mkadiriajimajenzi
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 551
- 618
Kufuatia vita ya kiuchumi inayoendelea katika ya Marekani na China ambayo imepelekea kampuni ya Huawei kupata ban ya kutumia Google Apps & Facebook Apps..Founder wa Huawei amedisclose kwamba kama hakutakua na suluhu itakayofikiwa watakuja na operating system ya itakayoitwa " Ark OS" .