No More Drama
Member
- Jun 2, 2013
- 95
- 19
Unlock codes
Karibu
- 170 851 464 239 2473 - SimBlock Unlock Codes
- 421 412 717 602 0683 - Network Unlock Code
Mwl.RCT asante sana mkuu jf idumu milele
Last edited by a moderator:
Unlock codes
Karibu
- 170 851 464 239 2473 - SimBlock Unlock Codes
- 421 412 717 602 0683 - Network Unlock Code
Unlock Code: 246 73 215Mwl.RCT nina Huawei Mobile WiFi - E5221
Model: E5221s-2
IMEI: 867549010477378
Nahitaji Sim unlock, maana iko locked na Tigo. Itanigharimu kiasi gani?
Unlock Code: 246 73 215
Iwashe ikiwa na laini tofauti
Itafunguka hii Page - 192.168.1.1/simlock.asp
Ingiza hizo Code. Done
Itanigharimu kiasi gani?
- Only 10'000 kwa tigopesa 0717 54 57 62 au airtelmoney 0784 496 856
- Karibu
Mwl.RCT msaada wa jinsi ya ku unlock safaricom moderm ili iweze kufanya kazi kwa line za mitandao yote.
HuaweiE173s-2
Imei.352097047269733 inatumia line moja tu ya Voda nataka itumie zote
Je ni aina ipi? ZTE au HUAWEI
Na je ni model ipi? E173, MF190 au X283L
Au je ukiweka laini tofauti inahitaji unlock codes? Kama ni ndio nipe IMEI
Hizo taarifa mbili ndio zitatupatia njia sahihi ya kufanyia unlocking.
KARIBU
Link| https://www.jamiiforums.com/tech-ga...54-msaada-ku-unlock-huawei-modem-e-173-a.html |HUAWEI 173 mmobile broadband, ukiweka haiitaji imei number ila inakataa line nynngine
Link| https://www.jamiiforums.com/tech-ga...54-msaada-ku-unlock-huawei-modem-e-173-a.html |
Fuatisha maelekezo kwenye hiyo link.
Kama maelekezo ni magumu waweza kutumia njia mbadala HiSilicon dc-unlocker.
Fuata hatua hizi tatuNami nataka ku unlock huawei y330,naomba maelekezo