ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,197
- 85,073
Wakuu msaada,nimesahau password za kufungulia simu itel p13,,nifanyaje ili nirejee hewani? inatumia android
Mkuu kama bado unafanya hizi mambo nina iPHONE ipo lockedNot supported
Bos sony E5Last Update: 08.05.2016
WASTANI WA MUDA UTAKAO SUBIRI ILI KUPATA UNLOCK CODES ZA SIMU YAKO
LG: 51 minutes
ZTE: 55 minutes
Blackberry: 6 minutes
Huawei: 4 days TO 9 Days
Samsung: 17 hours 32 minutes
HTC: 6 minutes
Vodafone (Alcatel): 5 Minutes
NB: Kwa wanaoweka order kwa simu za huawei server iko down hivyo inachukua muda mrefu zaidi tofauti na awali. Codes za huawei hupatikana kati ya siku 4 - 9 za kazi.
Karibu
- Je simu yako ni ya NOKIA, LG, MOTOROLA au HUAWEI na inatumia laini moja?.
- Je ukiweka laini tofauti kwenye simu; Moja ya haya maneno yanajitokeza ????
Network Unlock CodeKama jibu ni ndio basi hii thread inakuhusu. Karibu
SIM Unlock code
Enter SIM Me Lock
Enter NP Code
Please Input Network Pin
Service Provider unlock code
SIM network unlock pin
SIM Service provider unlock pin
SIM network unlock pin/NP Code
SIM network subset unlock pin
SIM service provider unlock pin
Network control key
Phone Lock Unblock Code
Je ni Jinsi gani ya kufungua(unlock) simu kwa kutumia unlock codes?
- Kufungua(unlocking) simu kwa kutumia codes ni rahisi sana. Ili kupata unlock code kwa ajili ya simu inatakiwa utoe IMEI namba ya simu. Andika kwenye simu yako * # 06 # au kwa kuondoa betri kutoka kwenye simu yako utakuta IMEI namba imeandikwa.
Je kipi nifanye ili kupata hizo unlock code za simu yangu?![]()
1. Nipatie model and brand mfano: Nokia N97 au HUAWEI ASCEND Y300, na IMEI number yako tu, kwenye comment ya hii thread
- Fuata hizi hatua:
2. Nitakujibu comment kwa kuainisha gharama ya unlock code kwa simu yako.kumbuka Kila aina ya simu ina gharama yake.
3. Utafanya malipo ili kupata unlock code yako.
4. Muda wa kupata unlock code ni ndani ya masaa mawili (2) hadi 24(siku moja) inategemeana na aina ya simu yako.
Je ni simu zipi zinahusika katika hii huduma?
- Ni zile tu ambazo ukiweka laini nyengine tofauti, mfano yaweza kuwa ni simu yako ni NOKIA, LG, MOTOROLA, HUAWEI,nk,ila inakutaka uingize unlock codes. Hii haihitaji uende ofisini kwa fundi ni wewe mwenyewe mahala ulipo unaweza fanyia unlocking simu yako. Kwa kuingiza unlock code ulizo nunua.
Kwa nini simu yako inapaswa kuwa unlocked?
kwa sababu inaweza kutumika kwa laini za simu tofauti tofauti.
- Simu ambayo ni unlocked utaweza kuitumia kwenye mitandao mingine. Pia baada ya kusafiri nje ya nchi utaweza kuitumia kwenye mitandao na nchi husika. Vile vile ili Kuongeza thamani ya simu yako
Je, ni salama ku unlock simu yako kwa kutumia code itokanayo na IMEI namba yako?
- Kufungua(unlocking) kwa njia ya code ni salama kabisa na ndio njia ipendekezwayo zaidi. Simu yako itakuwa salama bila kuathiri muundo wake wa programu. Pia hizi code hutokana na watengenezaji wa simu husika wenyewe.
----------------------------------------------------------------
UNLOCK SASA SIMU YAKO PENDWA YA HUAWEI
Y530NA Y330 KWA TSH 20'000 TU, ILI UTUMIE LAINI YEYOTE ILE
UTAPATA CODES ZAKO NDANI YA Siku za kazi 1 - 3
---------------------
![]()
----------------------------
Karibuni Sana kwa huduma bora na ya hakika.
HUDUMA NYINGINE
Other SERVICE![]()
> | VPN code re seller
>| Qsat Decoder re seller; Click here
Nina ki halotel cha promo kina lazimisha laini moja tu iwe ya halotel ndio kifanye kazi je tunakifanyaje
Ngoj nikifik home niisomeModel?
Ulifanikiwa kufungua simu yako?Blackberry z30 bei ?
BadoUlifanikiwa kufungua simu yako?