Inawezekanaje cheni na nyembe kuwa ndani ya mwili wa binadamu..ziliingiaje? na zikakaaje mwilini...Sio kweli unachosema hapa kwa pastor katunzi nimeona kwa macho ni kweli na hakika,nimeona mtu akitapika cheni,nyembe,nk na Mungu anatenda kila ibada pale,mimi nimeenda si mara moja,nimeona majini yakikimbiA kwa jina la Yesu mtu aende pale aje atoe shuhuda hapa,zaid ya watu 10 waislam kwa wakristo walibisha wakaenda wakakari,sisemi uongo mimi,uko dar au mkoani panda magar ya mbagala shuka mtoni mtongani ulizia kwa mama mgayA kanisani ni karibu sana na barabara utakuja sema hapa.
Wakati mwingine hua ni mvuto kusikia wanavyojinadi katika matangazo huko redioni lakini ukifika huko ulikoambiwa uende unakuta ni tofauti na ulichokisikia kwenye matangazo redioni.
Kwangu mimi hizi ni huduma za kichina
Unavyotangaziwa na unachoenda kukikuta ni vitu viwili tofauti
Badilikeni jamani watoa matangazo kwenye redio kuhusu kile kinachopatikana kanisani kwako.
Wekeni mambo kwa uhalisia sio mnatuvuta kwa mvuto wa matangazo then mtu akifika anakuta hali ni tofauti na jinsi alivyosikia redioni.
Lete picha tulione hilo jini likikimbiaSio kweli unachosema hapa kwa pastor katunzi nimeona kwa macho ni kweli na hakika,nimeona mtu akitapika cheni,nyembe,nk na Mungu anatenda kila ibada pale,mimi nimeenda si mara moja,nimeona majini yakikimbiA kwa jina la Yesu mtu aende pale aje atoe shuhuda hapa,zaid ya watu 10 waislam kwa wakristo walibisha wakaenda wakakari,sisemi uongo mimi,uko dar au mkoani panda magar ya mbagala shuka mtoni mtongani ulizia kwa mama mgayA kanisani ni karibu sana na barabara utakuja sema hapa.
Hii ni biashara kama biashara nyingine. matangazo muhimu.Hebu funguka kidogo, matangazo gani yalikuvutia kwenda kanisani na si kwenda kusali!
Mimi ni mkristo conservative Unachosema ni sahihi kabisaa mpka unashangaa, kwanza unaambiwa eti unataka gariiii..bwana atakupa gari n.k.
Kiufupi kupata gari kwa nguvu za Mungu sio tatizo but tatizo linkuja pale mtu anapohubiri gari kama vile ndo uzima wa milele.
Kwa ushauri km unataka kusali ktk makanisa haya ya kiroho uwe selective sana.
Ila kwa makanisa ta FGBF( KWA KAKOBE) pale MLIMANI CITY na nchi nzima yapo vizuri, pia na KATUNZI mbagala yupo vizuri unaweza jaribu na kuleta mrejesho.
Asante
Kwa jinsi matangazo haya yanavyonadiwa hakuna neno njoo usali njoo uombeHebu funguka kidogo, matangazo gani yalikuvutia kwenda kanisani na si kwenda kusali!
Sio pale tulipomzalia mchungaji Masanja hapa?Ukweli ndio huo kwa pastkr katunzi iko nguvu ya Mungu