interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,410
Ni sawa na wewe uliyekuwa hujui kitu kabisa na hatimaye sasa hivi unajua kitu kabisa, bado pia hujui vitu vyote 7bu pa1 na ujuaji wako wa hivyo vitu vipo vingine vidogo au vikubwa ambavyo vitakuumbua tu utapotakiwa kuvidadavua mbele za Watu.Huelewi chochote.
Wataalam wanasema China technology is built on sand.
China bado anategemea technology ya magharibi kwa zaidi ya 70%.
Teknojia sio jambo la kusema utalala na kuamka umelimaliza, ni uwekezaji wa miaka na miaka.
Wewe unafikiri wamarekani hizo tech walilala na kuamka wakawa nazo kama unavyosema eti china sio muda atakuja vizuri?
China ana jeuri gani?
Hujui kitu kabisa.
Je nani alijua itafikia wakati utajua?
Nani kathibitisha kuwa unajua?
Je ndiyo ukomo wako ulipofikia ktk kujua zaidi ya hapo jibu ni NO.
So acha kuogopesha Watu na kuwahakikishia habari za China kutoshindwa kupata ufumbuzi wa tatizo lake coz hakuna ambaye alitegemea USA angekuja kuwa mvumbuzi wa hizo teknolojia zake alizonazo leo hii na hakuna mwenye uhakika kuwa huo ndiyo ukomo wa teknolojia ya juu kwa USA kuvumbua vitu vingi zaidi na vyenye mashiko kuliko hata hizi OS, Microsoft word programs, Facebook, Instagram, WhatsApp n.k.
Bado kila kukicha ushindani wa Watu wenye upeo ktk uvumbuzi mbali mbali umekuwa ukitokea tena ukikua kwa kasi zaidi kulinganisha na karne za zamani.
Amini usiamini tukiwa hai au hata tukiwa tushakufa lkn bado China watapata tu ufumbuzi wa hiyo teknolojia yao kwa muda usiojulikana.
So usikariri kuwa USA ndiye mwanzo na mwisho wa teknolojia jibu ni HAPANA haijalishi itachukua hata karne ngapi lkn bado tu inawezekana vizuri sana China kuja kujiimarisha kiteknoojia hadi akampiku huyo USA, ambavyo 1961 alikuwa sawa na TZ kiuchumi lkn akajitahidi kupambana hadi kufikia ktk miongoni mwa nchi bora zilizoendelea na zinazokua kwa kasi kiuchumi kila mwaka sasa hivi.