Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Ooooh hapo sawaUsikate tamaa maana nategemea ninavyo toka huku naenda kuuza mazao ndo nitajaza humo kwa hiyo nikija hapo dar ni full matumizi tu

Ooooh hapo sawaUsikate tamaa maana nategemea ninavyo toka huku naenda kuuza mazao ndo nitajaza humo kwa hiyo nikija hapo dar ni full matumizi tu

Hahahaaa! Isizidi kipimo basi usije kesho ukashindwa kuamka


kiduchu tu
siku ukitoa yako nitakutumia kapichaNimemwomba kapicha ndo amegoma kisa sija toa of a mimi

Nakubaliana naye kabisaa! Siku zote kapicha hakanogi kama hujagharamikia kinachonywewa.


bora shost umemuelewesha
Ninasubiri anijibu atanifanyia bei gani kunipeleka kila nitako taka kwenda kupafahamu

kukutembeza kila sehem mpk na hela utakua tajiri sana yaan mambo ninayoyapenda
HahahahhhSawa mkuu maana mi nilitaka kujua kinywaji cha mjini maana kuna vinywaji huwa navisikia kwenye redio tu
JamaanSawa hata kama wamejaa aniambie tu watanifanyia bei gani hata yeye akiwa dalali sio mbaya


Sitawaangusha mkuuLol sitaki kuamini kama mkuu atatuangushaa
Kwa jinsi navyopenda juice ya parachichi Nzito na pasheni jamani lol
Sawa mkuuhahahhh subili ufike mjini uone kwa macho
Hahahaaa! Huwezi kuamini nilishanunua mashine ya kusagia juiceLol sitaki kuamini kama mkuu atatuangushaa
Kwa jinsi navyopenda juice ya parachichi Nzito na pasheni jamani lol
Sawa abiria chunga mzigo wako japo upo kwenye buti
Hapo sawakiduchu tu
Au tenda waitaka eee
Sio tajiri ila nataka kutolewa ushamba na najua utakuwa umeacha kazi zako za kukuingizia kipato na Mimi nitakulipa kama sehemu ya asantekukutembeza kila sehem mpk na hela utakua tajiri sana yaan mambo ninayoyapenda
Sawa mkuu kesho natoa Mimi ofasiku ukitoa yako nitakutumia kapicha![]()




Sawa mkuuWala simchungi kwa sababu mahondaw siyo mzigo... Ni binadamu, mwanamke mzuri mrembo...