Huduma: Unlocking Phone by IMEI Number

Huduma: Unlocking Phone by IMEI Number

ninatoa huduma ya kuunlock devices zote.

1.Simu za huawei ascend zote kwa tsh 10,000/= ukiniona.
Kama uko mbali ni ths 20,000/=
2. simu za alcatel one touch&vodafone V875 kwa tsh 20,000/=
3. NB:MODEL ZOTE ZA SIMU ZINAWEZEKANA.
3. modem zote kwa tsh 7,000/=
4. mobile wifi/ mifi/wireless router kwa tsh 15,000/=
NB: HAKUNA DEVICE INAYOSHINDIKANA.
NAPATIKANA DAR ES SALAAM
WASILIANA NAMI KWA 0682-29-57-52.
AU FB PAGE :https://www.facebook.com/ModemWizard

MAlipo inakuaje sasa npo mbal
 
Ni y 300..ntashtua

kuna jamaa mmoja anaitwa Juma something nimepata namba yake humuhumu. leo nimenunua simu tigo na sasaivi nishatoa izo code. tena sio kwa siku 2 kama uyo mwl. nimempigia uyo mwl ananiambia eti 30000, alafu lazima usubiri. JUMA anakupigia hapo hapo hata sek 20 haziishi. si mfagilii but inapofikia sehemu ya kumpa mtu credit lazima uumpe-0682295752
yuko pale mlimani university. achana na mwl. uyo nimemwomba 20000, ananiambia siwezi fanya kazi ya 20000. samahani mwl. lakini umeniboa!!! tofauti ya 10000 na 30000 ni kubwa sana.
 
kuna jamaa mmoja anaitwa Juma something nimepata namba yake humuhumu.
  • Yes jumannezakayo namfahamu, ni jamaa yangu na muda si mrefu nilikuwa na chat naye katika whatsapp
  • Na ameshawahi kuwa mteja wangu wa tunnelguru
dhn3gp977s0whe7m1n6p.png

​
tena sio kwa siku 2 kama uyo mwl. nimempigia uyo mwl ananiambia eti 30000,
  • Yes true, NCK codes za Y300 ni tsh 30,000 ndio bei niliyopanga, hata ukiangalia post za wateja wengine ndio bei niliyowatajia.
....... alafu lazima usubiri.
  • Ndio lazima usubiri, ni utaratibu wangu wa huduma.
JUMA anakupigia hapo hapo hata sek 20 haziishi. si mfagilii but inapofikia sehemu ya kumpa mtu credit lazima uumpe-0682295752
  • Umesomeka mkuu, hata mimi nampongeza juma kwa hilo.
yuko pale mlimani university.
  • Okay...kumbe......!!!!
achana na mwl. uyo nimemwomba 20000, ananiambia siwezi fanya kazi ya 20000. samahani mwl. lakini umeniboa!!! tofauti ya 10000 na 30000 ni kubwa sana.
  • Mpaka hapa kwa mtu mwenye akili timamu amekwisha kusoma tayari, kwamba wewe ni mtu wa namna gani na unalengo gani, Sina la kuongeza zaidi Mjasiriamali1 .
....uyo nimemwomba 20000, ananiambia siwezi fanya kazi ya 20000........10000 na 30000 ni kubwa sana.
  • Biashara daima ni makubaliano baina ya pande mbili, na hufanyika baada ya pande zote mbili kuridhia na si vinginevyo.
Ndugu Mjasiriamali1 KARIBU
kuna jamaa mmoja anaitwa Juma something nimepata namba yake humuhumu. leo nimenunua simu tigo na sasaivi nishatoa izo code. tena sio kwa siku 2 kama uyo mwl. nimempigia uyo mwl ananiambia eti 30000, alafu lazima usubiri. JUMA anakupigia hapo hapo hata sek 20 haziishi. si mfagilii but inapofikia sehemu ya kumpa mtu credit lazima uumpe-0682295752
yuko pale mlimani university. achana na mwl. uyo nimemwomba 20000, ananiambia siwezi fanya kazi ya 20000. samahani mwl. lakini umeniboa!!! tofauti ya 10000 na 30000 ni kubwa sana.
 
