Huduma fake za kichina makanisani

Kanisa moja tu wanachotangza utakikuta kwa pastor katunzi,mtoni mtongani hatua chache ukivuka reli ya mtoni mtongani kama inamtafuta Yesu na miujiza ya kweli hapo nimeona kwa macho kabisa majinii na uchawi na kurogwa mwisho hapo,hakuna mafuta wala nini Yesu tu.

Ktk maaskof ninao waheshimu kutokana na kazi zao ni kakobe na huyo katunzi hawana usanii
 
Hao me niwaita wapiga ramli tu hata waganga wa kienyeji wale wanaotumia nguvu za giza watu wanatapika nywele na makorokoro hawa waganga wamehamia kwenye makanisa ya milipuko tu frustrations na stress za maisha ya watu wa mijini na Kwenye majiji makubwa zinawafanya wahubiri feki kukamata fursa Kama kweli wanataka kutangaza watu wamjue Mungu tuwaone wakaanzishe makanisa yao vijijini huko
 
Sio kweli unachosema hapa kwa pastor katunzi nimeona kwa macho ni kweli na hakika,nimeona mtu akitapika cheni,nyembe,nk na Mungu anatenda kila ibada pale,mimi nimeenda si mara moja,nimeona majini yakikimbiA kwa jina la Yesu mtu aende pale aje atoe shuhuda hapa,zaid ya watu 10 waislam kwa wakristo walibisha wakaenda wakakari,sisemi uongo mimi,uko dar au mkoani panda magar ya mbagala shuka mtoni mtongani ulizia kwa mama mgayA kanisani ni karibu sana na barabara utakuja sema hapa.
Kwa akili yako binadamu anaweza ishi na nyembe,cheni ndani ya mwili??kweli wajinga ndiyo waliwao.Hivyo vitu hats waganga wakienyeji hufanya ili ukamuliwe pesa vizuri
 
Mkuu uko dunia gani, siku hizi matangazo ya makanisa wanawazidi hata Cocacola.

Mimi ni mkristo conservative Unachosema ni sahihi kabisaa mpka unashangaa, kwanza unaambiwa eti unataka gariiii..bwana atakupa gari n.k.

Kiufupi kupata gari kwa nguvu za Mungu sio tatizo but tatizo linkuja pale mtu anapohubiri gari kama vile ndo uzima wa milele.

Kwa ushauri km unataka kusali ktk makanisa haya ya kiroho uwe selective sana.
Ila kwa makanisa ta FGBF( KWA KAKOBE) pale MLIMANI CITY na nchi nzima yapo vizuri, pia na KATUNZI mbagala yupo vizuri unaweza jaribu na kuleta mrejesho.

Asante
 
makanisa makanisa makanisaa biashara biasharaa usaniii usaniii usaniii mh hata yesu alikuta kuna watu wanaponya kwa njia ya belluzaburi naona sasa belluzaburi ameshika kasi zaidi
 
Kwa katunzi namsikia akilalama wachungaji wenzie wanampiga vita na hata kutaka kumuua kisa huduma anayofanya inawaaribia wengine
Sasa hapa najiuliza hao wachungaji wengine kwa nini waanzishe vita na katunzi
Katunzi kosa lake ni lipi mpaka wachungaji wengine waanzishe vita nae
Kuna nini kimejificha hapa?
 
Kanisa moja tu wanachotangza utakikuta kwa pastor katunzi,mtoni mtongani hatua chache ukivuka reli ya mtoni mtongani kama inamtafuta Yesu na miujiza ya kweli hapo nimeona kwa macho kabisa majinii na uchawi na kurogwa mwisho hapo,hakuna mafuta wala nini Yesu tu.
Duh! Utalipa gharama ya hiki unachokiandika hapa siku ya mwisho! Usiwe wakala wa kupeleka watu jehanamu!
 
