini wenyewe tunataka kurudi vijijini
Hapo sawa asee mwanaume asioneshe hata jitihada zake ukurupuke tu kumlea uwiii maisha yenyewe haya ya magu kha akae huko alime avune kwanza ndo alete miguu yake mujini




Mndali hujalala tu si ulituagaSawa mkuu nitarudi maana nasikia dar kuna joto na Mimi sipendi joto
Hatanihifadhi ila nitauzia mjini dar nitaenda na hela tuLol sasa anakuja mjini kufanya nini mikono mitupu utamuhifadhi wewe mwanamke au??