Hujachanjwa, hupewi huduma

Sawa, naweka ufafanuzi kama ifuatavyo;

Soma ufunuo sura ya 6 yote na sura ya 7. Pale ufunuo 7:2-3 utaona Malaika akiwazuia wale Malaika waliopewa kuidhuru nchi, wasiidhuru nchi wala bahari, wala miti hadi watakapokwisha kuwatia muhuri watumwa wa Mungu juu ya vipaji vya nyuso zao. Baada ya zoezi hilo la kutiwa muhuri ndipo unyakuo ulipofanyika. Ukisoma ufunuo 7:9, watu kutoka kila taifa, kabila, jamaa na lugha wamesimama mbele ya kile kiti cha enzi, na mbele za Mwanakondoo, wamevikwa mavazi meupe, wana matawi ya mitende mikononi mwao.......

Sasa ukisoma ufunuo 6:9, katika kipindi cha dhiki kuu kabla ya unyakuo ulioelezwa kwenye ufunuo 7:9 kuna wale watakaouawa kwa ajili ya neno la Mungu na kwa ajili ya ushuhuda waliokuwa nao. Kwa hiyo hii inadhihirisha kwamba kutakuwa na kipindi cha mateso na kuuawa kwa watakatifu kabla ya unyakuo....ubarikiwe sana.
Ndugu ni hivi: kwa sasa wokovu ni kwa neema. Tunambelezana na kushawishiana. Lakini watakatifu waliookoka wakati huu wa neema wakishaondoka (nyakuliwa) kwenda mbinguni, dhiki kuu itaanza rasmi. Na kwamba watu watakaokuwa wamebaki duniani hawataweza kupata huduma mbalimbali mpaka wawe na chapa ya Mpinga Kristo.

Sasa katika binadamu waliobaki duniani baadhi yao hawatakuwa tayari (watagoma) kupata hiyo chapa. Watakuwa tayari kufa kulikokupewa hiyo chapa, na wataamua KUMPOKEA YESU KRISTO KUWA MWOKOZI wao. Hivyo wataokolewa kwa kukubali kuuawa. Hivyo hawa ndio watakatifu wanaotajwa wakati wa dhiki kuu. Wataokoka kwa damu zao kumwagwa. Nadhani utakuwa umenipata ndugu Nyumisi .
 
Huu ni upuuzi Kwa sababu hii chanjo haikuzuii kupata maambukizo.sasa chanjo ni ya nini wakati haikuzuii kupata maambukizo.
hangaya alisema inakufanya unaugua taaratiiibu, risk za kufa kwa wingi zinapungua.........mjumbe hauwawi.
 
Upumbavu wetu sisi waafrika hauna mipaka. Yaani unapata jitu jeusiii tititi likibishaaa na kupinga kila suala linalohusiana na chanjo, 'ya muzungu'. Hadi linatokwa na mishipa shingoni, ila hoja zake zote anazitoa kwenye dini iloletwa kwa meli na huyo huyo mzungu. Sijui rapture, alama mara wateule na vitu vingine vya kipumbavu kama hivyo. Ambavyo huwa wanalishwa na matapeli ili wapigwe vizuri kwenye kikapu cha sadaka.
 
Serikali nchini Kenya imesema kuanzia December 21, 2021 watu watalazimika kuonesha cheti kuwa wamechanjwa chanjo ya Covid 19 ili kuweza kupata huduma kwenye Ofisi za Serikali na wale ambao hawajachanjwa hawatopewa huduma.

Baadhi ya ofisi ambazo bila cheti cha chanjo Mtu hatopata huduma ni Mamlaka ya Mapato (KRA), Uhamiaji. Hospitali, Shuleni na Vyuoni, Bandarini n.k

Waziri wa Afya wa Kenya Mutahi Kagwe amesema kuelekea kuanza kwa utaratibu huo kuanzia November 26, 2021 kutakuwa na ugawaji chanjo kwenye maeneo yenye mikusanyiko ya watu wengi kwa siku 10 mfululizo.

"Hakuna aliyesema chanjo ni lazima lakini kama unahitaji huduma kwenye Ofisi za Serikali unapaswa kuchanja"

My take: NAISHAURI SERIKALI YA AWAMU YA 6 IWAIGE WAKENYA KATIKA HILI, ILI WATU WENGI ZAIDI WAJITOKEZE KUCHANJA
Acha ujinga hiyo chanjo umeifanyia research ya kutosha hadi kuanza kushawishi watu

Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
 
Afrika kumejaa mapoyoyo tupu, hakuna mtu ambaye ataishi milele...uchanjwe au usichanjwe bado utakufa kwa uzinzi wako, ajari zitakuua barabarani angani na majini, malaria TB sukali nazo zitakumaliza. Kuchanjwa ni HIYARI wasitake kuiga UJINGA wa majirani kuuleta huku Tz. Kwanza Tz ugonjwa umekwisha haupo nawashangaa watanzania na ndugu yenu mnatumia nguvu kubwa sana ambayo haina msingi kutaka watu wachanje. Sisi tunaishi kwa neema na tuna imani katika hili tumevuka..nyie mnaotaka kuturudisha nyuma mtageuka wenyewe na mtakuwa NGUZO ZA CHUMVI muda si mrefu..tutawafukia nyie!
 
