Huawei tayari wamekamilisha Operating System (OS) yao

Huawei tayari wamekamilisha Operating System (OS) yao

Wachina huwa tunawaunderestimate sana ila wanakimbia kwa kasi ya ajabu sana. Lakini pia hii vita ni karata dume kwa mchina kujitangaza maana Dunia nzima sasa itataka kuona china inakuja na nin, hii itapelekea wengi wajaribu waone inaubora gan nao watajitahid kuonesha kweli wamefanya kazi hapo ndipo soko litagawika.

Watu wengi ni wazur wa kueleza stor na maono ya CIA lakin sio wafanye wao uchunguzi japo kidogo tuu kujua dunia inaenda wap

Tuanze na Nyumban
1) Bodaboda 80% Mchina
2) Bus karibu zote Mchina
3) Trucks kila siku Mchina zinaongezeka na msweeden (Scania, volvo) zinapungua
4) TV mchina anaongoza na zinazidi ongezeka

haya hamyaoni had CIA wakiri ndio muamin.

hakuna shujaa kwenye bei (Watu wachache sana ambao kwao bei sio issue)

Muulizeni Shabibi
Manufacturing is shifting away from China.

Cheap labour is becoming expensive. Standard of living is improving. Labour Unions demand alot from employers.

Africa is the new deal. Hata hao wachina wanahamisha viwanda vyao toka China kuleta Africa au Southern Asia.

Very soon China itakuwa na US na Europe, Advanced Economy.
 
Ni kitu gani kitazitoa kampuni za simu kutoka Android?

Kilichopo na kinachoendelea ni kwamba kampuni hizo zitaendelea kutumia Android kama kawaida sababu ndiyo mazingira ya soko yalivyo, hilo halina ubishi na kukaa nje ya mfumo huo ni kujiumiza kibiashara kwa sasa. Unless otherwise.

Ndiyo maana hata Huawei wenyewe wanasema hawatoiacha Android na wataendelea nayo kama kawaida mpaka hapo watakaposhindwa ama watakapowekewa zuio la moja kwa moja na Marekani.
Huko kwenu Africa ndo mnanunua kila kinacholetwa mbele yenu.

Watu wachache sana watataka kutumia hiyo OS mpya. Hata watumiaji wa tecno.

Ukiwaza huna whattsap, instagram, facebook, twitter ndo utaona bora urudi unapotoka.

Kuwa na OS ni jambo moja, hiyo OS kujaza apps ni suala lingine.
 
US walianza kwa ZTE, wakaja kwa Huawei!! Hivi bado unaamini kampuni zingine za China zitaendelea kujihisi zipo salama dhidi ya US kwa kuona hayo yaliyowakuta ZTE na Huawei wao hayawezi kuwakuta?!

Kukujibu swali lako kitakachofanya waachane na Android ni kwa sababu hakuna hata mmoja anayeweza kujiona yupo salama kibiashara ikiwa ataendelea kutegenea US Tech kwa 100%!!

Aidha, serikali ya China pia inaweza kutoa incentives kubwa kwa kampuni za ndani zitakazotumia Chinese made OS na kuzifanyia figisu zile zitakazoendelea kutumia Android!! Kwa serikali ya China hilo linawezekana kabisa unless Huawei waamue hiyo OS waitumie peke yao kama ilivyo kwa Apple, jambo ambalo sitarajii kwa sababu nadhani wanafahamu kwamba hii vita si ya kupigana peke yao halafu watarajie ushindi!

Kwamba mazingira ya soko yanategemea Android sio sahihi bali usahihi ni kwamba, majority ya Smartphones zinaingia sokoni zikiwa na Android! Ni kama hoja aliyoileta mdau mmoja hapa kwamba Waafrika hatuelewi na matokeo yake tumeng'ang'ana na Windows wakati kuna Linux! Huyu amesahau kwamba majority ya PCs zinakuja na Windows, na kwavile majority ya watumiaji wa PCs ni watu wa kawaida (contrary to watu wenye ABC za IT), there's no way hao watu wanaweza kuhangaika ku-install Linux bila kujali kama muhusika ni Mwafrika, Mchina, Mzungu or whoever! Na ndivyo ilivyo kwa Android! Leo hii inaonekana Android haikwepeki kwa sababu majority ya smartphones zinakuja na Android! Endapo Apple wasingekuwa wanaibania iOS, probably the story could be different now!!

