Huawei tayari wamekamilisha Operating System (OS) yao

Huawei tayari wamekamilisha Operating System (OS) yao

Usiassume ukadhani hao Xiaomi watawaza kama wewe.
Na wewe ulichofanya sio ku-assume?! Tena ku-assume kusikoangalia mazingira ya kibiashara kati ya US na China!!
Ugomvi wa US na Huawei haukuanza na Android.
Very funny! Kuna niliposema ugomvi wao umeanza kwenye Android?!
Ulianza na wizi wa teknolojia wa kampuni za US (tena At&t) ndio vita vikaanzia hapo.
Kwani hoja ya China kuiba teknolojia US imeanza leo?! Hao wanaoshutumiwa kuiba US teknolojia ni Huawei peke yake?! WHY Huawei?! In short, hoja kubwa ya Trump ilikuwa security risk na mengine ilikuwa ni ya kujazia ripoti tu!
I, DONALD J. TRUMP, President of the United States of America, find that foreign adversaries are increasingly creating and exploiting vulnerabilities in information and communications technology and services, which store and communicate vast amounts of sensitive information, facilitate the digital economy, and support critical infrastructure and vital emergency services, in order to commit malicious cyber-enabled actions, including economic and industrial espionage against the United States and its people.
Tafuta hiyo Executive Order manake ipo available online!
Hata hao ZTE nao walikumbana na vikwazo toka US kwa sababu walifanya biashara na nchi zilizowekewa vikwazo.
Hakuna figisu isiyokuwa na sababu!
Kama ni figisu, kwanini Samsung, LG, Oppo, Xiaomi wanapeta? Tena ni makampuni makubwa kuliko Huawei? Na si makampuni ya US.
Duh! We jamaa unashangaza sana! Kwanza naona unachanganya madesa! Hapa tunazungumzia figisu baina ya China na US! Kwani Samsung na LG ni kampuni za Kichina?! Hao Xiaomi na Oppo nirudie mara ngapi kusema kwamba issue sio hao akina Xiaomi na wenyewe kupigwa ban bali hakuna Chinese Firm inayoweza kujihisi ipo salama under Trump Administration!! Kuna trade tarriffs (ndo figisu zenyewe hizo) ambazo China wamewekewa! Hivi kwa akili yako unadhani zile trade tarrifs ni dhidi ya serikali ya China na sio some Chinese Firms zinazofanya biashara husika?! Sasa ikiwa kote huko figisu zimepita, what's so special kinachowaweza kuwafanya Xiaomi wawe safe 100%?! Wakati ZTE wanapigwa ban, Huawei nao walipigwa?
Kama Xiaomi anaiba teknolojia na yeye asubiri adhabu yake ila hawezi zuiwa tumia Android bila sababu.
Una matatizo wewe! Hivi kuna aliyesema Xiaomi watazuiwa kutumia Android?Narudia nilichosema: HAKUNA KAMPUNI YOYOTE YA CHINA INAYOWEZA KUJIHISI SALAMA UNDER TRUMP ADMINISTRATION! THAT BEING SAID, HUAWEI WAKISHAKUWA NA OS INAYOELEWEKA, FOR THEM TO BE SAFE, WATAHAMIA TU KWENYE OS NYINGINE!!
Hao ni wafanyabiashara, wanawaza kibiashara hawawazi kama unavyoendesha familia yako. Mtu hawezi amka asubuhi akahamia Harmony OS kwasababu jirani yake amewekewa vikwazo. Zaidi atashangilia kuchukua soko la Huawei.
Ungekuwa na uelewa na elimu ya biashara ungefahamu kuna kitu kinaitwa SWOT Analysis, na T inasimama badala ya THREAT! Kama bado hujaona threats posed to Chinese Firms under Trump Administration basi una safari ndefu sana!!
Huawei apambane na hali yake asitegemee kuungwa mkono kisa ametengeneza OS yake.
Hivi Huawei wameomba kuungwa mkono?! Hili kwangu ni jipya na ndo nalisikia kutoka kwako!
 
Haujui kama Samsung wana OS yao? Alafu kitu kibaya zaidi ni makampuni makubwa ambayo ni ya America je yatakuwa tayari kudevelop apps kwa ajili ya open source OS ambayo ni rahisi kuwa hacked?
Issue sio kuwa na OS yao bali issue ni kwanini wa-invest lots of energy and money kuifanya a killer OS wakati Android ipo?! Hao Huawei mwaka jana wamelazimika ku-invest billions of $$$ kwenye R&D kwa sababu hana uhakika wa kuendelea kuitumia Android!!
 
