interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,410
Wewe umeiba technology ipi iliyotupeleka ktk uchumi wa dunia ya kwanza kama China au wa kati kama Kenya [emoji848]
Tatizo kubwa la China na itawagarimu hawataki kuinvest kwenye research, wao wanataka kuiba tech.