Huduma NSSF ni kero kubwa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huduma NSSF ni kero kubwa!

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Zestach, Jan 27, 2012.

 1. Z

  Zestach Member

  #1
  Jan 27, 2012
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  NSSF ingekuwa wanafanya biashara basi ingekuwa rahisi sana kupoteza wateja kutokana na uduni wa huduma zao.

  Ktk kipindi hiki cha matumizi ya teknolojia bado huduma zao ziko duni,je miaka 10 iliyopita hali ilikuwaje?

  Inawezekana wengi wasielewe hili maana michango hupelekwa na waajiri hivyo kwa mwajiriwa huna muda nao,lakini inapofika wakati unafuatilia madai yako ndo utajuwa kuwa NSSF ni kina nani.

  Sipendi kuona mtu anapohtaji huduma ktk ofisi fulani lazma umuone mtu ktk hyo ofisi ili muongee pembeni ndo upate huduma. Naomba wana JF mfanye uchunguz juu ya hili mtabaini ukweli!.

  Kuna pia tuhuma juu yao kuhusiana na namna wanavyoajiri, kwani dini ya mtu ina msaada gani kwenye suala lisilo la kdni?

  Wanachama siyo wa dini fulani tu kwa nn kwenye ajila wafanye ubaguz?

  Hii inanitia hofu kuwa itafika mahali watu wa dini fulani ndo wa kuhudumiwa kwanza.

  Nilikuwa siamini sana kwamba WaKenya wanajituma kuliko watanzania, naona hii taasisi kubwa inaweza kuwa ni mfano mzuri.

  NSSF ifike mahali wafanye km yaliyofanyika NHC labda kunaweza kuwa na umakini na uwajbkaji.

  Naomba kuwasilisha!
   
 2. matungusha

  matungusha JF-Expert Member

  #2
  Jan 28, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 596
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  kweli huduma zao ni mbovu sana jana nlikua pale ubungo branch yani ni kero ya hali ya juu!!!
   
 3. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #3
  Jan 28, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,132
  Likes Received: 2,156
  Trophy Points: 280
  mimi bado sana haya kuja kunikuta naona poa tu.

  Ila kinachonishangaza hawatugaii mikopo na kwa lile jambo la kushangaza walilosema kuwa walitushirikisha wanachama katika daraja la kigamboni pale ndio niliogopeshwa na uongozi wao...
   
 4. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #4
  Jan 28, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,132
  Likes Received: 2,156
  Trophy Points: 280
  Kuna mama mmoja humu nssf alikuwa anaishi karibu na bonde nyumba yake imesafishwa yaani imechukuliwa na mafuriko hadi msingi wa nyumba kaomba msaada wamemyima imagine ni mfanyakaza wa nssf wamemtosa kumchangia ije kuwa nyie oi...
   
 5. harakat

  harakat JF-Expert Member

  #5
  Jan 28, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Kaka ningelikua Arusha ningeonyesha ni jinsi gani ambavyo hawa jamaa utendaji wao ni kiubabaisha
  sio wote ila baadhi ya watendaji wao nilichukua fedha pale mwaka juzi kilichotokea ni kwamba walinisumbua
  mpaka nilishakata tamaa .na hata siku waliponipa cheki ilikua nimeshakataliwa na hivyo nikaenda kwa mkubwa
  kumbe cheki ilikua tayari vielelezo ninavyo na nilikua nataka kuviposti siku moja sema mambo yamekua mengi.
   
 6. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #6
  Jan 28, 2012
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Hawa Jamaa kwa kweli ni kero sana..ni miezi tisa sasa toka nimeanza fatilia kiiunua mgogo changu na sijapata mpaka leo pale ubungo yaani kila napoenda wanasema fax haijatumwa toka michango yangu ilipo pelekwa...

  Wanakwambia njoo baada ya wiki mbili ukienda fax haijajibiwa...sasa tufanyeje...
   
 7. s

  shadhuly Senior Member

  #7
  Jan 28, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 141
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  mr NSSF UPO?
   
