Tanzania yashika namba 3 Afrika kuwavutia wawekezaji na wafanyabiashara

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,054
49,738
Kwa Mujibu wa utafiti uliofabywa na jarida la mambo ya biashara na Uchumi la KPMG Kwa kuwasaili wakuu wa mashirika ya biashara Afrika, wameitaja Tanzania kama Nchi wanayofikilia kuja kuwekeza mitaji Yao.

Ikumbukwe kabla ya awamu ya 6, Wawekezaji na Wafanyabiashara walikuwa wanaikimbia Nchi Kwa sababu ya mazingira mabaya ya Utawala uliokuwepo.

Mama ameirejesha Tanzania mahala ambapo ilikuwa inastahili.

Top 10 countries for future investments in sub-Saharan Africa

1. South Africa
2. Nigeria
3. Tanzania
4. Ghana
5. Kenya
6. Mauritius
7. Zambia
8. Uganda
9. Mozambique
10. Zimbabwe
 
TANZANIA AMONG TOP 3 BEST INVESTMENT DESTINATIONS IN AFRICA

A new survey of international and domestic investors has revealed that Tanzania is the third most preferred investment destination in Africa and the best in East Africa

Top 10 countries for future investments in sub-Saharan Africa:

1. South Africa 🇿🇦
2. Nigeria 🇳🇬
3.Tanzania 🇹🇿
4. Ghana 🇬🇭
5. Kenya 🇰🇪
6. Mauritius 🇲🇺
7. Zambia 🇿🇲
8. Uganda 🇺🇬
9. Mozambique 🇲🇿
10. Zimbabwe 🇿🇼

👉 80% of investors said they prefer to do deals in Nigeria (30%) and South Africa (50%) in the future, the continent's two biggest economies

👉 Tanzania (15%), Ghana (14%) and Kenya (14%) make it in the Top 5 list of preferred investment destinations

- KPMG
1698131750875.jpeg
1698131761327.jpeg
 
""Kabla ya awamu ya sita wawekezaji na wafanyabiashara walikuwa wanaikimbia nchi Kwa sababu ya mazingira mabaya ya utawala uliokuwepo""

Hivi una akili timamu wewe ulivyoandika hivyo? hao unaowaita wawekezaji wako na wafanyabiashara ni makupe yanayokuja kunyonya rasimali za nchi yetu Kwa kigezo Cha uwekezaji,wanachimba madini wanatuachia mashimo,wananunua mbuga zetu,wananunua ardhi zetu wazawa wanafukuzwa kwenye ardhi zenye rutuba.

Sema hivi kwenye awamu ya sita nchi iliongozwa chini ya utawala thabiti na mtawala pekee aliyeweza kusimamia rasilimali za watanzania,hao makupe yalikosa mianya ya kupendeza mirija Yao.

Sasa wewe kaa hapo na hiyo akili Yako isiyo chambua mambo unafurahia habari zinazoangamiza taifa lako
 
Hivi una akili timamu wewe ulivyoandika hivyo??hao unaowaita wawekezaji wako na wafanyabiashara ni makupe yanayokuja kunyonya rasimali za nchi yetu Kwa kigezo Cha uwekezaji,wanachimba madini wanatuachia mashimo,wananunua mbuga zetu,wananunua ardhi zetu wazawa wanafukuzwa kwenye ardhi zenye rutuba.......Sema hivi kwenye awamu ya sita nchi iliongozwa chini ya utawala thabiti na mtawala pekee aliyeweza kusimamia rasilimali za watanzania,hao makupe yalikosa mianya ya kupendeza mirija Yao.
..Sasa wewe kaa hapo na hiyo akili Yako isiyo chambua mambo unafurahia habari zinazoangamiza taifa lako
Mapovu ya nini Mzee,makupe Huwa yanajenga viwanda? Makupe Huwa yanawekeza kwenye Kilimo ? Makupe Huwa yanalipa Kodi?

