Johnny Sins
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 2,538
- 3,826
Vunja sasa hiví mkuu..Hawa majamaa ni wahuni sana hawa yaani nimejiunga GB 10 ili nipakue vitu vangu chaajabu network ipo slow kama kinyonga.
Kesho asubuhi aflajiri na mapema naivunjavunja laini yao kwa meno yangu.
Uzi tayari.
TTCL
Kesho ndio watajua kkuwa na mimi SIJARIBIWAGINdugu Zangu Mjifunze Kuchagua
Huo Mtandao Ni Jijini TuKesho ndio watajua kkuwa na mimi SIJARIBIWAGI
Vodacom wako vizuri zaidi.Mitandao yote imeoza, kwahiyo chagua mmoja vumilia mapungufu.
Mimi nimechagua halotel, wana mapungufu yao lakini yanavumilika kwa upande wangu.
Utakuwa unaishi Posta wewe au UpangaMkuu acha kupotosha, binafsi natumia mtandao wa TTCL kupata internet, sijawahi jutia.
Naishi Nkapanya na huku ni kama Newyork vile na huu mtandao wa TTCL.Utakuwa unaishi Posta wewe au Upanga
Yaani laini nimeiweka kwenye simu ndogo inasoma TIGO badala ya TTCLMie nna mwaka sasa tangu nitupe line ya huo mtandao, sim card yenyewe kusoma Tu kwenye simu ilikua Hadi niisemeshe.🤣🤣, Nikajisemea tu hapana kwakweli, nikatupa line yao...
Mi mwaka wa pili huu nipo hili chama la nyumbani bila shida, huyu bwana atakuwa ana ishu nyingine sio TtclMkuu acha kupotosha, binafsi natumia mtandao wa TTCL kupata internet, sijawahi jutia.