Huawei tayari wamekamilisha Operating System (OS) yao

Huawei wakishakuwa na OS ya kueleweka, wote hao watahama Android na kuhamia Huawei OS kwa sababu wanafahamu hata wao hawawezi kuwa safe dhidi ya US! Na usikute hiyo OS ina ruzuku kubwa toka serikalini ili kuhakikisha kampuni zingine za China zinaitumia
Ni kitu gani kitazitoa kampuni za simu kutoka Android?

Kilichopo na kinachoendelea ni kwamba kampuni hizo zitaendelea kutumia Android kama kawaida sababu ndiyo mazingira ya soko yalivyo, hilo halina ubishi na kukaa nje ya mfumo huo ni kujiumiza kibiashara kwa sasa. Unless otherwise.

Ndiyo maana hata Huawei wenyewe wanasema hawatoiacha Android na wataendelea nayo kama kawaida mpaka hapo watakaposhindwa ama watakapowekewa zuio la moja kwa moja na Marekani.
 
Katika vita hii China itamkalia pabaya tuu. Marekani ndio nchi yenye uchumi mkubwa Dunia na pia rare earth metals hata Marekani anazo sema China alikuwa anauza Kwa bei ndogo ndio maana Marekani ikaacha kuchimba na sahizi Mchina ana wakati mgumu kwasababu Hongkong pale maandamano Yanaendelea na Kwahiyo na Muingereza kamkalia pabaya suala China Kwa internal interference. akikosea treatment Kwa Hongkong ndio kwisha yake . Tianam square, Uighur Muslims na sahivi Hongkong
Hili la Rare Earth Minerals linaonekana ni kama karata kubwa kwa Uchina katika huu 'Mgogoro' (vita yenyewe bado).

Lakini hili Wamarekani wanalijua vizuri na wamekwisha anza kulishughulikia kwa makini kabisa ikiwemo kuanzishwa kwa miradi mipya tofauti na ile iliyopo China. Mfano katika nchi kama vile Japan, Australia na Marekani yenyewe tayari hilo limeanza kufanyika ili kuzalisha hizo Minerals kama mbadala.

Si rahisi kama idhaniwavyo ila lolote linawezekana.
 
Tatizo kubwa kwa OS hiyo ya China ni soko na kama ilivyo ambapo Android ndiye aliyelikamata na kampuni karibu zote kubwa za uzalishaji wa simu ziko upande wake na hata Huawei na mafanikio yake, kwa namna moja ama nyingine yametokana na Android.

Kwa maana hiyo, hiyo OS inahitaji muda mrefu tu wa kuweza kuingia sokoni na kuzoeleka lakini wakati huo Dunia haitakuwa imesimama bado kutakuwa na swala lile lile la ushindani kama ilivyo hivi sasa na kampuni za uzalishaji wa simu hazijakoma kuanzishwa ukizingatia kuna kampuni za simu ambazo bado ni changa na zipo nje na ndani ya China pia.

Ninachomaanisha ni kuwa wakati Huawei ikijijenga na OS yake, italazimika kujitoa kutoka katika ushindani uliopo sasa katika soko la simu maana Android na iOS ndiyo vinara sokoni na wakati Huawei inajijenga itazipa nafasi kampuni zingine ambazo ni miongoni mwa washindani wake kama vile Xiaomi na Oppo kukamata nafasi yake na hivyo inaweza kuwa hatari zaidi kwa Huawei

Na pia kuna lingine la msingi sana hapo, ndani ya China kuna kampuni nyingi tu za uzalishaji wa simu na zinafahamika sana tu na hizi zote zinashindania soko ikiwemo ndani ya Uchina na pia kimataifa na nyingi zina uhusiano na Android kwa sasa. Je, Huawei itawezaje kuwashawishi hawa wengine waihame Android waende kwake ilhali yeye mwenyewe Huawei ni mshindani wao mkubwa katika soko la simu?

