Ummayed
JF-Expert Member
- May 21, 2019
- 6,155
- 2,581
Kaka huu uongo sasa.Mkuu China hauzi theruthi hata moja ya kiasi cha mauzo anayouza US. In reality consumption ya bidhaa za China kwa Africa ni ndogo sana usichanganyikiwe na unayo yaona kariakoo ukadhani ni soko kubwa kwao.
Tazama statistics za mauzo Google utaona kuwa Africa bado sana
Huwez sema consumption of Chinese goods is minimal in Africa.
Ilhali kiuhalisia kila upitapo sio kariakoo tu kwanzia mabasi,piki piki,bajaji,Magari ya ujenzi, ni Chinese made.
Hio ni ukweli tusilete unafiki.
Huyo US sijui vitu gani vingi anavyouza sana kuliko China hapa Africa??
Tizama Toyo,Fekon,Tianma zimetapakaaa kila kona kuliko piki piki zozote huo ni uhalisia.
Asa sijui bike zipi za US zimetapakaa kushinda hizo????
Tuongeee reality,kwa unachokiona kiuhalisia na statistics unazoangalia zinaendana???