GE2025 Huko CCM hakuna mwenye akili kidogo hata mmoja?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mawele

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
354
Reaction score
1,044
Hivi huko CCM hakuna mwenye akili hata kidogo! Hata mmoja anayeweza kushauri mambo ya msingi na kuacha kufanya ujinga ambao unaliangamiza Taifa?

Ndiyo, nawauliza nyie sababu Hatuna Serikali nchi imeshikwa na CCM pamoja na vyombo vyake vya dola ambavyo navyo vinatia shaka iwapo wapo watu wenye akili hata kidogo.

Hivi hakuna anayeweza kuwashauri kuwa Taifa lilipofika halitishwi kwa Kesi za Ugaidi, uhaini sijui uchochezi bla bla?

Achilia mbali matamko ya vitisho, sasa hata risasi au bunduki imeonekana haiwezi kuwatia watu woga na kuwanyong'onyesha wakubali ujinga wenu.

Ingekuwa risasi zinaweza basi sasa hivi nchi ingekuwa kimya au ingekuwa inasifu na kuabudu ila kila mtu anamkataa aliyejipa Urais na watu wake wote tena bila kificho.

Hivi hakuna mwenye akili hata kidogo, hata mmoja awaambie wajinga wengine huko CCM kuwa mnakoelekea ni kuipeleka nchi kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe Vita ambayo ni mbaya sana ambayo kupata Suluhu yake huwa kazi ngumu maana hujenga visasi kwa vizazi na vizazi?

Basi tufanye CCM wote huko na viongozi wenu ni wajinga mmekutana, hivi hata kale ka ubinadamu kadogo hamna ka kujua kuwa kwa sasa mioyo ya watu ina maumivu kila mnachofanya chenye kuleta maumivu kinaweza lipua bomu ambalo bado halijamalizikia kuzima?

Kwa kuwa mnaonekana kabisa hamna akili, basi mnajua na Raia hawana pia ndiyo maana mnapambana kugeuza ukweli dhahiri kuwa uongo mnaotaka nyie kwa faida zenu?

Acheni ujinga basi, shaurianeni, kama yupo mwenye akili kidogo shauri na kama hayupo basi ombeni ushauri kwa Raia mtapata ushauri ambao utakuwa wa kuliponya Taifa.
 
Hivi huko CCM hakuna mwenye akili hata kidogo! Hata mmoja anayeweza kushauri mambo ya msingi na kuacha kufanya ujinga ambao unaliangamiza Taifa?

Ndiyo, nawauliza nyie sababu Hatuna Serikali nchi imeshikwa na CCM pamoja na vyombo vyake vya dola ambavyo navyo vinatia shaka iwapo wapo watu wenye akili hata kidogo.

Hivi hakuna anayeweza kuwashauri kuwa Taifa lilipofika halitishwi kwa Kesi za Ugaidi, uhaini sijui uchochezi bla bla?

Achilia mbali matamko ya vitisho sasa hata risasi au bunduki imeonekana haiwezi kuwatia watu woga na kuwanyong'onyesha wakubali ujinga wenu.

Ingekuwa risasi zinaweza basi sasa hivi nchi ingekuwa kimya au ingekuwa inasifu na kuabudu ila kila mtu anamkataa aliyejipa Urais na watu wake wote tena bila kificho.

Hivi hakuna mwenye akili hata kidogo, hata mmoja awaambie wajinga wengine huko CCM kuwa mnakoelekea ni kuipeleka nchi kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe Vita ambayo ni mbaya sana ambayo kupata Suluhu yake huwa kazi ngumu maana hujenga visasi kwa vizazi na vizazi?

Basi tufanye CCM wote huko na viongozi wenu ni wajinga mmekutana, hivi hata kale ka ubinadamu kadogo hamna ka kujua kuwa kwa sasa mioyo ya watu ina maumivu kila mnachofanya chenye kuleta maumivu kinaweza lipua bomu ambalo bado halijamalizikia kuzima?

Kwa kuwa mnaonekana kabisa hamna akili, basi mnajua na Raia hawana pia ndiyo maana mnapambana kugeuza ukweli dhahiri kuwa uongo unaotaka nyie kwa faida zenu?

Hakuna aliye salama!
 
uko upande wa 2 amna mwenye akili wa kuwaambia maandamano ni kua na kiongozi na kubeba mabango badala ya kuchoma vitu?
 
Sio kweli kwamba wenye akili hawapo. Wapo ila ndio hawasikilizwi wakitoa ushauri wao. Tunao akina Joseph Butiku na mzee mwenzake Joseph Warioba. Huwa anawachana sana CCM na kuwapa ushauri, lkn CCM wameziba masikio kabisa. Nchi imwfika pabaya lkn waliopo madarakani hawaoni kama kuna shida. Wapiga kura wana manung'uniko kwamba huku ground mambo hayaendi. Wapi wapi wanapiga ufisadi tu.
 
Kule wamejazana mashetani, hiyo akili waitoe wapi?
 
Attachments

  • 20250609_175025.jpg
    20250609_175025.jpg
    57.1 KB · Views: 11
  • 20250609_175025.jpg
    20250609_175025.jpg
    57.1 KB · Views: 8
Vita ya sisi kwa sisi ipo hawashtuki kabisa, mfano mara ya mwisho wana ccm kukatiza mtaani na sare zao mwisho ilikuwa oktoba 28 baada ya hapo wenyewe wanajua kinachowakuta na hapo maandamano hayakuwa ni kuua yanayokuja itakuwa kuuana, kuna jirani yangu ni fukara wa kutupwa ila alivyo na kiherehere na ccm hapa mtaani wataanza nae, na kwa uoga saiv anajificha halali ndani
 
Hata kama wakawepo wenye akili, lakini kama mbele anayeongoza njia ni kipofu wa akili, nyote mtaonekana ni vipofu.
 
Sio kweli kwamba wenye akili hawapo. Wapo ila ndio hawasikilizwi wakitoa ushauri wao. Tunao akina Joseph Butiku na mzee mwenzake Joseph Warioba. Huwa anawachana sana CCM na kuwapa ushauri, lkn CCM wameziba masikio kabisa. Nchi imwfika pabaya lkn waliopo madarakani hawaoni kama kuna shida. Wapiga kura wana manung'uniko kwamba huku ground mambo hayaendi. Wapi wapi wanapiga ufisadi tu.
Ukiona basi ulilopanda dereva analiendesha vibaya hali inayoonesha ajali iko karibu kwa nini usishuke iwapo mmemshauri hawasikili?
 
uko upande wa 2 amna mwenye akili wa kuwaambia maandamano ni kua na kiongozi na kubeba mabango badala ya kuchoma vitu?
Wakati unamtafuta kiongozi wa kusema wasichome vitu anza na kiongozi aliyekataa kuwasikiliza vilio vyao mpaka wakaingia kuchoma vitu.

Hawakuchoma vitu kabla kwa nini wachome sasa? Ukiona hivyo wamefika tamati ya uvumilivu, wanahitaji kutumia mbinu itakayowafanyeni mjitafakari na kujua wamefika mwisho, mbinu gani ya kutumia hiyo wanachagua wao kama hiyo ya kuchoma na nyinginezo na mtegemee zaidi iwapo mkizidi kushupaza makomwe

Kiburi mwenzake jeuri umeipata, ndipo tunapata hasira hasara.

Mliwaacha waishi na hasira bila kuwapa wanachotaka sasa vuneni hasara.
 
Back
Top Bottom