Last edited by a moderator:
Mawasiliano:
Mwl.RCT

>> BBM PIN# 76440f77

>> Whatsapp # 0784 496 856

>> Skype #: Mw1rct

>> tigo #: 0717 54 57 62

>> Voda #: 0768 92 48 41

>> Airtel #: 0784 496 856

Kwa Wakazi wa Mwanza tu Piga hii simu: 0787 921 515 { Eraldius } Ili kufika katika ofisi yetu.

Karibuni Sana kwa huduma bora na ya hakika.
IMEI.. 868438019329716
Huawei Y350

toa bei
 
  • Fanya malipo ya TSH 30,000 /- kupata NETWORK UNLOCK codes ili simu yako itumie laini yeyote utakayopenda
  • Kupitia namba [tiGo] 0717 54 57 62 au [Voda] 0768 92 48 41
  • Kisha order yako itashughurikiwa na unlock codes utapata ndani ya masaa 12
  • KARIBU
huawei y300 imei 863522024645433 unlocking code mkuu
 
Lengo la ku_unlock simu
  1. Kuwa na uhuru wa kutumia laini ya simu toka mtandao wowote wa simu.
  2. Mfano leo upo tanzania utatumia tigo, ukisafiri na kwenda uganda utaweka laini ya MTN Uganda bila kulazimika kununua simu nyengine.
Karibu

Kwa nini ni unlock wakati wenyewe wali lock ?
 
Mkuu umekurupuka kupost pasipo kuelewa mtiririko wa mada
Nakupa ufafanuzi
  • Mimi siuzi hizo Router tajwa kwenye picha
  • Muuzaji ni jumanne zakayo na namba yake ipo kwenye attachment hapo juu [ Rejea Post yake #78 na #79 ya tarehe 15th March 2014 04:48hrs ]
  • Sababu za kuweka hiyo attachment/ picha ni kumuonyesha mwana jamii forum mwenzetu ndugu mjasiriamali1 aliyekuwa akijenga hoja zisizo na mashiko [Rejea hapo juu Post #85 na #86 ]
Pole Sana na Karibu
Hizo mobile router unauza laki na 80, wakati posta zinauzwa laki na 35, mbona wapigaji humu
Kama mtu anataka anichek nimuelekeze duka
 
Kaka samahani kwa kutoka nje ya mada.mimi ni fundi simu nipo arusha lakini na deal na hardware tu sasa nikitaka kufanya flashing na unlocking nianze na process zipi?I mean gharama na tools kwa ujumla

Sent from my Blackberry
 
Habari wataalam, rafiki yangu amefika toka London na simu tajwa hapo juu. Orange wamei-lock, anataka ku-unlock, IMEI 352376053868251. Kwa niaba ninaomba unlock code

Nawasilisha.
JSYfFG

Cost: EURO 19.99, [Sawa na TSH 45,394.98]
Waiting Time: 2Hrs
Why we have waiting time?: It is Online order to get NCK Unlock Codes
KARIBU
 
iphone 4 unafanya kias gani?
Nipe taarifa hizi ili nikupe cost stahili
  • Network locked: Mafano AT&T usa , au O2 German
  • IMEI number.
Ila range ya price kwa Iphone 4 ni kati ya TSH 60,000 hadi 225,000.{ Price hii red ni kwa simu ambazo hazina taarifa hizo mbili muhimu}
  • KARIBU.
oFFtOPIC
  • Mkuu ile avatar yako ya awali ndio haswa ilikuwa inaakisi user ID yako
 
Haya ntairudisha mkuu,

Ila nilikuwa nauliza ili nijue nikiagiza nachajiwa kiasi gani ku-unlock. Mtandao ni verizon
 
Haya ntairudisha mkuu,

Ila nilikuwa nauliza ili nijue nikiagiza nachajiwa kiasi gani ku-unlock. Mtandao ni verizon
  • Kwa verizon USA andaa tsh 175,000 kwa ajiri ya unlocking
  • ila hakikisha anakupa taarifa zote za hiyo simu. Apple product zao huwa zinasumbua iwapo hutakuwa na taarifa zake mfano apple IDs [ /username or password kwa ajiri ya itune/ icloud]
 
Shukrani mkuu
 
Back
Top Bottom