ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 18,426
- 24,148
Mashauzi mengi pumbavu hawa ila ni masikini wa kutupa mamaeeee geto zima limejaa vifaa vya mchina halafu humu yakija full kuponda
Hawa waajabu sana aisee, mm hapo ndipo wanapoponionyesha MAAJABU hawa wabongo