So, it's up to kwa Huawei. Ikiwa watafanikiwa kutengeneza OS iliyosimama, keep this post, within 5 years, Android itaanza kupumulia mashine hasa kwa kwa kuziangatia manufacturers wakubwa wa affordable smartphones (by units produced) wapo China, na wataendelea kuibuka kila mwaka!

Kwamba Huawei wamesema wataendelea kutumia Android; kumbe ulitarajia waanze kuwa na nyodo kabla OS yao haijasimama?! Hivi hata mpangqji aliyeamua kujenga baada ya kuchoka manyanyaso ya Baba/Mama Mwenye Nyumba, unadhani ataanza kumletea nyodo mwenye nyumba wakati nyumba anayojenga ndo kwanza ni boma tu?! Hiyo kauli ya Huawei ni lugha tu ya kibiashara ili waendelee ku-maintain customers' confidence. There's no way Mchina ataacha kuhangaika kutafuta OS ya kwake mwenyewe wakati anafahamu, there's no way Mchina atakuja kuongea lugha moja na Mmarekani at least in the next 25 years!!
Huwezi achana na android kama unaacha kupanda mwendokasi.

Hizo kampuni zimetengenezwa kwa misingi ya kibiashara na kutengeneza faida.

Kampuni kubwa kama xiaomi iache kutumia android na kuhamia kwenye OS ya majaribio haiwezekani.

Labda miaka 10 ijayo. Tena kwa baadhi ya model za simu zao ndo wataweka hiyo OS.
 
Man, sijasema China itazifanyia figisu kampuni za nje, rudia kusoma nilichoandika! Aidha, sijasema hiyo OS ipo okay to take OFF, na wala sijasema hiyo kazi ni rahisi kama unavyojaribu kunilisha maneno! Nilichosema ni kwamba, Huawei WAKISHAFANIKIWA KUWA NA OS ILIYOSIMAMA, basi kuna uwezekano mkubwa serikali ya China encourages kampuni ZA NDANI kutumia a Chinese made OS! Na nikasema China wanaweza hata kufanya figisu kwa kampuni (ZA NDANI) zitakazoendelea kung'ang'ana na Android! Na tunaposema figisu haimaanishi kutaka kuziua hizo kampuni bali zinaweza kukosa favors fulani kutoka serikalini!

Kuhusu kuwekeza, I wish ningekuwa natumia PC nikupe data uone ni namna gani China hivi sasa ina-invest in R&D! Na serikali ya China inazipiga tafu sana hizi tech companies especially Huawei ambayo ni kama national flagship!

Kwamba kampuni nyingi zina OS Yake lakini bado hazijatoboa, wote hao bado walikuwa wanatengeneza za kwao in laxity kwa sababu wanajua tayari ipo OS iliyo operational, kwahiyo hawakuwa na sababu ya ku-~invest a lot of time and money! It's like mtu anayejenga huku anaishi nyumba ya serikali.

Kuhusu Developers hiyo ni issue ndogo sana! Developers wanachohitaji ni platform, PERIOD! Leo hii hiyo OS yao ikishakuwa okay, App Developers wata-develop tu apps cuz all they need is easy to entry platform! Na hivyo wameshasema itakuwa ni open source, utashangaa na kujiuliza na-apps yote haya yametokea wapi!

But all in all, wakati ukisisitiza kwamba kutengeneza OS sio jambo rahisi nami ningependa kukukumbusha Wachina usiwachukulie poa!!
App Developers walishindwa kutengeneza Apps za Windows, Symbian, Blackberry na ndio sababu kubwa ya hizo OS kufa.

Kutengeneza Apps sio suala la kununua pipi dukani.
 
