Huduma: Unlocking Phone by IMEI Number

Huduma: Unlocking Phone by IMEI Number

Lo yaanimalipoyampsea,tigopesa,via jf

Loh labda auth by invisible
 
Cmu yangu ni iphone,
Nikiwasha maneno haya tena kwa lugha ya ki poland. iphone jest zablokowany polacz z iTunes
 
Cmu yangu ni iphone s 4
sasa ninapowasha naambiwa iphone jest zablokowamy polacz z iTunes
 
Cmu yangu ni iphone s 4
sasa ninapowasha naambiwa iphone jest zablokowamy polacz z iTunes
  • Haiwezekani.
  • Pata kwanza iTune/ iCloud account ya hiyo simu, Ndipo itawezekana
  • Sababu - Unlock codes utatumiwa kama updates kupitia account yako ya itunes.
  • Karibu
 
Vp mkuu... Niko na Samsung note1 hapaa... Kutokea south Korea... But inasumbua katika upande wa SMS .. Naweza pokea SMS but siwezi Ku replay.... Vp hii huduma yako inaweza solve hili tatizooo
 
Vp mkuu... Niko na Samsung note1 hapaa... Kutokea south Korea... But inasumbua katika upande wa SMS .. Naweza pokea SMS but siwezi Ku replay.... Vp hii huduma yako inaweza solve hili tatizooo
  • Hili ni tatizo la sms app. Download "GoSMS" huenda ikasaidia
  • Hii huduma yangu haiwezi ku Solve hilo tatizo
KARIBU
 
Kwa watumiaji wa simu za ALCATEL ONE TOUCH
  • Ili kupata huduma nipe hizi taarifa mbili pichani
alcatel_provider_id.jpg

  • Unlock codes utapewa ndani ya dakika 5 baada ya kufanya malipo
 
MMH..inchi hii inaendeshwa kiudalali dalali tu,hizo huduma top elfu saba unafanya mwenyewe kununua codes kila kitu,dalali anauza elfu 15 hadi 25! kila kitu udalali.

hiyo elfu saba inauzwa wapi kaka ? hakuna mhusika anafanya generated code kwakutumia kifaa ama kwakutumia server za watu binafsi .
 
Back
Top Bottom