Huduma: Unlocking Phone by IMEI Number

Huduma: Unlocking Phone by IMEI Number

Ngoja niicharge hii tablet yangu ili nkutumie hiyo Imei, maana nlishakata tamaa nayo.
 
Huyu mshkaji ni Nouma hii Kaz ya kutoa hzo lock anaijua vizur maana mi kishanitolea lock cm tatu tofauti tena kwa muda mfupi tu baada ya kufanya malipo. Safi na hongera mkuu ila nakushauri kama inawezekana pls punguza gharama kidogo ya Huduma yako
  • Ushauri wako nimeupokea na utekelezaji wake unaanza mara moja
  • Simu zote ambazo zipo locked kwa mitandao ya Tanzania nitatoa UNLOCK CODES kwa ghalama ya TSH 10'000 tu , Kuanzia sasa hadi January 1' 2015
  • Hili ni punguzo maalumu msimu huu wa sikukuu za krismass na mwaka mpya, Baada ya mwaka mpya Bei itakuwa TSH 15'000
Hatua za kufuata ili kupata huduma
  1. Nipe IMEI number kupitia Ukurasa huu au kwa sms au kwa whatsapp
  2. Malipo yafanyike kwa Tigo Pesa 0717 54 57 62 au Airtel Money 0784 496 856
 
Asante mkuu
 
Nina Huawei Y330 imei 863963027225452, nitazipataje hizo code?
 
Unlock code Exclusive christmass season offer ends 1st jan 2015....
Any huawei phone 10,000/-
Any vodafone smartphone 7,000/-...
Unlock code zinachukua dakika 15 tu..
Tembelea www.bongounlock.com
Au tupigie 0718426906
"Kila siku tunafungua mamia ya simu"
 
voda phone 875
imei :359385050335662 msaada please kui- unlock

  • Network unlock codes zako zipo tayari, Fanya malipo ya TSH 10'000
  • Namba za malipo Airtel 0784 496 856, Voda 0768 92 48 41
Nina Huawei Y330 imei 863963027225452, nitazipataje hizo code?

  • Network unlock codes zako zipo tayari, Fanya malipo ya TSH 10'000
  • Namba za malipo Airtel 0784 496 856, Voda 0768 92 48 41
KARIBU
 
HUAWEI ascend y 530
IMEI 869563013594129
Nitapataje unlock code mwl?
 
We only provide unlock code for the devices that prompt for the unlock code when a non-original sim card is inserted....does your device do the same...
 
Vp samsung unafanya unlock? samsung ilotoka nje ya nchi kwahiyo haisomi line za bongo inasoma line za nje ya nchi
 
Vp samsung unafanya unlock? samsung ilotoka nje ya nchi kwahiyo haisomi line za bongo inasoma line za nje ya nchi

Ndio yawezekana, taarifa tatu zinatakiwa
1. IMEI number
2. Network locked e.g Vodafone
3. Origin Country e.g UK

Cost inatokana na hizo taarifa tatu

Karibu
 
Nina Huawei Y330 imei 863963027225452, nitazipataje hizo code?
  • Unlock Code: 2492541362241791
  • Washa simu ikiwa na laini tofauti, Kisha ingiza hizo code.
  • ​Karibu
 
Back
Top Bottom