Hapo itaibidi Huawei kwanza ipambane kuanzisha Ecosystem yake mwenyewe na kisha iteke soko la Dunia kwa kiasi cha kufikia kuiondoa Android sokoni vinginevyo hizo kampuni nyingine kutoka China ambazo ni mahasimu wake kwenye soko itakuwa ngumu sana kumuunga mkono. Hizo ni Biashara na penye faida zaidi ndipo hutazamwa zaidi.
 
Collapse how ? Wachina wameweza kuishi miaka na miaka kwa ukoministi bila kutegemea material things.., wananchi wao wanaweza kuishi kimasikini kwa kubana mikanda.., wachina wana rasilimali watu wa kutosha kwahio wataendelea tu mdogo mdogo issue ni USA wananchi wengi waliozoea vya kunyonga.., when push comes to shove wataandamana na kupigana risasi mpaka basi..., that's how empires collapse..., China ni nchi yenye historia tangu enzi na enzi achana na hii marekani iliyokuja juzi...
You nailed it
 
Nadhani inabidi ifike mahali binadamu tuheshimiane.
Katika hali ya kupambana kibiashara na Us ..China kaanza kumjibu Us kimya kimya.
Thaman ya Yuan imeshushwa.
Rare mineral hakuna kuuza Us.
Hakuna kununua soya beans toka Us.
Taka toka Us zimepigwa marufuku kwa nchi nyingi Asia.
China wamejipanga kupambana na Us bilashaka.
Yap , na ukiangalia utaona China taratibu anaanza kujitoa kutegemea USA na nyuma yake Urusi nao bila hofu wanapambana kuidamp dola ,,ujerumani nao hawapo mbali sana ,,,,naamini US kwanamna moja au nyingine wameiharibu dunia sanasana !!!! Natamani one makao makuu ya UNO na agency zake zihamie China !!!! Alafu hivi nani anapanga thamani ya sarafu za nchi nyingine !?
 
Sasa yakiamia china wewe unafaidika nini?! au wewe ni mchina! Si bora utamani yahamie ngudu kwimba.
 
Tatizo kubwa kwa OS hiyo ya China ni soko na kama ilivyo ambapo Android ndiye aliyelikamata na kampuni karibu zote kubwa za uzalishaji wa simu ziko upande wake na hata Huawei na mafanikio yake, kwa namna moja ama nyingine yametokana na Android.

Kwa maana hiyo, hiyo OS inahitaji muda mrefu tu wa kuweza kuingia sokoni na kuzoeleka lakini wakati huo Dunia haitakuwa imesimama bado kutakuwa na swala lile lile la ushindani kama ilivyo hivi sasa na kampuni za uzalishaji wa simu hazijakoma kuanzishwa ukizingatia kuna kampuni za simu ambazo bado ni changa na zipo nje na ndani ya China pia.

Ninachomaanisha ni kuwa wakati Huawei ikijijenga na OS yake, italazimika kujitoa kutoka katika ushindani uliopo sasa katika soko la simu maana Android na iOS ndiyo vinara sokoni na wakati Huawei inajijenga itazipa nafasi kampuni zingine ambazo ni miongoni mwa washindani wake kama vile Xiaomi na Oppo kukamata nafasi yake na hivyo inaweza kuwa hatari zaidi kwa Huawei

Na pia kuna lingine la msingi sana hapo, ndani ya China kuna kampuni nyingi tu za uzalishaji wa simu na zinafahamika sana tu na hizi zote zinashindania soko ikiwemo ndani ya Uchina na pia kimataifa na nyingi zina uhusiano na Android kwa sasa. Je, Huawei itawezaje kuwashawishi hawa wengine waihame Android waende kwake ilhali yeye mwenyewe Huawei ni mshindani wao mkubwa katika soko la simu?

Hapo itaibidi Huawei kwanza ipambane kuanzisha Ecosystem yake mwenyewe na kisha iteke soko la Dunia kwa kiasi cha kufikia kuiondoa Android sokoni vinginevyo hizo kampuni nyingine kutoka China ambazo ni mahasimu wake kwenye soko itakuwa ngumu sana kumuunga mkono. Hizo ni Biashara na penye faida zaidi ndipo hutazamwa zaidi.
Mkuu humu utaumia, unajadiliana na mataahira ambayo hayajengi hoja badala yake yanaleta ushabiki na mapenzi kwenye mambo ya kitaalam. Hapa utaumia. Kuna mengine humu yanatamani yanatamani marekani ife kwa sababu zao za kidini, hayo unafikiri kuna chochote yanachowaza cha maana?