Ingekuwa wewe ni mkristo kweli hungemalizia kwa kuwatakia wenzako mabaya. Wala hungewatabiria hayo maajabu ya wao kugeuka 'nguzo za chumvi'. Labda ungewapa onyo kuhusu athari ya maamuzi na matendo yao. Ila bila shaka mwishowe ungewatakia heri kwenye mkondo walioamua kuuchukua.

Yaani kwa ufupi unadandia tu dini ukijaribu kuhalalisha na kuwalazimishia wenzako fikra zako binafsi. Ambazo hazina msingi hata mmoja thabiti, sio kidini, sio kisayansi. Labda kwenye mazagazaga mengine yako ya kando kando, kama nguvu za giza na uozo mwingine wa sampuli hiyo.

Upo upo tu ndugu yangu, ukikariri kwa fujo kama mashine ya fotokopi. Hayananihusu hayo, kinachonisikitisha ni kwamba watu kama wewe wanawaambukiza na kuwaangamiza wenzao bure tu. Kupitia huu upumbavu, ashakum sio matusi, ambao mnaueneza ovyo ovyo. Kwa faida ya watu wachache ambao hawajaelimika wala kustaarabika. Tena watu ambao wanaishi kwenye karne ya jana.
 
Bwashee Sinopharm bado zipo za kutosha, Moderna zipo njiani zinakuja, Upatikanaji wa chanjo siyo tatizo! Nenda kachanje
Ile chanjo ya UKIMWI ya Moderna ndiyo hiyo? Ikifika hiyo nitachanja covid19.
 
Sawa, naweka ufafanuzi kama ifuatavyo;

Soma ufunuo sura ya 6 yote na sura ya 7. Pale ufunuo 7:2-3 utaona Malaika akiwazuia wale Malaika waliopewa kuidhuru nchi, wasiidhuru nchi wala bahari, wala miti hadi watakapokwisha kuwatia muhuri watumwa wa Mungu juu ya vipaji vya nyuso zao. Baada ya zoezi hilo la kutiwa muhuri ndipo unyakuo ulipofanyika. Ukisoma ufunuo 7:9, watu kutoka kila taifa, kabila, jamaa na lugha wamesimama mbele ya kile kiti cha enzi, na mbele za Mwanakondoo, wamevikwa mavazi meupe, wana matawi ya mitende mikononi mwao.......

Sasa ukisoma ufunuo 6:9, katika kipindi cha dhiki kuu kabla ya unyakuo ulioelezwa kwenye ufunuo 7:9 kuna wale watakaouawa kwa ajili ya neno la Mungu na kwa ajili ya ushuhuda waliokuwa nao. Kwa hiyo hii inadhihirisha kwamba kutakuwa na kipindi cha mateso na kuuawa kwa watakatifu kabla​
Umechanganya vipindi
 
Serikali nchini Kenya imesema kuanzia December 21, 2021 watu watalazimika kuonesha cheti kuwa wamechanjwa chanjo ya Covid 19 ili kuweza kupata huduma kwenye Ofisi za Serikali na wale ambao hawajachanjwa hawatopewa huduma.

Baadhi ya ofisi ambazo bila cheti cha chanjo Mtu hatopata huduma ni Mamlaka ya Mapato (KRA), Uhamiaji. Hospitali, Shuleni na Vyuoni, Bandarini n.k

Waziri wa Afya wa Kenya Mutahi Kagwe amesema kuelekea kuanza kwa utaratibu huo kuanzia November 26, 2021 kutakuwa na ugawaji chanjo kwenye maeneo yenye mikusanyiko ya watu wengi kwa siku 10 mfululizo.

"Hakuna aliyesema chanjo ni lazima lakini kama unahitaji huduma kwenye Ofisi za Serikali unapaswa kuchanja"

My take: NAISHAURI SERIKALI YA AWAMU YA 6 IWAIGE WAKENYA KATIKA HILI, ILI WATU WENGI ZAIDI WAJITOKEZE KUCHANJA
Untonywaaa fala wewe.
 
Mimi NAULIZA TU;

Vipi sisi AMBAO tulichanjwa lakini kwa bahati mbaya tulipoteza vyeti vya uthibitisho wa chanjo?
 
Back
Top Bottom