Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
Usijali ndo maana nimeweka begi langu kuonyesha safari imeivaHahahaaa! Huwezi kuamini nilishanunua mashine ya kusagia juice
safi sana mndaliSio tajiri ila nataka kutolewa ushamba na najua utakuwa umeacha kazi zako za kukuingizia kipato na Mimi nitakulipa kama sehemu ya asante

hapo mahela yamejaa kwenye bag nikikutembeza
hapo sawaSawa mkuu kesho natoa Mimi ofa

Asantesafi sana mndalihapo mahela yamejaa kwenye bag nikikutembeza
Sio mbaya ila jitahidi uhakikishe kama ile kamba ya mguu anayohivi unaonaje niichukue shost au
Liwe na vya kueleweka basiUsijali ndo maana nimeweka begi langu kuonyesha safari imeiva
hahahah na kweli inabidi nimkagueSio mbaya ila jitahidi uhakikishe kama ile kamba ya mguu anayo
Kamba huwa mnafunga sehemu gani maana sitak wengi wajue mi wakujaSio mbaya ila jitahidi uhakikishe kama ile kamba ya mguu anayo
Hahahaa! Kabisa mumy kama hana kamba bora kumpotezeahahahah na kweli inabidi nimkague
Hilo nitabebea pesa matunda nitaweka kwenye toroliLiwe na vya kueleweka basi
Mguuni tuKamba huwa mnafunga sehemu gani maana sitak wengi wajue mi wakuja

Shingoni mbona nitakuwa wa maonyesho sasa na Mimi sitaki nionekane wa kujaUnapopenda wewe mgeni hata shingoni sio mbaya
Sawa ila sitak mwingine aioneMguuni tu![]()
Duuh sitaachwa kwenye mataa kweli ?Hahahaa! Kabisa mumy kama hana kamba bora kumpotezea
wakuja ujue lazima ajulikane tu ata kama hana kambaShingoni mbona nitakuwa wa maonyesho sasa na Mimi sitaki nionekane wa kuja