lexur16
Senior Member
- Oct 11, 2010
- 157
- 201
Fanya malipo kwa moja kati ya hizo namba zangu hapo juu, na order yako itafanyiwa kazi
KARIBU
poa mkuu ntakucheck
Fanya malipo kwa moja kati ya hizo namba zangu hapo juu, na order yako itafanyiwa kazi
KARIBU
iPhone model supported
Call/ sms 0768 92 48 41, Karibu
- Iphone 3G
- Iphone 3GS
- Iphone 4
- Iphone 4S
- Iphone 5
- Iphone 5C
- Iphone 5S
Mkuu zile simu za Hauwei za TTCL ambazo zinatumia line zake tu unaweza pia kuzitibu? Kama ni ndiyo nitakutumia EMEI.
inatumia line ya voda tuu kwa sasa..
> Tsh 27'000 ndio cost yake
> Vitu.viwili vinatakiw
1.IMEI number &
2. PRD number
KARIBU
asante mkuu
hapo kwenye bluu mahaba yako kwa ttcl yamepitiliza!!!Hapa ngoja nikujibu.
TTCL wanatumia aina ya simu ambayo inatumia teknolojia ya CDMA (Code Division Multiple Access) ambayo ina uwezo mkubwa zaidi hasa katika mawasiliano ya "data". Kampuni nyingine inayotumia teknolojia ya CDMA ni Zantel, japokuwa Zantel nao wanatumia teknolojia ya GSM. Kampuni nyinge zote za simu zinatumia GSM, japokuwa kwa upande wa "data", wapo wanaodai kwamba wanatumia teknolojia ya CDMA. Hili sijathibitisha.
Kwa hiyo, ukiwa na simu ya TTCL, ukiweka line nyingine yoyote ile ISIPOKUWA ya CDMA, haitafanya kazi. Uamuzi huu ulifanywa makusudi na TTCL ili kuweza kukuletea huduma BORA ZAIDI, kwa kuwa kiwango cha mawasiliano kwa upande wa CDMA - kwa sauti na data - ni cha juu zaidi, na pia, teknolojia hii ina gharama nafuu zaidi kuliko teknolojia ya GSM ambayo kwa sasa haiwezi kushindana na teknolojia ya CDMA (ambayo inaweza kuongezwa ubora hadi kufikia WiMax na LTE kwa urahisi zaidi).
Hata ukijaribu kutumia IMEI, bila ya kuwa na line ya CDMA (ambayo haiitwi SIMcard bali inaitwa RUIMcard), hutaweza kuitumia simu yako kwenye mitandano mingine, ISIPOKUWA TTCL na Zantel.
Nimesomeka.
Je ni huawei model ipi? Nipe model nitakupa jinsi ya kuifanyia uocking for FREE.
KARIBU
Kuna method mbili za kufanyia unlocking hii modem HUAWEI E153Ni Huawei e153.
Ebwana!..simu yenyewe ni nokia lumia 920,IMEI Number ni "353680055989463",imekuwa locked na mtandao wa AT&T-USA,vipi garama yake ndugu?