- Kwa verizon USA andaa tsh 175,000 kwa ajiri ya unlocking
- ila hakikisha anakupa taarifa zote za hiyo simu. Apple product zao huwa zinasumbua iwapo hutakuwa na taarifa zake mfano apple IDs [ /username or password kwa ajiri ya itune/ icloud]
mh... hapo ni pamoja na nauli au? gharama hiyo usidanganye watu wakat kuna simu unaUnlock hadi kwa dola 10. nakumbuka Godfrey Electronics aliwahi kuUnlick simu ya jamaa yangu kwa dola 2.99 nashuhudia. Acha kutisha watu gharama yote hiyo. Vinginevyo wewe ni mwizi
- Mkuu Unazungumzia simu nyengine na si IPHONE, hebu nitafutie huyo jamaa mi nitakuwa namlipa dola 50 kwa kila iphone moja achana na hiyo dola 2.99 unayosema wewe
- Hiyo dola 2.99 ni cost ya ku unlock modems ndugu, na kama ni simu itakuwa nokia ya tochi
- Kwa taarifa yako tu iphone unlocking zinafika mpaka 250,000 sijakose ndio ni LAKI MBILI NA NUSU fanya utafiti utakubaliana na mimi.
- Cha kusikitisha ni kwamba wajaribu kutolea maelezo kitu usichokijua
- Karibu
Je kipi nifanye ili kupata hizo unlock code za simu yangu?
- Fuata hizi hatua:
1. Nipatie model and brand mfano: Nokia N97 au HUAWEI ASCEND Y300, na IMEI number yako tu, kwenye comment ya hii thread
2. Nitakujibu comment kwa kuainisha gharama ya unlock code kwa simu yako.kumbuka Kila aina ya simu ina gharama yake.
3. Utafanya malipo ili kupata unlock code yako.
4. Muda wa kupata unlock code ni ndani ya masaa mawili (2) hadi 24(siku moja) inategemeana na aina ya simu yako.
868438012725993
868438012725993
huawei ascend y300