eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,235
- 16,205
Wakati mwingine hua ni mvuto kusikia wanavyojinadi katika matangazo huko redioni lakini ukifika huko ulikoambiwa uende unakuta ni tofauti na ulichokisikia kwenye matangazo redioni.
Kwangu mimi hizi ni huduma za kichina
Unavyotangaziwa na unachoenda kukikuta ni vitu viwili tofauti
Badilikeni jamani watoa matangazo kwenye redio kuhusu kile kinachopatikana kanisani kwako.
Wekeni mambo kwa uhalisia sio mnatuvuta kwa mvuto wa matangazo then mtu akifika anakuta hali ni tofauti na jinsi alivyosikia redioni.