STRUGGLE MAN
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 8,633
- 16,599
Woyoooo, niliwambia humu, msicheze na vimacho, timu amerika mtajitia vitanzi mwaka huuu
Huawei wakishakuwa na OS ya kueleweka, wote hao watahama Android na kuhamia Huawei OS kwa sababu wanafahamu hata wao hawawezi kuwa safe dhidi ya US! Na usikute hiyo OS ina ruzuku kubwa toka serikalini ili kuhakikisha kampuni zingine za China zinaitumia
Kwa hali hii naona kuna vita inakuja hapa.Usicheze na waChina a.k.a Vimacho vidogo, Google wameanza kujuta huko, Inaonyeshea Plan B ya hawa vimacho itafanikiwa kwa kiasi kikubwa ndani ya mda mfupi tu, waafrica na Asia watatumia tu bidhaa ya vimacho hamna namna coz ni rahisi sana, Ulaya wote sasaivi wanatumia 5G ya mchina, Marekani anaanza kubwabwaja na kulalamikia nchi za ulaya kuwa zinamsaliti, Yaani mpaka UK anasema hawawezi kuhairisha mfumo wa 5G wa huawei coz taari mkataba umeshafanyika
View attachment 1176635View attachment 1176636
Akili za watu zimefinywa zikafinyika. Wanachodhani wao it's all about kutengeneza na kuuza, hizo other factors wala hawaziangalii. Nakumbuka tangu miaka ya katikati ya tisini katika report yao, CIA walisema kwa hali ilivyo kama mchina hatapigana vita yoyote ile basi itamchukua miaka nane (8) kuwa namba tatu kiuchumi Duniani. Then, miaka ya elfu mbili CIA walisema kabla ya 2016 kama hali itabaki hivi basi China atakua namba 2 kiuchumi duniani.Katika vita hii China itamkalia pabaya tuu. Marekani ndio nchi yenye uchumi mkubwa Dunia na pia rare earth metals hata Marekani anazo sema China alikuwa anauza Kwa bei ndogo ndio maana Marekani ikaacha kuchimba na sahizi Mchina ana wakati mgumu kwasababu Hongkong pale maandamano Yanaendelea na Kwahiyo na Muingereza kamkalia pabaya suala China Kwa internal interference. akikosea treatment Kwa Hongkong ndio kwisha yake . Tianam square, Uighur Muslims na sahivi Hongkong
Google mwenyewe saivi yuko bize na Fuschia... Android uhai wake una utataChina alishakua nayo ila soko la biashara liko kwa android mkuu hapo unazungumzia huawei tu ila bado china ina product nyingi za android matv na simu zinazofanya vizur kama xiaomi
Huyo Mwafrika unayemwongelea ni Mwafrika wa aina gani?! Mwafrika wa kawaida ambae ni mtumiaji wa bidhaa au Mwafrika mwenye uelewa na mambo ya IT? Hivi unadhani PCs zingekuwa zinakuja zikiwa na Linux, huyo Mwafrika unayemsema angehangaika kuitafuta Windows?Sawa imekamilika ngoja tuwasubiri sokoni ndo kila kitu linux ni open source free 100% ila kwa akili za muafrica amezoea Microsoft os yuko tayari kutumia cracked os ila iwe os ya geti ila tuisubiri sokoni
Mkuu Ila tambuwa hesabu moja inaweza kuwa na njia zaidi ya mbili za kupata jbu sawa!! HK ipo under control ya china 100%Akili za watu zimefinywa zikafinyika. Wanachodhani wao it's all about kutengeneza na kuuza, hizo other factors wala hawaziangalii. Nakumbuka tangu miaka ya katikati ya tisini katika report yao, CIA walisema kwa hali ilivyo kama mchina hatapigana vita yoyote ile basi itamchukua miaka nane (8) kuwa namba tatu kiuchumi Duniani. Then, miaka ya elfu mbili CIA walisema kabla ya 2016 kama hali itabaki hivi basi China atakua namba 2 kiuchumi duniani.
Hii najaribu kuonyesha jinsi watu wanavyofuatilia mambo, mbinu na mikakati ya mchina watu wanaijua, yote ipp mikononi maana wanajua exactly pale itakapo mfikisha. Hivyo hawakuwa mafala, walitengeneza nikakati ya kufaidika naye halafu baadaye waje ku m contain na kumfifisha kabisa. China hataweza kufika anakodhani anaelekea, Uingereza hakuwa fala alipomkabidhi Hong Kong ambao hadi leo hawataki kujiona kuwa wao ni sehemu ya China.
Kuna Macau, kuna Taiwan kuna Tibet. Hizi zote ni special projects dhidi ya Mchina, ni timing bombs.
Mchina amesha kuwa contained, hana tena ujanja.
Watu si wajinga wanapo invest heavily kwenye maswala ya Research and Intelligence, si wajinga hata
Hivi vikwazo vinamuumiza USA siyo siri. Rais wa National Farmers Union wa Us Roger Johnson nilivyokuwa namsikiliza anakwambia huo mgogoro unawaumiza wakulima wa Marekani. China ameshatafuta pahala pengine pa kununua Soya beans. Licha ya hivyo Marekani imekumbwa na mengi kama mafuriko ambayo nayo yameharibu mazao.Nadhani inabidi ifike mahali binadamu tuheshimiane.![]()
Huawei launches own operating system to replace Google’s Android
Huawei has rolled out its long-rumored Hongmeng operating system (OS), known as the HarmonyOS. The company says it can switch to the new system at any time, including on phones, if it is unable to use Android.www.rt.com
Katika hali ya kupambana kibiashara na Us ..China kaanza kumjibu Us kimya kimya.