Nimekwambia hizo OS zilikufa kwa kukosa App developers.

Nimetumia zote hizo na hii Window OS nimeacha kutumia mwaka juzi kwa ufinyu wa Apps.

Kampuni kubwa kama Microsoft imeshindwa shawishi hao App developers watengeneze Apps kwa ajili ya platform yao. Hao Huawei wana lipi la kushawishi?

Kumbuka Apps za maana almost zote zinamilikiwa na makampuni ya US & Europe.

Go figure.
Kumilikiwa na kampuni za US na Europe sio hoja, hoja ni kwamba ulitakiwa kwanza kufahamu ni kwanini hizo OS zilikosa Apps Developers!!! Suala la kukosa developers ni matokeo tu!
 
Mkuu ni magari gani ya China yanatumika hapa Tanzania kwa wingi na je yametengenezwa kwa tech ya nani?
.
Alafu mkuu humu sisi ni watu wazima uache kutudanganya basi hata siku moja moja mchina ataanzaje kutengeneza Mercedes benz bila wajerumani wenyewe kutaka litengenezwe watatoa wapi makorokoro ya kuweka?
.
China ni nchi tegemezi kwa kila kitu mkuu kasoro vitu visivyohitaji ujuzi japo nawakubali sanaa ni very creative kwa kurahisisha vitu wale jamaa

Screenshot_20190811-194848_Google.jpg

Are Mercedes made in China?
Beijing Benz (officially Beijing Benz Automotive Co., Ltd) is an automotive manufacturing company headquartered in Beijing, China, and a joint venture between BAIC Motor and Daimler AG. ... As of 2016, Beijing Benz assembles and manufactures theMercedes-Benz E-Class (long wheelbase), and C-Class in China.

A semi-treiler truck pia wanatengeneza
1~Faw truck
2~Howo sinotruck
3~Dongfeng trucks
4~Foton trucks
5~JAC
6~Shaanxi
7~Shacman
8~Beiben

Na hapa Tz matrucks yamejasa chungu nzima, tena magari yao punda babaa yanapiga kazi co muchezo.
 
Issue sio kuwa na OS yao bali issue ni kwanini wa-invest lots of energy and money kuifanya a killer OS wakati Android ipo?! Hao Huawei mwaka jana wamelazimika ku-invest billions of $$$ kwenye R&D kwa sababu hana uhakika wa kuendelea kuitumia Android!!
Hahaha nyie jamaa bwana mnafurahisha sana, Huawei wangetengeneza OS yao in it's entirely starts with kernel na waiunde kwa kichina ingekuwa achievement kubwa sana kwao in terms of total security, na wangethibitisha kuwa wanaweza kuwa against English-based cyber system
 
View attachment 1178523
Are Mercedes made in China?
Beijing Benz (officially Beijing Benz Automotive Co., Ltd) is an automotive manufacturing company headquartered in Beijing, China, and a joint venture between BAIC Motor and Daimler AG. ... As of 2016, Beijing Benz assembles and manufactures theMercedes-Benz E-Class (long wheelbase), and C-Class in China.

Audi
Toyota
Volvo
Ford
Wanatengeneza pia.

A semi-treiler truck pia wanatengeneza
1~Faw truck
2~Howo sinotruck
3~Dongfeng trucks
4~Foton trucks
5~JAC
6~Shaanxi
7~Shacman
8~Beiben

Na hapa Tz matrucks yamejasa chungu nzima, tena magari yao punda babaa yanapiga kazi co muchezo.
Are you serious? Haujui kama hayo magari yanatengenezwa china kwa sababu ya cheap labor?
.
Toyota mjapan
Mercedes benz mjerumani
Audi, Ford n.k wote vivyo hivyo yani the whole technology ni ya owners wa hizo bidhaa.
.
Hizo trucks ulizozitaja wanatumia technology za nchi gani mfano engines, electric system n.k?
 
