Kuku wa Kabanga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2009
- 807
- 369
- Je simu yako ni ya NOKIA, LG, MOTOROLA au HUAWEI na inatumia laini moja?.
- Je ukiweka laini tofauti simu inakutaka uweke unlock codes?
Kama jibu ni ndio basi hii thread inakuhusu. Karibu
Je ni Jinsi gani ya kufungua(unlock) simu kwa kutumia iunlock codes?
View attachment 110147View attachment 110148
- Kufungua(unlocking) simu kwa kutumia codes ni rahisi sana. Ili kupata unlock code kwa ajili ya simu inatakiwa utoe IMEI namba ya simu. Andika kwenye simu yako * # 06 # au kwa kuondoa betri kutoka kwenye simu yako utakuta IMEI namba imeandikwa.
Au
View attachment 110149
Je kipi nifanye ili kupata hizo unlock code za simu yangu?
1. Nipatie model and brand mfano: Nokia N97 au HUAWEI ASCEND Y300, na IMEI number yako tu, kwenye comment ya hii thread
- Fuata hizi hatua:
2. Nitakujibu comment kwa kuainisha gharama ya unlock code kwa simu yako.kumbuka Kila aina ya simu ina gharama yake.
3. Utafanya malipo ili kupata unlock code yako.
4. Muda wa kupata unlock code ni ndani ya masaa mawili (2) hadi 24(siku moja) inategemeana na aina ya simu yako.
Je ni simu zipi zinahusika katika hii huduma?
- Ni zile tu ambazo ukiweka laini nyengine tofauti, mfano yaweza kuwa ni simu yako ni NOKIA, LG, MOTOROLA, HUAWEI,nk,ila inakutaka uingize unlock codes. Hii haihitaji uende ofisini kwa fundi ni wewe mwenyewe mahala ulipo unaweza fanyia unlocking simu yako. Kwa kuingiza unlock code ulizo nunua.
Kwa nini simu yako inapaswa kuwa unlocked?
kwa sababu inaweza kutumika kwa laini za simu tofauti tofauti.
- Simu ambayo ni unlocked utaweza kuitumia kwenye mitandao mingine. Pia baada ya kusafiri nje ya nchi utaweza kuitumia kwenye mitandao na nchi husika. Vile vile ili Kuongeza thamani ya simu yako
Je, ni salama ku unlock simu yako kwa kutumia code itokanayo na IMEI namba yako?
- Kufungua(unlocking) kwa njia ya code ni salama kabisa na ndio njia ipendekezwayo zaidi. Simu yako itakuwa salama bila kuathiri muundo wake wa programu. Pia hizi code hutokana na watengenezaji wa simu husika wenyewe.
Mawasiliano:
Mw. RCT Simu Namba: 0768 924 841 au 0784 496 856
Kwa wakazi wa Mwanza: 0787 921 515 { Eraldius }
Karibuni Sana kwa huduma bora na ya hakika.
lumia 900 IMEI 013724000513432