Thaman ya Yuan imeshushwa.
Rare mineral hakuna kuuza Us.
Hakuna kununua soya beans toka Us.
Taka toka Us zimepigwa marufuku kwa nchi nyingi Asia.
China wamejipanga kupambana na Us bilashaka.
China alishakua nayo ila soko la biashara liko kwa android mkuu hapo unazungumzia huawei tu ila bado china ina product nyingi za android matv na simu zinazofanya vizur kama xiaomi
china, ni timing bombs.
Mchina amesha kuwa contained, hana tena ujanja.
Watu si wajinga wanapo invest heavily kwenye maswala ya Research and Intelligence, si wajinga hata
Haya madini Marekani anayo kwa asilimia ndogo sana. Pentagon wamewaambia mashirika ya kutengeneza zana za kivita kama sijakosea, watafute mahali pengine ili wasiwe wenye kutegemea nchi nyengine(China).Katika vita hii China itamkalia pabaya tuu. Marekani ndio nchi yenye uchumi mkubwa Dunia na pia rare earth metals hata Marekani anazo sema China alikuwa anauza Kwa bei ndogo ndio maana Marekani ikaacha kuchimba na sahizi Mchina ana wakati mgumu kwasababu Hongkong pale maandamano Yanaendelea na Kwahiyo na Muingereza kamkalia pabaya suala China Kwa internal interference. akikosea treatment Kwa Hongkong ndio kwisha yake . Tianam square, Uighur Muslims na sahivi Hongkong
Katika vita hii China itamkalia pabaya tuu. Marekani ndio nchi yenye uchumi mkubwa Dunia na pia rare earth metals hata Marekani anazo sema China alikuwa anauza Kwa bei ndogo ndio maana Marekani ikaacha kuchimba na sahizi Mchina ana wakati mgumu kwasababu Hongkong pale maandamano Yanaendelea na Kwahiyo na Muingereza kamkalia pabaya suala China Kwa internal interference. akikosea treatment Kwa Hongkong ndio kwisha yake . Tianam square, Uighur Muslims na sahivi Hongkong
Usisahau kuwa wakulima wa US pia wanailalamikia serikali kuhusu soko la kuuza mazao yaoNadhani inabidi ifike mahali binadamu tuheshimiane.![]()
Huawei launches own operating system to replace Google’s Android
Huawei has rolled out its long-rumored Hongmeng operating system (OS), known as the HarmonyOS. The company says it can switch to the new system at any time, including on phones, if it is unable to use Android.www.rt.com
Katika hali ya kupambana kibiashara na Us ..China kaanza kumjibu Us kimya kimya.
Thaman ya Yuan imeshushwa.
Rare mineral hakuna kuuza Us.
Hakuna kununua soya beans toka Us.
Taka toka Us zimepigwa marufuku kwa nchi nyingi Asia.
China wamejipanga kupambana na Us bilashaka.
We unadhan Mercedes Benz wanafurahia viongozi wetu wanapotumia Toyotas..wana NUNAAA.Katika vita hii China itamkalia pabaya tuu. Marekani ndio nchi yenye uchumi mkubwa Dunia na pia rare earth metals hata Marekani anazo sema China alikuwa anauza Kwa bei ndogo ndio maana Marekani ikaacha kuchimba na sahizi Mchina ana wakati mgumu kwasababu Hongkong pale maandamano Yanaendelea na Kwahiyo na Muingereza kamkalia pabaya suala China Kwa internal interference. akikosea treatment Kwa Hongkong ndio kwisha yake . Tianam square, Uighur Muslims na sahivi Hongkong
Watu wengne mnataka muonekane mnabisha tu...Uwezo wa China kupambana na US kwa muda mrefu ni mdogo. Wakienda hivi say kwa miaka mitano, China will collapse.
Sasa nani atanunua simu yenye OS ya mchina kwa mfano?
Ni kweli. Hapa natumia computer ya Acer kwa kuwa ina Windows ya Mmarekani. Isingekuwa ni Windows ya Mmarekani, nisingeinunua... Pia natumia simu ya kichina kwa kuwa ina operating system ya Android. Isingekuwa na Android nisingeinunua...Watu wengne mnataka muonekane mnabisha tu...
Hapo ulipo tu unavitu vya mchina.. Halafu unasema China hana uwezo kushindana na US .
Program ambazo zinawika zote ni za Marekani. Hujui kama Huawei katikati huu mgogoro na Marekani imeshapata Hasara ya 30usb. Africa hawana uwezo wa kununua simu nzuri. Africa tunanua fake product za Mchina. Africa Sio ya kujitegemea Kwa Soko bado ni nchi maskini mno. Yaani bara lote la Africa uchumi wake unaachwa na uingereza tuu.
Mkuu umeisoma hii kitu inaayoitwa hammony Os ?
au ?