Nadhani inabidi ifike mahali binadamu tuheshimiane.
Katika hali ya kupambana kibiashara na Us ..China kaanza kumjibu Us kimya kimya.
Thaman ya Yuan imeshushwa.
Rare mineral hakuna kuuza Us.
Hakuna kununua soya beans toka Us.
Taka toka Us zimepigwa marufuku kwa nchi nyingi Asia.
China wamejipanga kupambana na Us bilashaka.
Nimeeleza ukweli huu kuwa OS ya China inaitwa HarmonyOS nikaishia kutukanwa na Einstein Newton na Moo Click. Nawashukuru sana kwa hayo matusi.
 
Hahaha nyie jamaa bwana mnafurahisha sana, Huawei wangetengeneza OS yao in it's entirely starts with kernel na waiunde kwa kichina ingekuwa achievement kubwa sana kwao in terms of total security, na wangethibitisha kuwa wanaweza kuwa against English-based cyber system
Kwahiyo man, Google kutumia microkernel kuunda Fuchsia it's okay lakini Huawei kutumia microkernel inakuwa si sawa?! Au sijakuelewa?! Btw, unamaanisha nini unaposema ingekuwa ni achievement kubwa kama wangeiunda kwa Kichina?! Au unamaanisha kama ingekuwa in Chinese language ingeongeza security kwavile possible cyber attackers wengi hawajui Kichina?! I'm lost.
 
Are you serious? Haujui kama hayo magari yanatengenezwa china kwa sababu ya cheap labor?
.
Toyota mjapan
Mercedes benz mjerumani
Audi, Ford n.k wote vivyo hivyo yani the whole technology ni ya owners wa hizo bidhaa.
.
Hizo trucks ulizozitaja wanatumia technology za nchi gani mfano engines, electric system n.k?
Man, usahhi sio CHEAP LABOR bali CHEAP SKILLED LABOR. Huwezi kuondoa ukweli kwamba China kuna enough skilled labor ambayo ni cheap compared to western labor market!
 
Are you serious? Haujui kama hayo magari yanatengenezwa china kwa sababu ya cheap labor?
.
Toyota mjapan
Mercedes benz mjerumani
Audi, Ford n.k wote vivyo hivyo yani the whole technology ni ya owners wa hizo bidhaa.
.
Hizo trucks ulizozitaja wanatumia technology za nchi gani mfano engines, electric system n.k?

Usipate tabu, Ingia Google!
 
View attachment 1178523
Are Mercedes made in China?
Beijing Benz (officially Beijing Benz Automotive Co., Ltd) is an automotive manufacturing company headquartered in Beijing, China, and a joint venture between BAIC Motor and Daimler AG. ... As of 2016, Beijing Benz assembles and manufactures theMercedes-Benz E-Class (long wheelbase), and C-Class in China.

A semi-treiler truck pia wanatengeneza
1~Faw truck
2~Howo sinotruck
3~Dongfeng trucks
4~Foton trucks
5~JAC
6~Shaanxi
7~Shacman
8~Beiben

Na hapa Tz matrucks yamejasa chungu nzima, tena magari yao punda babaa yanapiga kazi co muchezo.
Hao BAIC wana 15 % ya Daimler group.
 
Siyo rahisi siku moja tim cook ceo wa apple aliulizwa ni kwanini wanapenda labor force china. Alijibu china ukitangaza unahitaji watu wanaojua kitu flani wanajaa tofauti na US.
Je Africa tunayo labor force ya hivyo
Ndo kitu kinachozuia high skilled manufacturing kuja Africa.

Ila viwanda virahisi kama vya nguo vingi vimekimbilia Ethiopia, Kenya au South Asia.
 