Samsung
HTC
Google Pixel
Motorola
Nokia
Sony
One Plus
LG
N.k

Kumbuka kuna zaidi ya device 24.000 zinatumia android. Za china hazifiki hata nusu ya hiyo.
Duh!! Next time uwe unafanya kwanza research kabla hujaandika! Mosi, One Plus ni Mchina! HTC tunaweza kumuita ni Free Agent kwa sababu ni Mtaiwani! Second, hiyo 26K cjui unamaanisha nini kwa sababu hata unapokuja kwenye world market share, out of Top 10, 6 ni Chinese companies, which means, kwenye Top 10 by Global Market Share, kampuni ambazo sio za Kichina zinazotumia Android ni ONLY 2, Samsung na LG! Na tukienda by total Android smartphones produced, Chinese companies zinazalisha ZAIDI ya 50% of ALL ANDROID PHONES!!
 
App Developers walishindwa kutengeneza Apps za Windows, Symbian, Blackberry na ndio sababu kubwa ya hizo OS kufa.

Kutengeneza Apps sio suala la kununua pipi dukani.
Unataka kuleta ligi isiyo na nmsingi!! Why should people waste time kuhangaika na apps za Blackberrys, Windows na Symbian wakati OS zenyewe zipo centered na only specific products?? Yaani serious unaitaja Symbian?! Wakati Symbian ndo killer OS kulikuwa na massive use of mobile internet?!
 
Huwezi achana na android kama unaacha kupanda mwendokasi.

Hizo kampuni zimetengenezwa kwa misingi ya kibiashara na kutengeneza faida.

Kampuni kubwa kama xiaomi iache kutumia android na kuhamia kwenye OS ya majaribio haiwezekani.

Labda miaka 10 ijayo. Tena kwa baadhi ya model za simu zao ndo wataweka hiyo OS.
Hizi posts zenu kuna siku mtakuja kuzikimbia!! Ina maana Xiaomi ni wakubwa kuwapita au angalau kuwafikia Huawei?! Isitoshe nimetaja mazingira yanayoweza kusababisha other Chinese Smartphone Manufacturers kuhamia kwenye Chinese made OS, kwamba, mosi, hakuna kampuni ya Kichina itakayojiamini kwamba ipo safer dhidi ya figisu figisu za US!! So, badala ya kusema kwamba there's no way Xiaomi anaweza kuachana na Android, ungesema there's no way US wanaweza kuiletea figisu figisu Xiaomi or any other Chinese Smartphone Manufacturer/Tech company except Huawei na ZTE!!!
 
Tatizo kubwa kwa OS hiyo ya China ni soko na kama ilivyo ambapo Android ndiye aliyelikamata na kampuni karibu zote kubwa za uzalishaji wa simu ziko upande wake na hata Huawei na mafanikio yake, kwa namna moja ama nyingine yametokana na Android.

Kwa maana hiyo, hiyo OS inahitaji muda mrefu tu wa kuweza kuingia sokoni na kuzoeleka lakini wakati huo Dunia haitakuwa imesimama bado kutakuwa na swala lile lile la ushindani kama ilivyo hivi sasa na kampuni za uzalishaji wa simu hazijakoma kuanzishwa ukizingatia kuna kampuni za simu ambazo bado ni changa na zipo nje na ndani ya China pia.

Ninachomaanisha ni kuwa wakati Huawei ikijijenga na OS yake, italazimika kujitoa kutoka katika ushindani uliopo sasa katika soko la simu maana Android na iOS ndiyo vinara sokoni na wakati Huawei inajijenga itazipa nafasi kampuni zingine ambazo ni miongoni mwa washindani wake kama vile Xiaomi na Oppo kukamata nafasi yake na hivyo inaweza kuwa hatari zaidi kwa Huawei

Na pia kuna lingine la msingi sana hapo, ndani ya China kuna kampuni nyingi tu za uzalishaji wa simu na zinafahamika sana tu na hizi zote zinashindania soko ikiwemo ndani ya Uchina na pia kimataifa na nyingi zina uhusiano na Android kwa sasa. Je, Huawei itawezaje kuwashawishi hawa wengine waihame Android waende kwake ilhali yeye mwenyewe Huawei ni mshindani wao mkubwa katika soko la simu?

