Nchi 10 za Afrika zilizoongoza kutembelewa na wageni wengi mwaka 2023. Tanzania namba 5

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,076
49,774
Wageni kutoka kote Duniani wakitaka Kutembelea Afrika basi Nchi 10 ambazo ziko kwenye vichwa vyao ni zifuatazo.

My Take: Tanzania inatakiwa walau ijitahidi ifikishe wageni mil.5. Hizo takwimu Kwa Tanzania ni Hadi mwisho wa mwezi Oktoba.

===========

Africa's Most Visited Countries (2023)

1. Egypt - 14.9 million tourists

2. Morocco - 14.5 million

3. Tunisia - 9 million

4. South Africa - 7.6 million

5. Tanzania - 1.797 million

6. Kenya - 1.75 million

7. Rwanda - 1.4 million

8. Mozambique - 1.2 million

9. Mauritius - 1.1 million

10. Zimbabwe, Uganda - 1 million+ each

Source: Africa Fact Zone

View: https://twitter.com/AfricaFactsZone/status/1751123094624764265?t=ukC2I8YLR5iyBjsUR9g66Q&s=19

SWali.
Huwa mnatuambia Nigeria Ina watu wengi sana Nje ya Nchi na inapendwa,mbona haipo kwenye list?
 
Nadhani ni wakati sahihi wizara ikawekeza pia kwenye utalii wa mambo mengine zaidi ya utalii wa kwenda kutazama wanyama. Morroco na Egypt hawana wanyamapori ila ndo wanaongoza. Serikali ifanye utafiti wa vivutio vingine
 
Back
Top Bottom