Nafikiri ipo siku nitaenda kuomba maombi yangu pale kwa katunzi
Nitaenda kusali pale
Kwa kua mimi ni mkristo ambae hua nasali kokote ili mradi namsikia yesu akihubiriwa na kutajwa mahali husika
 
Kanisa moja tu wanachotangza utakikuta kwa pastor katunzi,mtoni mtongani hatua chache ukivuka reli ya mtoni mtongani kama inamtafuta Yesu na miujiza ya kweli hapo nimeona kwa macho kabisa majinii na uchawi na kurogwa mwisho hapo,hakuna mafuta wala nini Yesu tu.
endelea kuzunguka.ukichoka niambie, nitakuonesha yesuu wa kweli anapatikana wapi.hahahahah
 
mbona una hukumu? ni wachungaji, manabii, mitume n.k., walikuwa ni watenda dhambi kabla MWENYE ENZI MUNGU hajawabadilisha?... ubarikiwe
Nasikitika kwa kuwa huelewi kwamba ndivyo Neno la Mungu linavyosema.
Ndiyo! Walikuwa watenda dhambi kabla. Baadaye walipotubu na kuachana na maisha ya dhambi, Mungu akawatakasa kisha Roho wake akakaa (ishi) ndani yao!

Kwa hiyo mashoga (ambao Papa wenu anawatetea) wana Roho wa Mungu?

Dhambi kubwa wanayofanya viongozi wenu wa dini ni kutokuwafundisha kweli (Neno) ya Mungu.
Mnapoambiwa Kweli ya Mungu mnakimbilia kusema 'MSIHUKUMU'!
 
Tukubaliane kwamba hakuna binadamu anaye ielewa Biblia....kila mtu atavu

naomba tukubaliane kitu kimoja kuwa, watu wanaisoma BIBLIA na kuitafsiri kutokana na maono yake, alikotoka maishani mwake na anako elekea maishani. Ninaamini kabisa hakuna champion wa kuelewa neno la Mungu! ndiyo maana imeandikwa ...Isaiah 55:9 As the heavens are higher than the earth, so are my ways higher than your ways, and my thoughts than your thoughts'.

He is Almighty Sovereign ONE! hachunguziki, bali ni kwa rehema na neema tu tunaishi na Yeye kwa huruma zake anatufungulia neno lake accordingly.

Ndiyo maana vidole havifanani lakini vinafanya kazi moja, na mwili pia!

kwa upande wangu ningependelea papa angekemea ushoga! barikiwa my friend
 
Kanisa moja tu wanachotangza utakikuta kwa pastor katunzi,mtoni mtongani hatua chache ukivuka reli ya mtoni mtongani kama inamtafuta Yesu na miujiza ya kweli hapo nimeona kwa macho kabisa majinii na uchawi na kurogwa mwisho hapo,hakuna mafuta wala nini Yesu tu.
Ngoja nijongee huko
 
Tukubaliane kwamba hakuna binadamu anaye ielewa Biblia....kila mtu atavu

naomba tukubaliane kitu kimoja kuwa, watu wanaisoma BIBLIA na kuitafsiri kutokana na maono yake, alikotoka maishani mwake na anako elekea maishani. Ninaamini kabisa hakuna champion wa kuelewa neno la Mungu! ndiyo maana imeandikwa ...Isaiah 55:9 As the heavens are higher than the earth, so are my ways higher than your ways, and my thoughts than your thoughts'.

He is Almighty Sovereign ONE! hachunguziki, bali ni kwa rehema na neema tu tunaishi na Yeye kwa huruma zake anatufungulia neno lake accordingly.

Ndiyo maana vidole havifanani lakini vinafanya kazi moja, na mwili pia!

kwa upande wangu ningependelea papa angekemea ushoga! barikiwa my friend
Wakatoliki sijawahi kuwasikia wanaunga mkono ushoga
Nawasikia wakikemea vikali mno
 
Hao me niwaita wapiga ramli tu hata waganga wa kienyeji wale wanaotumia nguvu za giza watu wanatapika nywele na makorokoro hawa waganga wamehamia kwenye makanisa ya milipuko tu frustrations na stress za maisha ya watu wa mijini na Kwenye majiji makubwa zinawafanya wahubiri feki kukamata fursa Kama kweli wanataka kutangaza watu wamjue Mungu tuwaone wakaanzishe makanisa yao vijijini huko
Ndg acha mzaha na kazi ya mungu kama humwamini mtumishi au imamu kaa nalo moyoni na si kama unavyofanya.
 
Mlima wa moto kama unatafuta mchumba, unatafuta kazi bila mafanikio, ndoa yako inamisuko suko, biashara yako haina mafanikio, unahitaj kupanda cheo njoo ukutane na muujoza wako kwa mtumish wa bwana mama rwakatale...... Bila kuwatangazia mtajuaje tulipo sasa kah!
 
Back
Top Bottom