Hapo itaibidi Huawei kwanza ipambane kuanzisha Ecosystem yake mwenyewe na kisha iteke soko la Dunia kwa kiasi cha kufikia kuiondoa Android sokoni vinginevyo hizo kampuni nyingine kutoka China ambazo ni mahasimu wake kwenye soko itakuwa ngumu sana kumuunga mkono. Hizo ni Biashara na penye faida zaidi ndipo hutazamwa zaidi.

Duh mchezo hatari sana kwa maana hiyo vita hii uwenda hata baadhi ya kampuni wakina xiaomi wanafurahi kwao kama fursa la kuota mizizi vizur sokon au china nayo itapitisha amri product zotezitumie iyo os ya huawei na kuachana na android maybe perhaps huawei anaweza akapotea kwenye game la biashara akifanya mchezo
 
Sijui kama umeelewa kilichoandikwa.

Google sasa ivi ana focus kwenye Fuschia OS ni mbadala wa OS yake ya Android. Wachina hapo mwanzo walikuwa wanatumia OS ipi kwani kabla ya android? kabla ujio wa IOS na Android, OS iliokuwa iko top ni Symbian ya Nokia, na hii kama sikosei ilikua distributed kwa kampuni nyengine kwa kulipa license fee. Simu nyengine zilikuwa ni mp4 player tu. Usibabaike na Lugha ukafiri kuwa eti ni OS, ukienda Settings tu unaweza kuchange language na kuweka kichina.

Yaani kabla ya ujio wa Android na OS, hapo mwanzoni kitaa unakuta watu wana nokia na sony ericsson ndo zilikuwa na chat, kina samsung na wengine hawakua na ishu yoyote. Sasa sijui huawei aliwezaje kuuza devices zake nje wakati unasema alikuwa anatumia OS yao ambayo ipo kwenye lugha yao tu, halafu ndio wakaingia deal na Android.

Mkuu labda we umeanza kuijua huawei juzi tu hata nokia alitumia pia microsoft na soko likamtema sasa yuko na android kabla ya android karibu kila sim ilikua na operation system yake mkuu tena blackberry alifanya vizur mno kuliko Microsoft shida mkuu sio nn ni soko labda mwenzangu ujanielewa jitafakari punguza hasira atulipwi lkn ni story tu hizi za kijiwe mkuu
 
Sijui kama umeelewa kilichoandikwa.

Google sasa ivi ana focus kwenye Fuschia OS ni mbadala wa OS yake ya Android. Wachina hapo mwanzo walikuwa wanatumia OS ipi kwani kabla ya android? kabla ujio wa IOS na Android, OS iliokuwa iko top ni Symbian ya Nokia, na hii kama sikosei ilikua distributed kwa kampuni nyengine kwa kulipa license fee. Simu nyengine zilikuwa ni mp4 player tu. Usibabaike na Lugha ukafiri kuwa eti ni OS, ukienda Settings tu unaweza kuchange language na kuweka kichina.

Yaani kabla ya ujio wa Android na OS, hapo mwanzoni kitaa unakuta watu wana nokia na sony ericsson ndo zilikuwa na chat, kina samsung na wengine hawakua na ishu yoyote. Sasa sijui huawei aliwezaje kuuza devices zake nje wakati unasema alikuwa anatumia OS yao ambayo ipo kwenye lugha yao tu, halafu ndio wakaingia deal na Android.

Hiyo os ni kazi za google muendelezo tu mana washa kuwa chrome os kwaajili pcs na zime base kernel kama vile linux na ndo mana wameona pia watoe pic microkernel kwaajili ya device ndogo kama simu pia ila sio wameona kuwa washift kwenda kwa fuschsia mana hii imekuwa introduced kwa developers toka 2016 kwenye biashara ni kawaida kuwa na difference option ili kuwin soko pia na hii inalenga kumpa mtumiaji uhuru wa kutumia os lkn na securty ya hali ya juu
 
Duh!! Next time uwe unafanya kwanza research kabla hujaandika! Mosi, One Plus ni Mchina! HTC tunaweza kumuita ni Free Agent kwa sababu ni Mtaiwani! Second, hiyo 26K cjui unamaanisha nini kwa sababu hata unapokuja kwenye world market share, out of Top 10, 6 ni Chinese companies, which means, kwenye Top 10 by Global Market Share, kampuni ambazo sio za Kichina zinazotumia Android ni ONLY 2, Samsung na LG! Na tukienda by total Android smartphones produced, Chinese companies zinazalisha ZAIDI ya 50% of ALL ANDROID PHONES!!
Kwahiyo hiyo 50% ya simu za China watahamia OS ya Huawei?
 
