Huduma za visima vya maji imeboreshwa

Mm nahtaj mashine ya kupump maji kuyaandisha juu kwenye matank ambayo yatakua 100m toka chanzo cha maji ziwan.Bustan imeanzia ziwan hadi 100 toka chanzo cha maji
 
Mkuu
Huduma Nzuri Hiyo Unayoitoa Ila Nimeona Gharama Ulizotaja Kwa Morogoro
Kuna Kampuni Zipo Hapa Puma Kihonda Wanatoa Tofauti Mita 80000/= Hapo Iwapo Uwekewa Bomba Lile La Class B
Kama Unapochimba Kuna Mwamba Wao Wanatoza Tshs 50000/= Na Hawatakuwekea Bomba
 
Habari Jf .

Tumekuwa tukitoa huduma za uchimbaji wa visima, pampu za maji na bomba kwa muda mrefu sasa.
Huduma tumeboresha ili kuwafikia watu wengi zaidi.

Gharama za kufanya underground water survey zitafidiwa kwenye gharama ya kuchimba kisima.
Gharama ya kufunga pump( installation cost) itafidiwa kwenye gharama ya kuchimba kisima, hii ni kwa pump ya umeme tu, kwa pump ya solar , installation cost atalipia mteja.

Gharama za kuchimba inategemea na mkoa;
DSM: Chini ya mita 50 ni 3.5M
Juu ya mita 60 ni 60k - 70k kwa mita moja. Contact 0699494659
Pwani, Morogoro: 90k - 100k kwa mita moja: Contact 0759600809
Iringa,Mbeya: 130k - 160k kwa mita moja: Contact 0734 660 368
Tanga, Arusha: 140k - 160k kwa mita moja: Contact 0693910388

Huduma ya water fittings, yaani kuunganisha tank za maji na mfumo wa maji kwa jumla gharama zake ni maelewano baada ya kufika site (site visiting)

Bila kusahau pump za maji kwa ajili ya kisima zinapatikana, zipo za umeme na solar kwa gharama nafuu zaidi, ( hizi zipo ofisi ya DSM, mikoani zinatumwa)

Karibu tukuhudumie.
Dsm tupo Gerezani 0699494650
Lindi street.
Picha na video zinakuja
Mm nahtaj mashine ya kupump maji kuyapandisha juu kwenye matank ambayo yatakua 100m toka chanzo cha maji ziwan.Bustan imeanzia ziwan hadi 100 toka chanzo cha maji maji yapo
 
Back
Top Bottom