Huduma fake za kichina makanisani

eden kimario

JF-Expert Member
Jun 13, 2015
10,227
16,178
Wakati mwingine hua ni mvuto kusikia wanavyojinadi katika matangazo huko redioni lakini ukifika huko ulikoambiwa uende unakuta ni tofauti na ulichokisikia kwenye matangazo redioni.

Kwangu mimi hizi ni huduma za kichina
Unavyotangaziwa na unachoenda kukikuta ni vitu viwili tofauti

Badilikeni jamani watoa matangazo kwenye redio kuhusu kile kinachopatikana kanisani kwako.

Wekeni mambo kwa uhalisia sio mnatuvuta kwa mvuto wa matangazo then mtu akifika anakuta hali ni tofauti na jinsi alivyosikia redioni.
 
Kanisa moja tu wanachotangza utakikuta kwa pastor katunzi,mtoni mtongani hatua chache ukivuka reli ya mtoni mtongani kama inamtafuta Yesu na miujiza ya kweli hapo nimeona kwa macho kabisa majinii na uchawi na kurogwa mwisho hapo,hakuna mafuta wala nini Yesu tu.
 
Wale wale..bayankata
 
Sio kweli unachosema hapa kwa pastor katunzi nimeona kwa macho ni kweli na hakika,nimeona mtu akitapika cheni,nyembe,nk na Mungu anatenda kila ibada pale,mimi nimeenda si mara moja,nimeona majini yakikimbiA kwa jina la Yesu mtu aende pale aje atoe shuhuda hapa,zaid ya watu 10 waislam kwa wakristo walibisha wakaenda wakakari,sisemi uongo mimi,uko dar au mkoani panda magar ya mbagala shuka mtoni mtongani ulizia kwa mama mgayA kanisani ni karibu sana na barabara utakuja sema hapa.
 
Mazingaombwee!! Pole sn
 
ukisoma, Matendo ya Mitume 2:17 na Yoel 2:28
'hata itakuwa, baada ya hayo, ya kwamba nitamimina roho yangu juu ya wote wenye mwili; na wana wenu waume na wake, watatabiri, wazee wenu wataota ndoto, na vijana wenu wanaona maono,'

kwa neno hilo inaonesha wazi kabisa kila mtu anayo hiyo ROHO, lakini wengi hamjiamini na tuna tanga tanga kumtafuta mwanadamu!
kuwa na imani kuu na umsikilize ROHO aliye ndani yako....usiogope..jiamini!
 
Wakati mwingine hua ni mvuto kusikia wanavyojinadi katika matangazo huko redioni lakini ukifika huko ulikoambiwa uende unakuta ni tofauti na ulichokisikia kwenye matangazo redioni.

Kwangu mimi hizi ni huduma za kichina
Unavyotangaziwa na unachoenda kukikuta ni vitu viwili tofauti

Badilikeni jamani watoa matangazo kwenye redio kuhusu kile kinachopatikana kanisani kwako.

Wekeni mambo kwa uhalisia sio mnatuvuta kwa mvuto wa matangazo then mtu akifika anakuta hali ni tofauti na jinsi alivyosikia redioni.

Tatizo mnakwenda makanisani kwa kushawishiwa ili kufuata miujiza. Hamna ibada ya kweli ndani ya mioyo yenu, namaanisha roho ya kumwabudu Mungu inayotoka ndani ya vilindi vya mioyo inayomsukuma mtu kwenda kanisani kujumuika na watakatifu wengine ili kumwabudu Mungu kwa pamoja! Mtu yeyote mwenye ibada ya kweli kutoka ndani ya moyo wake anayemtafuta Mungu ili amwabudu, ni lazima akutane na Mungu katika shida zake kwa kuwa amemtanguliza Yeye katika maisha yake kwa kuwa hatangulizi shida zake anapomwabudu Mungu. Imeandikwa - Mathayo 6:33; tuutafute kwanza ufalme wa Mungu na hayo mengine tutazidishiwa!
 
ukisoma, Matendo ya Mitume 2:17 na Yoel 2:28
'hata itakuwa, baada ya hayo, ya kwamba nitamimina roho yangu juu ya wote wenye mwili; na wana wenu waume na wake, watatabiri, wazee wenu wataota ndoto, na vijana wenu wanaona maono,'

kwa neno hilo inaonesha wazi kabisa kila mtu anayo hiyo ROHO, lakini wengi hamjiamini na tuna tanga tanga kumtafuta mwanadamu!
kuwa na imani kuu na umsikilize ROHO aliye ndani yako....usiogope..jiamini!

Siyo kila mwenye mwili ana Roho wa Mungu ndugu, rudi kasome Biblia vizuri. Roho wa Mungu ni Mtakatifu hawezi kukaa ndani ya mtu anayeishi "maisha ya dhambi"!
 
Mnaopenda miujiza na ishara hayo ndo malipo yenu. Kizazi hiki kweli cha nyoka.
 
Siyo kila mwenye mwili ana Roho wa Mungu ndugu, rudi kasome Biblia vizuri. Roho wa Mungu ni Mtakatifu hawezi kukaa ndani ya mtu anayeishi "maisha ya dhambi"!

mbona una hukumu? ni wachungaji, manabii, mitume n.k., walikuwa ni watenda dhambi kabla MWENYE ENZI MUNGU hajawabadilisha?... ubarikiwe
 
Back
Top Bottom