 8. Vinci

  Vinci JF-Expert Member

  #8
  Jan 28, 2012
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 2,642
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Hizi "kelo" kwa NSSF zimekuwa wimbo wa taifa. ngoja kipindi cha kutaka chako kifike...utapigwa tarehe kiasi cha kukata tamaa.
   
 9. Z

  Zestach Member

  #9
  Jan 28, 2012
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa somo hilo wadau mnafikiri suluhu ya tatizo ni ipi,maana hakuna hata ambaye karizishwa na huduma zao kwa wote mlio post.Je tuendelea hvhv? au nn kifanyike ?.
   
 10. T

  Topical JF-Expert Member

  #10
  Jan 29, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Hujaenda PPF ndio utakoma kufuatilia ...kero juu ya kero
   
 11. yegella

  yegella JF-Expert Member

  #11
  Jan 29, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  hahahaha hawa nao kiboko kuna rafiki yangu alifatia pesa yake zaidi ya mwaka baadae akaambiwa cheki ilishatoka na inaonekana ilipokelewa mbeya wakati yeye hata hiyo barabara ya mbeya haijui...
   
 12. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #12
  Jan 29, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Ni bora PPF. NSSF, ukiachilia mbali uduni wa huduma zao mbovu pia UDINI umekithiri sana. Dr Ramadhan Dau ni joka hatari sana! anaendekeza sana udini hasa ktk utoaji ajira. Hafai, inafaa aondolewe haraka na sijui kwa nini JK anamlealea.
   
 13. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #13
  Jan 29, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  NSSF Ubungi is like Hell nadhani hakuna branch manager pale
   
 14. Vmark.

  Vmark. JF-Expert Member

  #14
  Jan 29, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 1,361
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Wakuu mnanitisha coz mi soon nataka nianze kufuatilia mshiko wangu pale nssf!!
   
 15. Z

  Zestach Member

  #15
  Jan 29, 2012
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duh jipange kisaikolojia maana waweza ukakata tamaa kwa usumbuf utakao upata.Shida yao pia ni procedures kutoeleweka,utenda kuomba form za madai ukionyesha barua ya kuachishwa kaz unapewa,nenda kwa mwajr ajaze michango,then rudisha hz form kwao hapo ndo ngoma inapoanzia nenda rudi,nenda rudi.............,ili usichoke inatakiwa uwe na likizo km miez miwili had mitatu kwenye shughuli zako.Mie nilisha wahi kuomba kaz kwao kwa utendaji wao hata sna hamu ya kuajiriwa nao tena maana kwa post niliyoomba siwez kubadili Culture ya organisation,wanaboa kiasi kwamba mtu unatamani bokoharam wangewatembelea ili kizaz chao kipotee kabisa,kwani siona km wanaweza kuja badilika.
   
 16. T

  Topical JF-Expert Member

  #16
  Jan 30, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  wewe ni mdini tu wala huna issue kwa NSSF, una chuki na waislam period

  PPF na NSSF procedures zao za kupata mafao ni mbaya sana ninauzoefu wa zote..afadhali hata NSSF wana branches hawa wengine ni nuksi hasa kama una mzee kafanya kazi shirika la umma..it is worse
   
 17. T

  Tinker Member

  #17
  Jan 30, 2012
  Joined: Dec 30, 2011
  Messages: 67
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ungeipeleka SIASA wawakilishi wa NSSF hapa JF wangekutumia pm

  huku inawezekana hawajaiona
   
 18. M

  MWANALUGALI JF-Expert Member

  #18
  Feb 8, 2012
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 601
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hujui kwa nini anamlealea????? ...... you are not serious Mnyisanzu. Jiulize kwanza Kikwete ni dini gani then utajua kwa nini anamlea!!!
   
 19. D

  Domo Zege JF-Expert Member

  #19
  Feb 8, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 687
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Customer care sio nzuri hasa brach ya ubungo, nimefuatilia kadi yangu wiki mbili majibu ninayopewa jina halijafika toka makao makuu.
   
 20. K

  Kiluvya2011 JF-Expert Member

  #20
  Feb 12, 2012
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 215
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Dah, jamani nssf mbadilike jamani, yaani yamenikuta ninafatilia mafao yangu mbona najuta maana utafikili naomba msaada...
   
Loading...