Huawei tayari wamekamilisha Operating System (OS) yao

number41

number41

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
1,930
Points
2,000
number41

number41

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
1,930 2,000
nilikuambia simu pekee za gharama kwa huawei ni mate series na p series. The rest ni mid range kama siyo budget phones. Huawei anazalisha mid range na low end nyingi kuliko anavozalisha high end. unakwama wapi?
Mkuu nimekutumia zote fanya mwenyewe compares mbona kitu rahisi haya ebu nipe huawei simu bei rahisi unayoijua wewe ya mwaka huu au mwaka jana
 
W

wakurochi

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2017
Messages
1,072
Points
2,000
W

wakurochi

JF-Expert Member
Joined Dec 4, 2017
1,072 2,000
Tulia bei utapata na jina la mtaa zinapouzwa sio bei za mtandao. Huawei hamna kitu bado saaaana.

Kinachogomba ni apps sio OS. Windows na BB kilichowaungusha ni apps sio OS.

Visa ya UK ni usumbufu sana. Ila bei utapewa kw ujumla zimeshuka bei sana hamna kitu.
Hahahahahaha labda anachimba madini google
 
cmoney

cmoney

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2011
Messages
2,328
Points
2,000
cmoney

cmoney

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2011
2,328 2,000
Nimekuwa boya tena? hivi ni wapi nimekutukana mimi hii ni dalili ya kushindwa Wikipedia sio sawa na Quora.
.
Quora ni sawa na JF unauliza swali unajibiwa na mijadala mingine mbalimbali ukileta ujinga unapigwa ban fasta tu, nimekueleza hivi hizo links unazoleta ni za U.S ambao unawaponda kwanini nilisema hivi?
.
Ulisema Quora ni pro westerners wengi wamejaa kwanza nilicheka kuangalia CNBC ni ya wapi nikacheka zaidi kuangalia Techradar ni ya wapi nikajikuta nacheka hadi nanyanyua miguu juu alafu hizihizi media zikitoa habari kuhusu Iran mnasema ni fake news ila kwenye Huawei ni kweli pole sana mzee.

Moderator Maxence Melo sheria za JF zinaruhusu hiki?
nyie watoto wa jahkaya akili zenu hata hamtofautiani na yale ya kusema dhaifu ni tusi...sasa kama nakuona shalow nikuitaje jiwe? unadhani miaka 10 jamiiforums najifunzishaga ujinga humu??
 
number41

number41

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
1,930
Points
2,000
number41

number41

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
1,930 2,000
Tulia bei utapata na jina la mtaa zinapouzwa sio bei za mtandao. Huawei hamna kitu bado saaaana.

Kinachogomba ni apps sio OS. Windows na BB kilichowaungusha ni apps sio OS.

Visa ya UK ni usumbufu sana. Ila bei utapewa kw ujumla zimeshuka bei sana hamna kitu.
Ahahahahahaha haya nasubiri au anasubiri kabs apige na kura ya kumchagua waziri mkuu wa UK
 
Khaligraph Jordan

Khaligraph Jordan

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2017
Messages
3,876
Points
2,000
Khaligraph Jordan

Khaligraph Jordan

JF-Expert Member
Joined Oct 1, 2017
3,876 2,000
nyie watoto wa jahkaya akili zenu hata hamtofautiani na yale ya kusema dhaifu ni tusi...sasa kama nakuona shalow nikuitaje jiwe? unadhani miaka 10 jamiiforums najifunzishaga ujinga humu??
kuwa JF miaka 10 haina maana unajua mambo ya IT kunishinda hiki sio chuo cha kufundisha IT.
.
Haya mambo nimeyakalia darasani nafanya kazi kwa sababu ya haya unayonibishia kitoto, you can't argue with me ukashinda kwenye mambo ya IT unless uwe umesoma nawe ila mpaka sasa nishajua haujui chochote kuhusu IT.
.
Na sio dhambi wala dharau kutokujua IT kila mtu anamahala alikobobea mimi, lastly unadhidi kujidhihirisha jinsi ambavyo hujaelimika humu JF kwa miaka yoooote kumi uliokuwa humu naweza kusema yes unajifunza ujinga kwa hakika.
.
Mfano Root yuko JF kwa muda mrefu sanaa sijawahi kuona akijinadi kuwa niko JF miaka mingi wewe umejiunga 2019 utaniambia nini au atukane watu never hajawahi, badilika mimi nikikwambia kwa mara ya kwanza nilijiunga JF lini haitakusaidia lolote.
.
Kubali haujui IT na ulikuwa unabisha vitu usivyovijua we're done.
 

Forum statistics

Threads 1,326,626
Members 509,543
Posts 32,228,685
Top