Huawei yaifungulia kesi Serikali ya Marekani

Wachina wenyewe wanataka ushahidi wa kisheria tu ndio maana wameweka wame imepeleka mahakamani serikali ya marekani

Kuban mitandao ya kijamii kule china sheria zao zinaruhusu mkuu ile sio nchi ya kidemocracia ni socialist ile hata uhuru wa kujieleza hakuna kule na ndio utamaduni wao na USA wanalielewa hilo kwa hiyo kuban social media ni kitu cha kawaida sana kwao ila sio kwa USA ambaye ndie anajiita mfano wa democracy duniani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu rejea kusoma tena uzi, unasema hivi Huawei wameifungulia mashtaka serikari ya US kwa kuzuia taasisi za umma kutumia bidhaa za Huawei kwa kisingizio kuwa bidhaa za Huawei zina_spy.
.
Sasa wao wamesema "Hawana uhusiano wowote na serikari ya china na US hawana ushahidi kwa wanachokisema" Tambua itakuwa ni "UTHIBITISHO WA WAZI" ikitokea China wakaifungia Apple kuuza bidhaa zake China kuwa Huawei na serikari ya china ni kitu kimoja.
.
Kumbuka Apple na serikari ya marekani si kitu kimoja.
 
Mbadala wa iPhone umekomalia kweli mbona haijaingia sokoni kushondana na iphone
 
Ni sawa.
S400 haiwezi kua integrated na mifumo ile ya Marekani au NATO.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani Trump aliban Huawei kinyume Cha sheria?!
Alitumia sheria kwa kigezo kwamba system na vifaa vya Huawei ni 'hatari kwa usalama wa Taifa',wakazipiga ban.
Na si Huawei tu,kipindi Cha Trump kumetungwa sheria nyingi za kuidhibiti China ikiwemo ile ya kuban kampuni za China kutaka kununua kampuni za Marekani.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pia tuhuma dhidi ya Huawei sio kitu kipya Ni za muda mrefu ikituhumiwa kuspy na kuiba IP za kampuni zingine kuisaidia serikali ya China
Cisco sues Huawei over intellectual property

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbadala wa iPhone umekomalia kweli mbona haijaingia sokoni kushondana na iphone
kama sikosei xaiomi ni simu ya nne kwa kuzalishwa kwa wingi duniani pamoja na oppo na zote za china

Je umewahi kuwaona watu wangapi wanazo hizo simu hapa Tanzania?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna ushahidi ndio maana wameenda mahakamani,una dhani kesi imefunguliwa kwa sababu gani?

Hauewi wanataka ushahidi wa kisheria kwamba wanafanya spying.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ingekuwa Serikali ya Tanzania ndo imefunguliwa kesi basi ungesikia mwanasheria anayejiona msomi na mbobezi kushinda wote nchini Tundu Lissu angesharopoka.
 
Taifa kubwa huku wanahangaika kutwa na bwana mdogo Kim na kuwanyima usingizi.Marekani soon anaenda kupoteza ushawishi maana hata baadhi ya mataifa ya ulaya yameanza kukaa naye mbali na kuegemea mashariki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Xiaomi haiwezi kuwa mbadala wa iphone.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna mbadala wa iphone milele.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…