Wewe amabe sio kupe una Msaada gani Kwa watu wako na Nchi? Pumbavu umejaa mausaa kichwani.

View: https://twitter.com/dailynewstz/status/1716330346826858929?t=-s46pVR_JYk_Oa_TzzkgMw&s=19
 
Wewe chawa, 15% is way below the average, indicating that only a handful of foreigners are genuinely interested in investing in Tanzania.

Hapo hakuna chochote chakujisifia. Ujuha wako wakushindwa kuangalia data na kuleta kwenye uhalisia ndiyo kaburi lako. Kumbuka, Tanzania remains one of the poorest countries globally. Mchakato wakuanzisha biashara Tanzania ni pasua kichwa. Unakumbuka ya Dangote? Vipi Elon Mask wanayemwambia afungue ofisi hapo mjini Dar?

Vipi Benjamin wa NALA?

Wawekezaji bado wanachagua South Africa na unaweza jionea hapo ni 50%

Sawa wewe kenge?
 
Wewe fala kubwa uliyochangia wewe Iko wapi? Kwenye hiyo ndogo ipo Tanzania tuu.
 
Tulia dada.

15% ni below avarage.

Haijalishi ipo Tanzania pekee ama lah.

Wewe ni mjinga na hauna uwezo wakuchakata mambo kwa marefu na mapana yake.

Unachokifanya hapa unashangilia ujinga.

Haya sasa jifunike hayo mapaja yako hakuna anayetafuta hawara hapa, nimekuona umejiachia muda sana.
 
Kwa Mujibu wa utafiti uliofabywa na jarida la mambo ya biashara na Uchumi la KPMG Kwa kuwasaili wakuu wa mashirika ya biashara Afrika, wameitaja Tanzania kama Nchi wanayofikilia kuja kuwekeza mitaji Yao.

Ikumbukwe kabla ya awamu ya 6, Wawekezaji na Wafanyabiashara walikuwa wanaikimbia Nchi Kwa sababu ya mazingira mabaya ya Utawala uliokuwepo.

Mama ameirejesha Tanzania mahala ambapo ilikuwa inastahili.

Top 10 countries for future investments in sub-Saharan Africa

1. South Africa
2. Nigeria
3. Tanzania
4. Ghana
5. Kenya
6. Mauritius
7. Zambia
8. Uganda
9. Mozambique
10. Zimbabwe

View: https://twitter.com/thebizwiztz/status/1716739469817139512?t=wE46pry3W1nn9j5L3dV0FA&s=19
 
""Kabla ya awamu ya sita wawekezaji na wafanyabiashara walikuwa wanaikimbia nchi Kwa sababu ya mazingira mabaya ya utawala uliokuwepo""

Hivi una akili timamu wewe ulivyoandika hivyo? hao unaowaita wawekezaji wako na wafanyabiashara ni makupe yanayokuja kunyonya rasimali za nchi yetu Kwa kigezo Cha uwekezaji,wanachimba madini wanatuachia mashimo,wananunua mbuga zetu,wananunua ardhi zetu wazawa wanafukuzwa kwenye ardhi zenye rutuba.

Sema hivi kwenye awamu ya sita nchi iliongozwa chini ya utawala thabiti na mtawala pekee aliyeweza kusimamia rasilimali za watanzania,hao makupe yalikosa mianya ya kupendeza mirija Yao.

Sasa wewe kaa hapo na hiyo akili Yako isiyo chambua mambo unafurahia habari zinazoangamiza taifa lako
Kwenye utawala huu uliojinasibu kufungua nchi, na kusema pesa sasa ziko mitaani ni majizi na machawa tu yanaweza kupongeza maana wao kusifu na kuabudu kila upuuzi ndio gear yao ya kujikombakomba.Hakuna awamu bomu kama hii. Kila idara ipo ICU.
 
Na Hawa wote wanayoandika kutukuza awamu hawana lolote zaidi ya kutafuta huruma wateuliwe,wanajijali matumbo Yao na maslahi ya familia zao
 
Back
Top Bottom