Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,102
- 122,485
Sawa ila kaa ujue tunaisubiria kwa hamu hiyo simuliziNitasimlia siku nyingine
Sawa ila kaa ujue tunaisubiria kwa hamu hiyo simuliziNitasimlia siku nyingine
Hauwezi kukosa usingizi kisa ambacho haikija kupata wewe
kweli itakua la kuumiza maskiniBasi naye tumuache huwezi kujua unaweza kuta ni la kuumiza asije akalia bure
Kwa hiyo mnamdai stori chikirahe he ndio yale ya chikira kasema siku nyingine atatuambia
Uuwii. Umenifanya nicheke baada ya kusoma hii comment mara ya pili


kweli Emmy mbea ujue usimdokeze kitu bora upige kimya tu
teh
Asante kwa kulitambua hiloBasi naye tumuache huwezi kujua unaweza kuta ni la kuumiza asije akalia bure
Sawa mkuuSawa ila kaa ujue tunaisubiria kwa hamu hiyo simulizi
Sawa mkuuEmmy atakuhadithia
ila story yako ujue tunaisubili siku utakayojiskia tu utuambieSawa mkuu
Mkuu usijali nikipata nafasi nitasimliaila story yako ujue tunaisubili siku utakayojiskia tu utuambie
kweli Emmy mbea ujue usimdokeze kitu bora upige kimya tu
sawa mndaliMkuu usijali nikipata nafasi nitasimlia
Asante nawatakia usiku mwemasawa mndali
tunashkuru na ww pia ulale salamaAsante nawatakia usiku mwema
Amentunashkuru na ww pia ulale salama