Huduma: Unlocking Phone by IMEI Number

Huduma: Unlocking Phone by IMEI Number

Heri ya mwaka mpya ndugu DreamChaser , Network unlock codes ni | 992 910 922 612 8100

mkuu nina galax s hata locked hata sijui ilkuwa inatumika nchi gani bt aliye nletea anasema ilitumia mozambique bt niki bonyeza *#06# imei inayo kuja inaanza na 00 bt kwenye sticker nyuma ina imei nyingine sim ipo locked na inasema inter network pin inawezekana kufunguka??

Ingawa aliye nletea anasema alisha wahi kujaribu kununua unlock codes kweye mtandao zikamgomea na codes hizo tulijaribu wote zikagoma pia nisaidie kama inawezekana.
 
  • Ndugu kirikuu10 Ndio inawezekana
  • Niandikie IMEI number iliyo kwenye stika, kawaida huwa ni digit 15
  • Mawasiliano 0784 496 856 / 0717 54 57 62
  • KARIBU
 
Mkuu mimi nina sony experia V ila yenyew imekuwa locked na ppassword je unaweza nisaidia au mpaka nikaiflash?
 
binamutz said:
..........................nahitaji unlock code simu yangu ni huawei y 530 imei ni 869563015752279.
  • Ndugu binamutz
  • Unlock code zako ni: 124 218 107 311 0249
  • Washa simu ikiwa na laini Tofauti kisha ingiza hizo code.
  • Karibu
 
Last edited by a moderator:
  • Ndugu binamutz
  • Unlock code zako ni: 124 218 107 311 0249
  • Washa simu ikiwa na laini Tofauti kisha ingiza hizo code.
  • Karibu

Thanx mkuu ubarikiwe sana now inasoma line zote nilitaka niigawe coz nilipo hakuna kabisa network ya tigo na simu Yangu nyingine haikai na charge uendelee na moyo huo
 
Last edited by a moderator:
Heri ya mwaka mpya ndugu DreamChaser , Network unlock codes ni | 992 910 922 612 8100

Nashukuru Sana mkuu, lakini hii simu nilivyoulizia codes, kesho yake nikaiuza. Ndiyo maana sikurejea kufanya malipo ya codes zangu.
 
Last edited by a moderator:
mkuu mi nina iphone 4s naomba msaada wa ku unlock niwe natumia lain za kibongo
Habari ndugu kipyola

Nipe hizi taarifa Tatu
  1. Network locked na
  2. Origin Country
  3. IMEI number
Mfano IMEI: xxxxx14520929 , Vodafone - UK

Hizo taarifa tatu ndio zitatupatia Cost ya kupata unlock codes pamoja na muda wa kusubiri ili kuzipata

Karibu
 
Mwl.RCT ungewaambia wakupe IMEI number inatosha kisha uicheki kwa kutumia http://www.imei.info Au kama wao wanaweza watumie http://www.imei.info kisha wakupostie details
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom