mjasiliaupeo
JF-Expert Member
- Apr 21, 2013
- 2,170
- 3,106
Labda yeye ndio angefafanua, mbadala kwa nini, umbu au mfumo? What make an iphone is IOS, user wa IOS hawezi akafeel android kama mbadala. Hata mimi nilishangaa huyo jamaa alipodai Xiaomi ni mbadala wa Iphone. Ni kweli ukimchukua addict wa iphone anaweza kuwa comfotable kutumia Xiaomi? Au kwa sababu wametoa simu inayofanana na Iphone X kiumbo?Mkuu uje na hoja kwa nini haiwezi kuwa mbadala wa iPhone. Jitahidi kuwatendea haki wachangiaji ili nawe uwe sehemu ya kujibiwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio wapeleke India kwani shida ipo wapi?Suala ni kwamba iphone zitaendelea kuwa assembled na kuuzwa na marekani wataendelea kupata faida hata zikiwa asembled india. China watakosa wanachopata kitaamia india (nimeitaja india kwa sababu india kuna cheap and skilled labour kama china, makampuni mengi ya kibepali wanaenda huko kama alternative) sasa nidadavulie, ni nani atalose hapo?
China ndio nchi inayoongoza kwaku file patent nyingi zaidi,hiki kitu kinamaanisha nini kwako?Kuanguka kwa China ni rahisi kuliko USA.
USA anaweza simama mwenyewe kwenye kila nyanja ila China hana pa kusimamia.
Teknolojia za Uchina ni za kutegemea Ulaya na Marekani kwa kiasi kikubwa.
Hao wa magharibi wakifunga viwanda vyao uchina na kuvirudisha nyumbani ndo mtaona anavyoyumba.
Sent using Jamii Forums mobile app
911 comission report ya mwaka 2004 ilisema kwamba CIA na FBI walifanya uzembe mpaka tukio likatokea kwa kua walikua na information na hilo tukio.
Viwanda walivyojenga zamani vilienda wapi na kama vilihamishwa au vilikufa nini kilipelekea hivyo viwanda kufa?Mchina ni wa kupigwa vita duniani kote,hata Aliko Dangote alishawahi kuelezea hili.
Mchina anajaza mabidhaa yasiyo na ubora tena kwa Bei Chee hii inasabisha wenyeji kushindwa kushindana kwenye soko na kuwaachia wachina watawale soko. Hii Trump kaipunguza na tumeona faida ya kupiga bidhaa za hawa jamaa tariffs maana tangu Trump aongeze ushuru wa Chuma na alumina leo hii viwanda vya alumina vimeanza kujengwa tena Marekani. US Steel CEO: We're reopening an idled plant and bringing back 500 jobs due to Trump tariffs
“If you look at what president Trump is doing right now—not that I agree with what he is doing because they are in a totally different economy to what we are—but if you look at where we are today, where there’s no protection, then you are not going to have any industries, Dangote said to rousing applause.
Africa’s richest man thinks Donald Trump is onto something with higher tariffs
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani USA haifanyi surveillance kwa raia wake,kwani kile alicho kiibua snowden kilikua ni nini mkuu?
Huyo jamaa amesumarize content nzima za jinsi gani China inavyo fanya Surveilance kwa wananchi wake.
Australi na baadhi ya nchi wamepiga marufuku Huawezi na ZTE kufanya kazi nchini kwao kwasababu haya makampuni ni agents wa serikali ya uchina.
ZTE wamemsaidia Maduro kufanya surveilance wananchi wake.
A new Venezuelan ID, created with China's ZTE, tracks citizen behavior
Soma hiyo habari hapo.
Hiyo ni mifano michache ya jinsi gani China ni nyoka dunia hii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na hakuna nchi isiyofanya surveillance kwa raia wake.
Huyo jamaa amesumarize content nzima za jinsi gani China inavyo fanya Surveilance kwa wananchi wake.
Australi na baadhi ya nchi wamepiga marufuku Huawezi na ZTE kufanya kazi nchini kwao kwasababu haya makampuni ni agents wa serikali ya uchina.
ZTE wamemsaidia Maduro kufanya surveilance wananchi wake.
A new Venezuelan ID, created with China's ZTE, tracks citizen behavior
Soma hiyo habari hapo.
Hiyo ni mifano michache ya jinsi gani China ni nyoka dunia hii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe hata ile reli ya kenya iliyojengwa na china nayo ni mtaro?Kwenye suala zima la teknolojia China yupo nyuma sana.
Vumbuzi nyingi zilizoenda shule zinafanyika nchi za magharibi ila mass production inafanyika China.
Anachoweza fanya mchina ni reverse engineering. Anaichukua product anaisoma then anatengeneza clone.
Ndio maana unaona televisheni ziandika Singsang ili wajinga wahisi zimetengenezwa na Samsung.
Iwe software au hardware, China yupo nyuma mno.
Anachoweza pekee ni kudukua makampuni ya west kuiba teknolojia.
China huyohuyo aliiba teknolojia toka kampuni ya At&t. Akawaibia Siemens teknolojia ya kutengeneza treni za umeme.
Hiyo 5G imefanyika kwa partnership kati ya Huawei, Nokia na Siemens ila wenyewe hawawezi fika popote.
Hata Chips na Semi Conductors zinazoendesha mitambo ya 5G zinatengenezwa marekani.
China ni mwizi kupita maelezo. Mitambo anayokuja ifunga afrika lazima kuna backdoor inaachwa kwa ajili ya kudukua. Mfano wa ile mitambo ilofungwa makao makuu ya umoja wa afrika.
Mwaka jana kuna components za servers zilizouzwa makampuni ya ulaya wameweka vifaa vya kudukua system nzima hadi congress ikaingilia kati.
China hana uwezo wa kusimama na nchi kama Finland let alone Japan kwenye ugunduzi. Wao kama sisi tu Afrika, sema wao wana skilled cheap labour ya kufanya mass production.
Huawei au kampuni yeyote ya china haiwezi simama na Apple au Nokia kwenye ubora wa bidhaa zao. Never Ever.
Ulaya na marekani wameamua kwenda South East Asia kama Thailand, Malaysia, Phillipines na India. Wanaweka huko mitambo yao.
Hawa jamaa ni wa kupigwa vita duniani kote. Ni parasites waliopitiliza. They are way below standards kwenye kila kitu dunia nzima.
Ukija Afrika, unamkuta mchina anafanya kazi za kuchimba mtaro, halafu anaitwa muwekezaji. Wakati huwezi mkuta mzungu anafanya hizo kazi hata nchini kwao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila bado kumbuka china ndio soko kubwa la iphone,watakao endelea kulose hapa ni Apple mkuu.Suala ni kwamba iphone zitaendelea kuwa assembled na kuuzwa na marekani wataendelea kupata faida hata zikiwa asembled india. China watakosa wanachopata kitaamia india (nimeitaja india kwa sababu india kuna cheap and skilled labour kama china, makampuni mengi ya kibepali wanaenda huko kama alternative) sasa nidadavulie, ni nani atalose hapo?

Kupeleka mitambo huko ndiko kutapunguza balance of trade inayopigiwa kelele na Trump?Kwenye suala zima la teknolojia China yupo nyuma sana.
Vumbuzi nyingi zilizoenda shule zinafanyika nchi za magharibi ila mass production inafanyika China.
Anachoweza fanya mchina ni reverse engineering. Anaichukua product anaisoma then anatengeneza clone.
Ndio maana unaona televisheni ziandika Singsang ili wajinga wahisi zimetengenezwa na Samsung.
Iwe software au hardware, China yupo nyuma mno.
Anachoweza pekee ni kudukua makampuni ya west kuiba teknolojia.
China huyohuyo aliiba teknolojia toka kampuni ya At&t. Akawaibia Siemens teknolojia ya kutengeneza treni za umeme.
Hiyo 5G imefanyika kwa partnership kati ya Huawei, Nokia na Siemens ila wenyewe hawawezi fika popote.
Hata Chips na Semi Conductors zinazoendesha mitambo ya 5G zinatengenezwa marekani.
China ni mwizi kupita maelezo. Mitambo anayokuja ifunga afrika lazima kuna backdoor inaachwa kwa ajili ya kudukua. Mfano wa ile mitambo ilofungwa makao makuu ya umoja wa afrika.
Mwaka jana kuna components za servers zilizouzwa makampuni ya ulaya wameweka vifaa vya kudukua system nzima hadi congress ikaingilia kati.
China hana uwezo wa kusimama na nchi kama Finland let alone Japan kwenye ugunduzi. Wao kama sisi tu Afrika, sema wao wana skilled cheap labour ya kufanya mass production.
Huawei au kampuni yeyote ya china haiwezi simama na Apple au Nokia kwenye ubora wa bidhaa zao. Never Ever.
Ulaya na marekani wameamua kwenda South East Asia kama Thailand, Malaysia, Phillipines na India. Wanaweka huko mitambo yao.
Hawa jamaa ni wa kupigwa vita duniani kote. Ni parasites waliopitiliza. They are way below standards kwenye kila kitu dunia nzima.
Ukija Afrika, unamkuta mchina anafanya kazi za kuchimba mtaro, halafu anaitwa muwekezaji. Wakati huwezi mkuta mzungu anafanya hizo kazi hata nchini kwao.
Sent using Jamii Forums mobile app
sasa mbona wewe maneno mengi yanakutoka USA wakitaka kufanya wanachokifanya kwa China? kwani ni lazima China wawe USA,waende na wao kwingine sio lazima USA,hapo vipi?Kwani lazima waende kwenye soko la china?hakuna masoko mengine
Maana hata India wana massive population wanakaribiana kabisa na china
Sent using Jamii Forums mobile app
Imefanyiwa release china sababu kule ndiko kwenye soko kubwa la mobile phone duniani we ulitaka wafanyie Kilolo au ifunda iringaUnaweza ukapitia na maelezo kidogo hapa ili uone kwanini Simu imeoneshwa kufanyiwa release China ila Manufacturer ni Taiwan na kampuni haipo China..
Ukiambiwa China anafanya assembling usiwe unabisha kwa nguzu zote as if una data zote...
Ila zipo sio kwamba hazipo na zinawatosheleza wao kama wachinaApps 4 unataka kulinganisha na msitu wa play store?
Kilichofanyika ni kuzuia baadhi ya apps kwa masoko ya uchina.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka wana app mpaka za kujua kama mtu ana madeni au laaApps zao wenyewe ngapi?
Play Store na App store ina zaidi ya app malaki za kila aina na zenye uwezo wa kufanya mambo mbalimbali.
Mpaka waweze tengeneza apps zao wangeshakuwa na store yao mbadala wa hizi store maarufu.
Na ndo ingekuwa rahisi kutengeneza OS yao.
Kutengeneza OS ni rahisi ila hutapata developers wa kukutengenezea apps waulize Windows OS.
Sent using Jamii Forums mobile app
Deficit kubwa ya china na USA ni bidhaa za USA wenyewe sasa nini kilichowafanya wapeleke viwanda vyao wenyewe in first place je makampuni ya marekani yaliona kuna nini kwao mpaka yakakimbia maana ni kampuni nyingi mno mpaka za nguo kama boxer shida hapa ilikua ni niniNdo maana nikakuambia fikiria vizuri lakin wewe hujataka kabisa kufikiri. Kwani hivyo vifaa vya huawei ambavyo US imekataza vinatengenezwa US? umshauri China akatengenezee China!.
au unafikiri china naye anapopiga pini vitu vya US anaangalia kama ni made in US au made in China?! Kinachoangaliwa hapo ni product ya US hata kama imetengenezwa US kwenyewe au ndani ya china
Sent using Jamii Forums mobile app