Utaumia kujadiliana na wavaa vipedo na mataahira wengine inapokuja swala la Marekani.
 
Ni kitu gani kitazitoa kampuni za simu kutoka Android?

Kilichopo na kinachoendelea ni kwamba kampuni hizo zitaendelea kutumia Android kama kawaida sababu ndiyo mazingira ya soko yalivyo, hilo halina ubishi na kukaa nje ya mfumo huo ni kujiumiza kibiashara kwa sasa. Unless otherwise.

Ndiyo maana hata Huawei wenyewe wanasema hawatoiacha Android na wataendelea nayo kama kawaida mpaka hapo watakaposhindwa ama watakapowekewa zuio la moja kwa moja na Marekani.
US walianza kwa ZTE, wakaja kwa Huawei!! Hivi bado unaamini kampuni zingine za China zitaendelea kujihisi zipo salama dhidi ya US kwa kuona hayo yaliyowakuta ZTE na Huawei wao hayawezi kuwakuta?!

Kukujibu swali lako kitakachofanya waachane na Android ni kwa sababu hakuna hata mmoja anayeweza kujiona yupo salama kibiashara ikiwa ataendelea kutegenea US Tech kwa 100%!!

Aidha, serikali ya China pia inaweza kutoa incentives kubwa kwa kampuni za ndani zitakazotumia Chinese made OS na kuzifanyia figisu zile zitakazoendelea kutumia Android!! Kwa serikali ya China hilo linawezekana kabisa unless Huawei waamue hiyo OS waitumie peke yao kama ilivyo kwa Apple, jambo ambalo sitarajii kwa sababu nadhani wanafahamu kwamba hii vita si ya kupigana peke yao halafu watarajie ushindi!

Kwamba mazingira ya soko yanategemea Android sio sahihi bali usahihi ni kwamba, majority ya Smartphones zinaingia sokoni zikiwa na Android! Ni kama hoja aliyoileta mdau mmoja hapa kwamba Waafrika hatuelewi na matokeo yake tumeng'ang'ana na Windows wakati kuna Linux! Huyu amesahau kwamba majority ya PCs zinakuja na Windows, na kwavile majority ya watumiaji wa PCs ni watu wa kawaida (contrary to watu wenye ABC za IT), there's no way hao watu wanaweza kuhangaika ku-install Linux bila kujali kama muhusika ni Mwafrika, Mchina, Mzungu or whoever! Na ndivyo ilivyo kwa Android! Leo hii inaonekana Android haikwepeki kwa sababu majority ya smartphones zinakuja na Android! Endapo Apple wasingekuwa wanaibania iOS, probably the story could be different now!!

So, it's up to kwa Huawei. Ikiwa watafanikiwa kutengeneza OS iliyosimama, keep this post, within 5 years, Android itaanza kupumulia mashine hasa kwa kwa kuziangatia manufacturers wakubwa wa affordable smartphones (by units produced) wapo China, na wataendelea kuibuka kila mwaka!

Kwamba Huawei wamesema wataendelea kutumia Android; kumbe ulitarajia waanze kuwa na nyodo kabla OS yao haijasimama?! Hivi hata mpangqji aliyeamua kujenga baada ya kuchoka manyanyaso ya Baba/Mama Mwenye Nyumba, unadhani ataanza kumletea nyodo mwenye nyumba wakati nyumba anayojenga ndo kwanza ni boma tu?! Hiyo kauli ya Huawei ni lugha tu ya kibiashara ili waendelee ku-maintain customers' confidence. There's no way Mchina ataacha kuhangaika kutafuta OS ya kwake mwenyewe wakati anafahamu, there's no way Mchina atakuja kuongea lugha moja na Mmarekani at least in the next 25 years!!
 