Unataka kuleta ligi isiyo na nmsingi!! Why should people waste time kuhangaika na apps za Blackberrys, Windows na Symbian wakati OS zenyewe zipo centered na only specific products?? Yaani serious unaitaja Symbian?! Wakati Symbian ndo killer OS kulikuwa na massive use of mobile internet?!
Nimekwambia hizo OS zilikufa kwa kukosa App developers.

Nimetumia zote hizo na hii Window OS nimeacha kutumia mwaka juzi kwa ufinyu wa Apps.

Kampuni kubwa kama Microsoft imeshindwa shawishi hao App developers watengeneze Apps kwa ajili ya platform yao. Hao Huawei wana lipi la kushawishi?

Kumbuka Apps za maana almost zote zinamilikiwa na makampuni ya US & Europe.

Go figure.
 
Hizi posts zenu kuna siku mtakuja kuzikimbia!! Ina maana Xiaomi ni wakubwa kuwapita au angalau kuwafikia Huawei?! Isitoshe nimetaja mazingira yanayoweza kusababisha other Chinese Smartphone Manufacturers kuhamia kwenye Chinese made OS, kwamba, mosi, hakuna kampuni ya Kichina itakayojiamini kwamba ipo safer dhidi ya figisu figisu za US!! So, badala ya kusema kwamba there's no way Xiaomi anaweza kuachana na Android, ungesema there's no way US wanaweza kuiletea figisu figisu Xiaomi or any other Chinese Smartphone Manufacturer/Tech company except Huawei na ZTE!!!
Usiassume ukadhani hao Xiaomi watawaza kama wewe.

Ugomvi wa US na Huawei haukuanza na Android.

Ulianza na wizi wa teknolojia wa kampuni za US (tena At&t) ndio vita vikaanzia hapo. Hata hao ZTE nao walikumbana na vikwazo toka US kwa sababu walifanya biashara na nchi zilizowekewa vikwazo.

Kama ni figisu, kwanini Samsung, LG, Oppo, Xiaomi wanapeta? Tena ni makampuni makubwa kuliko Huawei? Na si makampuni ya US.

Kama Xiaomi anaiba teknolojia na yeye asubiri adhabu yake ila hawezi zuiwa tumia Android bila sababu.

Hao ni wafanyabiashara, wanawaza kibiashara hawawazi kama unavyoendesha familia yako. Mtu hawezi amka asubuhi akahamia Harmony OS kwasababu jirani yake amewekewa vikwazo. Zaidi atashangilia kuchukua soko la Huawei.

Huawei apambane na hali yake asitegemee kuungwa mkono kisa ametengeneza OS yake.
 
Manufacturing is shifting away from China.

Cheap labour is becoming expensive. Standard of living is improving. Labour Unions demand alot from employers.

Africa is the new deal. Hata hao wachina wanahamisha viwanda vyao toka China kuleta Africa au Southern Asia.

Very soon China itakuwa na US na Europe, Advanced Economy.
Siyo rahisi siku moja tim cook ceo wa apple aliulizwa ni kwanini wanapenda labor force china. Alijibu china ukitangaza unahitaji watu wanaojua kitu flani wanajaa tofauti na US.
Je Africa tunayo labor force ya hivyo
 
