Mwl.RCT
Platinum Member
- Apr 5, 2009
- 15,597
- 22,338
- Thread starter
- #141
> Watu gani hao?Watu kama hawa ndio wanaendeleza wizi
>> Sidhani kama umefuatilia vyema huu uzi
> Huu uzi hauhusiki na simu iliyojilock wala ku_lockiwa halafu ikaibiwahakuna simu iliyojilock zaidi ya kulockiwa na mwenyewe halafu ikaibiwa.
>> Simu zinazohusika hapa ni zile ziko locked katika mtandao mmoja, Mfano HUAWEI Y530 , hii simu inaizwa na kampuni ya simu ya tiGO kwa bei nafuu,na iko locked kwa huu mtandao wa tiGo Si wote wanunuao hii simu wanataka huduma ya tiGo, HIvyo huamua kufanyia unlocking ili iweze kutumia laini za mitandao mingine, na hata ukisafiri nje ya nchi utaendelea kutumia simu yako kwa mitandao ya nchi utakayokuwa umetembelea
> Rejea tena dhumuni la huu uziTujenge utamaduni wa kununua simu madukani na sio simu za wizi.
>> Ondoa dhana ya wizi wa simu.
>>> Hivi leo simu ya NOKIA LUMIA 635 ambayo bado usambazaji wake bado, inauzwa na Kampuni ya AT&T - USA kwa dola 100 tu. Hii ipo locked kwa mtandao wa AT&T, hivyo si ajabu watu wakafanya order toka USA ikiwa locked na wakaomba huduma ya kufanyiwa unlocking hapa JF.
KARIBU NDUGU
Watu kama hawa ndio wanaendeleza wizi,hakuna simu iliyojilock zaidi ya kulockiwa na mwenyewe halafu ikaibiwa.Tujenge utamaduni wa kununua simu madukani na sio simu za wizi.