Mkuu humu utaumia, unajadiliana na mataahira ambayo hayajengi hoja badala yake yanaleta ushabiki na mapenzi kwenye mambo ya kitaalam. Hapa utaumia. Kuna mengine humu yanatamani yanatamani marekani ife kwa sababu zao za kidini, hayo unafikiri kuna chochote yanachowaza cha maana?

Utaumia kujadiliana na wavaa vipedo na mataahira wengine inapokuja swala la Marekani.
Duh! Eti kuna watu wanaotamani Marekani ife kwa sababu za kidini! TOO LOW!!
 
Yap , na ukiangalia utaona China taratibu anaanza kujitoa kutegemea USA na nyuma yake Urusi nao bila hofu wanapambana kuidamp dola ,,ujerumani nao hawapo mbali sana ,,,,naamini US kwanamna moja au nyingine wameiharibu dunia sanasana !!!! Natamani one makao makuu ya UNO na agency zake zihamie China !!!! Alafu hivi nani anapanga thamani ya sarafu za nchi nyingine !?
Makao makuu ya UN kuwa china impossible to be possible hiyo bro tunaita.
Maana UNO pioneer mkuu ni USA labda useme waporomoshe Super power ya USA hapo UN itadorora pia kama wao USA walivyoidhorotesha League of the Nations na kuunda UN basi China anatakiwa afanye hvyo kuanzisha global organization nyingine.
Na naamini uwezekano huo upo japo kuwa kwa mbinde maana influence ya hawa wazungu ngozi za nguruwe weupe unapungua daily.
 
Yaani kwanza ww mwenyewe ni Mdini, 2) Uache kushabikia ushoga 3)Us anakutambua ww kama Nyani tu juu ya kua unashobokea 4)Uache kupanic usidandie mada kama umekurupuka, maana umeandika kama unatoka usingizini, 5)Jifunze kuwa na heshima
Mkuu humu utaumia, unajadiliana na mataahira ambayo hayajengi hoja badala yake yanaleta ushabiki na mapenzi kwenye mambo ya kitaalam. Hapa utaumia. Kuna mengine humu yanatamani yanatamani marekani ife kwa sababu zao za kidini, hayo unafikiri kuna chochote yanachowaza cha maana?

Utaumia kujadiliana na wavaa vipedo na mataahira wengine inapokuja swala la Marekani.
 
Yaani kwanza ww mwenyewe ni Mdini, 2) Uache kushabikia ushoga 3)Us anakutambua ww kama Nyani tu juu ya kua unashobokea 4)Uache kupanic usidandie mada kama umekurupuka, maana umeandika kama unatoka usingizini, 5)Jifunze kuwa na heshima
Yaani jamaa kanishangaza sana!! Yaani hata hili nalo ni la kuingiza masuala ya udini!! Yaani anasahau kabisa kwamba hata pasipo na issues za maana za kujadili, lakini US na China, au US na Russia ni couple zinazotengeneza ushabiki kama wa Yanga na Simba duniani kote, tukianzia na UN kwenyewe
 
Hatari sana Mkuu, Mada inahusu Us na China kuhusu trade war, yy analeta mambo ya kuuchafua uzi, mambo ya ajabu kabisa
Yaani jamaa kanishangaza sana!! Yaani hata hili nalo ni la kuingiza masuala ya udini!! Yaani anasahau kabisa kwamba hata pasipo na issues za maana za kujadili, lakini US na China, au US na Russia ni couple zinazotengeneza ushabiki kama wa Yanga na Simba duniani kote, tukianzia na UN kwenyewe
 
Nadhani inabidi ifike mahali binadamu tuheshimiane.
Katika hali ya kupambana kibiashara na Us ..China kaanza kumjibu Us kimya kimya.
Thaman ya Yuan imeshushwa.
Rare mineral hakuna kuuza Us.
Hakuna kununua soya beans toka Us.
Taka toka Us zimepigwa marufuku kwa nchi nyingi Asia.
China wamejipanga kupambana na Us bilashaka.
Safi sana sana...
 
Back
Top Bottom