Usicheze na waChina a.k.a Vimacho vidogo, Google wameanza kujuta huko, Inaonyeshea Plan B ya hawa vimacho itafanikiwa kwa kiasi kikubwa ndani ya mda mfupi tu, waafrica na Asia watatumia tu bidhaa ya vimacho hamna namna coz ni rahisi sana, Ulaya wote sasaivi wanatumia 5G ya mchina, Marekani anaanza kubwabwaja na kulalamikia nchi za ulaya kuwa zinamsaliti, Yaani mpaka UK anasema hawawezi kuhairisha mfumo wa 5G wa huawei coz taari mkataba umeshafanyika
View attachment 1176635View attachment 1176636
Open source OS ni rahisi kuwa hacked! Hata wao wanajua
 
Huyo Mwafrika unayemwongelea ni Mwafrika wa aina gani?! Mwafrika wa kawaida ambae ni mtumiaji wa bidhaa au Mwafrika mwenye uelewa na mambo ya IT? Hivi unadhani PCs zingekuwa zinakuja zikiwa na Linux, huyo Mwafrika unayemsema angehangaika kuitafuta Windows?

Hiyo OS ya Huawei kama itakuwa finalized, itakuwa haikwepeki kama isivyokwepeka Windows kwa watumiaji wa kawaida ambao ndio wengi maradufu! Itakuwa haikwepeki, kwa sababu inafahamika simu za Mchina ndizo simu za bei nafuu huku zingine zikiwa na specs mzuri tu! Sasa let's assume hiyo OS ipo okay, kisha simu za Huawei zinakuja na hiyo OS! Na ninaamini simu zingine za Kichina kama Honor, Xiaomi, One Plus, Oppo, Tecno, Infinix na wengine huenda wakafuata kwa sababu, none of them anaweza kujihisi yupo salama dhidi ya figisu figisu za US!

Niliwahi kuongea siku za nyuma, na hapa narudia! Kama hiyo OS itakuwa iko poa, mteja mkubwa wa kuaminika wa Google atabaki Samsung!
Haujui kama Samsung wana OS yao? Alafu kitu kibaya zaidi ni makampuni makubwa ambayo ni ya America je yatakuwa tayari kudevelop apps kwa ajili ya open source OS ambayo ni rahisi kuwa hacked?
 
Kwanini unaponda bidhaa za china na kuziita fake product wakati huo huo unazitumia? Si ununue basi hizo original na kwa bei ghali from US! inaonekana bado mchanga sana kwenye haya mambo.

Piki piki za kufanyia biashara na matumizi ya nyumbani mnatumia za kwake.

Baadhi ya Bajaji pamoja na zile zinazobeba mizigo mnatumia za kwake.

Baiskeli mnatumia za kwake.

Magari chungu nzima mnatumia ya kwake.

Mashine za juice ya miwa

Mashine za ice cream

Mashine za kusagiaa karanga

Mashine za tofali

Mashine za mabati

Mashine plastic

Mashine za vinywaji mbali mbali n.k

Simu mnatumia za kwake.

Si ajabu hata chupi/nguo unazovaa made in china.

Muwe mnauliza kwanza, Sio kila bidhaa from China ni fake
,wenzetu wanaenda na grades, ukitaka original watakutengenezea kulingana na uwezo wako wa kifedha,,na ukitaka medium watakutengenezea, na ukitaka ya kawaida ambazo wengi wetu tunazimudu huku bongo wanatengeneza pia. Nchi kama Tanzania sio wote wenye uwezo wa kumiliki simu za mamilioni.

Ukienda kwenye magari pia, atakutengenezea kulingana na uchumi wako, ukitaka benzi original atatengeneza tena ikawa nzuri kuriko ata ya mjerumani, ukitaka ya bei nafuu atatengeneza ni wewe na hela yako tu babaaa.
Mkuu ni magari gani ya China yanatumika hapa Tanzania kwa wingi na je yametengenezwa kwa tech ya nani?
.
Alafu mkuu humu sisi ni watu wazima uache kutudanganya basi hata siku moja moja mchina ataanzaje kutengeneza Mercedes benz bila wajerumani wenyewe kutaka litengenezwe watatoa wapi makorokoro ya kuweka?
.
China ni nchi tegemezi kwa kila kitu mkuu kasoro vitu visivyohitaji ujuzi japo nawakubali sanaa ni very creative kwa kurahisisha vitu wale jamaa
 
Back
Top Bottom