Na wewe ulichofanya sio ku-assume?! Tena ku-assume kusikoangalia mazingira ya kibiashara kati ya US na China!!Very funny! Kuna niliposema ugomvi wao umeanza kwenye Android?!
Kwani hoja ya China kuiba teknolojia US imeanza leo?! Hao wanaoshutumiwa kuiba US teknolojia ni Huawei peke yake?! WHY Huawei?! In short, hoja kubwa ya Trump ilikuwa security risk na mengine ilikuwa ni ya kujazia ripoti tu!
Tafuta hiyo Executive Order manake ipo available online!
Hakuna figisu isiyokuwa na sababu!
Duh! We jamaa unashangaza sana! Kwanza naona unachanganya madesa! Hapa tunazungumzia figisu baina ya China na US! Kwani Samsung na LG ni kampuni za Kichina?! Hao Xiaomi na Oppo nirudie mara ngapi kusema kwamba issue sio hao akina Xiaomi na wenyewe kupigwa ban bali hakuna Chinese Firm inayoweza kujihisi ipo salama under Trump Administration!! Kuna trade tarriffs (ndo figisu zenyewe hizo) ambazo China wamewekewa! Hivi kwa akili yako unadhani zile trade tarrifs ni dhidi ya serikali ya China na sio some Chinese Firms zinazofanya biashara husika?! Sasa ikiwa kote huko figisu zimepita, what's so special kinachowaweza kuwafanya Xiaomi wawe safe 100%?! Wakati ZTE wanapigwa ban, Huawei nao walipigwa?
Una matatizo wewe! Hivi kuna aliyesema Xiaomi watazuiwa kutumia Android?Narudia nilichosema: HAKUNA KAMPUNI YOYOTE YA CHINA INAYOWEZA KUJIHISI SALAMA UNDER TRUMP ADMINISTRATION! THAT BEING SAID, HUAWEI WAKISHAKUWA NA OS INAYOELEWEKA, FOR THEM TO BE SAFE, WATAHAMIA TU KWENYE OS NYINGINE!!Ungekuwa na uelewa na elimu ya biashara ungefahamu kuna kitu kinaitwa SWOT Analysis, na T inasimama badala ya THREAT! Kama bado hujaona threats posed to Chinese Firms under Trump Administration basi una safari ndefu sana!!
Hivi Huawei wameomba kuungwa mkono?! Hili kwangu ni jipya na ndo nalisikia kutoka kwako!
Trump anaondoka very soon.

Akija rais mwingine wa US atakaa meza moja na China kuweka sawa trade war kati yao.

Wewe ulietengeneza OS yako kumkwepa Trump itakuwaje? Si utabaki peke yako?
 
Uwezo wa China kupambana na US kwa muda mrefu ni mdogo. Wakienda hivi say kwa miaka mitano, China will collapse.
Sasa nani atanunua simu yenye OS ya mchina kwa mfano?
Africa is one of the most profitable area nenda kariakoo utajionea...unatype ivo usikute una tumia product ya china...ata kama ni Apple ..mind you made in carlifonia assembled in China
 
Akili za watu zimefinywa zikafinyika. Wanachodhani wao it's all about kutengeneza na kuuza, hizo other factors wala hawaziangalii. Nakumbuka tangu miaka ya katikati ya tisini katika report yao, CIA walisema kwa hali ilivyo kama mchina hatapigana vita yoyote ile basi itamchukua miaka nane (8) kuwa namba tatu kiuchumi Duniani. Then, miaka ya elfu mbili CIA walisema kabla ya 2016 kama hali itabaki hivi basi China atakua namba 2 kiuchumi duniani.
Hii najaribu kuonyesha jinsi watu wanavyofuatilia mambo, mbinu na mikakati ya mchina watu wanaijua, yote ipp mikononi maana wanajua exactly pale itakapo mfikisha. Hivyo hawakuwa mafala, walitengeneza nikakati ya kufaidika naye halafu baadaye waje ku m contain na kumfifisha kabisa. China hataweza kufika anakodhani anaelekea, Uingereza hakuwa fala alipomkabidhi Hong Kong ambao hadi leo hawataki kujiona kuwa wao ni sehemu ya China.
Kuna Macau, kuna Taiwan kuna Tibet. Hizi zote ni special projects dhidi ya Mchina, ni timing bombs.
Mchina amesha kuwa contained, hana tena ujanja.
Watu si wajinga wanapo invest heavily kwenye maswala ya Research and Intelligence, si wajinga hata
Oya Mkuu hebu dadavua zaidi....mkakati mzito kumbe ulipangwa
 
Africa is one of the most profitable area nenda kariakoo utajionea...unatype ivo usikute una tumia product ya china...ata kama ni Apple ..mind you made in carlifonia assembled in China
Mkuu China hauzi theruthi hata moja ya kiasi cha mauzo anayouza US. In reality consumption ya bidhaa za China kwa Africa ni ndogo sana usichanganyikiwe na unayo yaona kariakoo ukadhani ni soko kubwa kwao.
Tazama statistics za mauzo Google utaona kuwa Africa bado sana
 
Back
Top Bottom